Mambo haya yanaikwamisha CHADEMA, Maamuzi Magumu yanatakiwa Kabla ya 2015

Naona hakuna anayezungumzia hoja ya ruzuku. Hata mimi naungana na wanaodhani mtoa hoja katumwa. Atuambie anachokifahamu kuhusu ruzuku ya chadema. Kwa taarifa yako sio tu wilayani bali majimboni ndiko inakopelekwa ruzuku ya chadema. Kama kuna jimbo ndani ya nchi hii halijatengewa mgao wa ruzuku tuelezwe hapa hapa sio kuzusha mambo kishabiki
 
nina mashaka makubwa nawe,pamoja na mlengo wa kati,labda naomba nijibiwe(a)kuna uhusiano gani unaoufahamu kati ya katoliki na Cdm,(b)ni lini Mbowe alitangaza kwamba yeye ni mwenyekiti wa kudumu Cdm,NAOMBA UFAFANUZI,Maana wengi mnajiita makada wa chama kumbe........

Kumbuka kipindi cha kugombea Uenyekiti jinsi Zitto alivyo banwa na Mzee Mtei na wenzake! Hakuna demokrasia Chadema hasa nafasi ya Uenyekiti!
 
mi maoni yangu nikua tujaribu kujenga na si kushabikia. Kama tuhuma zinaelekezwa kwa CHADEMA, jamani zichambueni kwa hoja na si kwa emotion, ile tujenge taifa endelevu. Tuachane na siasa za bendera.
 
Mara sijui umetumwa,siku hizi jf imevamiwa ni dalili tosha kwamba mtu anashindwa kuwa na point za kuargue anakimbilia kashifa na kudai mtoa hoja katumwa.hata kama katumwa it is up to u to challenge him.
Ukiderail it just show how inferior you are.

Kwa vile wao wanatumwa na CDM wanadhani wote wanatumwa kama wao!
 
Kumbuka kipindi cha kugombea Uenyekiti jinsi Zitto alivyo banwa na Mzee Mtei na wenzake! Hakuna demokrasia Chadema hasa nafasi ya Uenyekiti!

siku zile walisema Zitto kashauriwa na wazee ajitoe ili kuimarisha umoja wa chama. ilionyesha wazi kuwa alilazimishwa kujitoa na wenye chama

Chama kama ni cha ki demokrasia kwanini kimwogope mtu kama Zitto wangesubili kura ziamue ndiyo demokrasia yenyewe

baadhi ya vipengele vya mada hii ni muhimu CDM waviangalie
 
How stupid!Kabla ya kukurupukia mambo yanayokikwamisha chama cha siasa-ambacho ni mjumuko wa watu-kwanini usianze kwanza na mambo yanayoukwamisha ubongo wako kufanya kazi yake ipasavyo?Chadema haihitaji ushauri wa kiendawazimu.

Get a life!

Ndugu yangu Mbowe mimi nimetoa Ushauri tu! Pale penye maana chukueni pale ambapo sio point achaneni nao! Ni ushauri tu Mheshimiwa Mwenyekiti!
 
Kumbuka kipindi cha kugombea Uenyekiti jinsi Zitto alivyo banwa na Mzee Mtei na wenzake! Hakuna demokrasia Chadema hasa nafasi ya Uenyekiti!

Hebu tuelimishe na sisi tunaoishi vijijini ni lini ccm Taifa wagombea wa uwenyekiti waliwahi kuwa zaidi ya mmoja na kushindanishwa? i can bet one million dollars on this matter.
 
Back
Top Bottom