mwakaboko
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,929
- 757
kwa tulio mbali na DSM, tunapataje hardcopy?Karibuni kwa wale ambao bado hamjapata kitabu.
kwa tulio mbali na DSM, tunapataje hardcopy?Karibuni kwa wale ambao bado hamjapata kitabu.
Ndiyo.Vp mkuu we ushaondoka kwenye umasikini
Asante sana kwa ushuhuda huu,Mara ya kwanza nilipokisoma kitabu Rich daddy poor daddy nilihisi utajiri na financial freedom vikimiminika ndani ya roho yangu, nikaona kabisa nguvu ya maandishi kwenye maisha yangu, but in the long run ndipo nilikuja kuujua upande wa pili wa kile nilichokiona kuwa ukweli wa kimuujiza, sasa nipo huru, na hata sikumbuki nilichokisoma huko miaka hiyo, thanks for sharing
Kwa sasa kinatumwa kwa walio mikoani,kwa tulio mbali na DSM, tunapataje hardcopy?
Kitabu cha ELIMU YA MSINGI YA FEDHA kimegusia maeneo yote muhimu kuhusu fedha, kuanzia kuzipata, kuzitunza na kuziwekeza ili zikuzalishie fedha zaidi.elimu nyingi duniani ni namna ya kupata fedha ila kwa uchache ni nanmna ya kuzitumia kitu ambacho kinatesa wengi
Umemuelewa uliyemquote!?Asante sana kwa ushuhuda huu,
Kuna nguvu kubwa sana kwenye maandishi, kama mtu utafanyia kazi yale unayojifunza.
Ndugu unasafari ndefu sana kuliko ambavyo nilikuwa nakufikiria,Hivyo kama umesoma maelezo hayo na ukaona hakuna cha kipya cha kujifunza, maana yake wewe siyo mtu wa kujifunza na hilo linaweza kuwa kikwazo kwako kupiga hatua zaidi ya pale ulipo sasa.