Galacha Maestro
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 1,353
- 2,220
Kuna mambo makuu matatu yakiingiliana inakuwa sumu kwa taifa lolote. Mambo hayo ni maendeleo, Siasa na Dini.
Pale unapochanganya siasa na maendeleo hakuna jambo utafanikiwa hata kidogo. Mfano bwana mlie mchagua leo kawa mwiba tena kwenu. Bwana anataka kuleta maendeleo na unapongelea maendeleo ni pamoja na mpango mizuri ya miji. Sasa watu wamejenga karibu na bara bara wakivunjiwa ili kuleta maendeleo wanaleta siasa. Wamejenga mabondeni wanatakiwa watolewe wapewe sehemu nzuri bado mnaweka siasa. Muda wa siasa ifanyike siasa muda wa maendeleo uwe wa maendeleo. Haya mambo ukichanganya nchi itaushia kuwa masikini. Ila wapewe maeneo mazuri.
Siasa na dini hii ni sumu kali sana. Ni vitu viwili tofauti havitakiwi kuwekwa pamoja. Mpe ya kaizari yaliyo ya kaizari naya Mungu mpe Mungu. Kuna mifano mingi ya nchi zinazochafuliwa kwa ajili ya dini. Dini ibaki kuwa dini na siasa ni siasa.
Maendeleo na dini. Ni vitu viwili vinatakiwa kujitegemea. Muda wa maendeleo fanya maendeleo na muda wa dini fanya dini. Sasa ukifanya dini muda wa maendeleo. Utaishia kubaya. Unatakiwa upange muda wa kazi na muda wa dini.
Kila jambo lina muda na mahala pake.