MAMBO HAYA 10 TUYAEPUKE KWANI HULETA MARADHI MENGI KWA BINADAMU

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,807
34,193
MAMBO HAYA 10 TUYAEPUKE KWANI HULETA MARADHI MENGI KWA BINADAMU

NO.1
SIGARA NA UGORO
~Uvutaji sigara na ugoro hivi ni vitu hatari sana kwa afya zetu wanaadamu,kwani vitu hivi vina nafasi kubwa ya kuweza kukusababishia magonjwa ya kansa,moyo na magonjwa mengine mengi

NO.2
UTUMIAJI ULIOKITHIRI WA DAWA ZA KEMIKALI

~Utumiaji uliokithiri wa madawa ya kemikali pia unaweza kusababisha madhara katika mwili wa binadamu,ni nzuri na zinaponesha lakini zina kemikali kali,kuna wengine akijiskia tuu uchovu lazima ameze dawa za maumivu,utumiaji ukikithiri hupelekea hata mtu kuumwa mara kwa mara.

NO.3
KUTUMIA MAFUTA MENGI KWENYE CHAKULA
~Watu wanashauriwa kuepuka kutumia mafuta mengi kwenye vyakula kwa sababu mafuta mengi huleta magonjwa mbalimbali kwenye mwili wa mwanadamu

NO.4
PUNGUZA MAINGILIANO YA KIMWILI TENDA KIMPANGILIO

NO.5
JIEPUSHE KULA MARA KWA MARA MAYAI YA KUKU WA KISASA NA NYAMA YAKE PIA

NO.6
USIPENDE KUTUMIA KAHAWA AU MAJANI YA CHAI KWA WINGI SANA

NO.7
USIPENDE KUWEKA CHUMVI NYINGI KWENYE MBOGA AU SUKARI NYINGI KWENYE CHAI

NO.8
USIPENDE KUTUMIA PILIPILI KWA WINGI SANA KWENYE CHAKULA AU KWA NAMNA YOYOTE ILE

NO.9
USIPENDE KUKAA KITAKO KWA MUDA MREFU SANA BILA KUINUKA

NO.10
USIISHI BILA MAZOEZI,PENDELEA KUFANYA MAZOEZI MARA KWA MARA ILI KUWEKA MWILI WAKO FIT

IPENDE AFYA YAKO USIJIUE TARATIIIIIIIBU

UKIWA NA SHIDA NA SWALI UNAWEZA KUNITAFUTA KW AKUBONYEZA HAPA.Mawasiliano

Attachments

  • KUKAA SANA 9.jpg
    KUKAA SANA 9.jpg
    31.2 KB · Views: 116
  • MAFUTA 3.jpg
    MAFUTA 3.jpg
    6.7 KB · Views: 223
  • MAYAI 5.jpg
    MAYAI 5.jpg
    9.2 KB · Views: 116
  • MAZOEZI 10.jpg
    MAZOEZI 10.jpg
    9.5 KB · Views: 119
  • KAHAWA 5.jpg
    KAHAWA 5.jpg
    4.4 KB · Views: 95
  • CHUMVI NA SUKARI 7.jpg
    CHUMVI NA SUKARI 7.jpg
    9.7 KB · Views: 117
  • SIGARA 1.jpg
    SIGARA 1.jpg
    6.8 KB · Views: 125
  • PILIPILI 8.jpg
    PILIPILI 8.jpg
    9.7 KB · Views: 126
  • VIDONGE 2.jpg
    VIDONGE 2.jpg
    7.8 KB · Views: 125
  • SUKARI.jpg
    SUKARI.jpg
    9.1 KB · Views: 109
Asante kwa ushauri mzuri wa namna ya kulinda afya zetu!!

Je pilipili Ina madhara gani??

Je kufanya mapenzi Mara kwa Mara na mkeo /mumeo kuna madhara gani??

Je unywaji wa pombe hauna madhara??

Je utumiaji wa mafuta ya alizeti nao ni hatari??

Asante,
 
bonyeza kwenye MAWASILIANO
 
Teh Teh!!! Hawakawiagi kukwambia tuma dola 2500!!

Hatari sana,
aaahh aaah hamna bhana naamin MziziMkavu sio wa hivyo, ila si vibaya kuchangia pengine wapo wenzetu kwa mambo muhimu kama hayo wanalipa pesa, tumshukuru kwanza kwa kutuwekea ushauri mzuri kama huo free
 
...hivi mzizi mkavu kama mimi ninaeumwa kichwa mara kwa mara sababu ya kuumwa macho,nikitazama kwenye mwanga mkali wa jua lazima niumwe kichwa,tena kinaumia kwenye mishipa ya pembeni ya jicho,hivyo kwangu kumeza hedex mara moja kwa wiki ni lazima,
Unanishauri nini niepuke kumeza hayo madawa ya kizungu,kiukweli siyapendi ila kichwa kikiuma sina jinsi kazima nizimeze,vinginevyo hata kula inakua shida..
 
MAMBO HAYA 10 TUYAEPUKE KWANI HULETA MARADHI MENGI KWA BINADAMU

NO.1
SIGARA NA UGORO
~Uvutaji sigara na ugoro hivi ni vitu hatari sana kwa afya zetu wanaadamu,kwani vitu hivi vina nafasi kubwa ya kuweza kukusababishia magonjwa ya kansa,moyo na magonjwa mengine mengi

NO.2
UTUMIAJI ULIOKITHIRI WA DAWA ZA KEMIKALI

~Utumiaji uliokithiri wa madawa ya kemikali pia unaweza kusababisha madhara katika mwili wa binadamu,ni nzuri na zinaponesha lakini zina kemikali kali,kuna wengine akijiskia tuu uchovu lazima ameze dawa za maumivu,utumiaji ukikithiri hupelekea hata mtu kuumwa mara kwa mara.

NO.3
KUTUMIA MAFUTA MENGI KWENYE CHAKULA
~Watu wanashauriwa kuepuka kutumia mafuta mengi kwenye vyakula kwa sababu mafuta mengi huleta magonjwa mbalimbali kwenye mwili wa mwanadamu

NO.4
PUNGUZA MAINGILIANO YA KIMWILI TENDA KIMPANGILIO

NO.5
JIEPUSHE KULA MARA KWA MARA MAYAI YA KUKU WA KISASA NA NYAMA YAKE PIA

NO.6
USIPENDE KUTUMIA KAHAWA AU MAJANI YA CHAI KWA WINGI SANA

NO.7
USIPENDE KUWEKA CHUMVI NYINGI KWENYE MBOGA AU SUKARI NYINGI KWENYE CHAI

NO.8
USIPENDE KUTUMIA PILIPILI KWA WINGI SANA KWENYE CHAKULA AU KWA NAMNA YOYOTE ILE

NO.9
USIPENDE KUKAA KITAKO KWA MUDA MREFU SANA BILA KUINUKA

NO.10
USIISHI BILA MAZOEZI,PENDELEA KUFANYA MAZOEZI MARA KWA MARA ILI KUWEKA MWILI WAKO FIT

IPENDE AFYA YAKO USIJIUE TARATIIIIIIIBU

UKIWA NA SHIDA NA SWALI UNAWEZA KUNITAFUTA KW AKUBONYEZA HAPA.Mawasiliano
kati ya yote hayo sifanyi isipokuwa namba 9 tu hiyo hata sasa nimekaa toka saa mbili asubuhi sijawahi hata kuinuka hatari sana
 
Hiyo ya namba 8 ni fiksi mkuu, Kama ni kweli Indian Ocean ingeshajaa majivu ya miili ya wahindi. Wao pilipili kama tope na Maji
 
...hivi mzizi mkavu kama mimi ninaeumwa kichwa mara kwa mara sababu ya kuumwa macho,nikitazama kwenye mwanga mkali wa jua lazima niumwe kichwa,tena kinaumia kwenye mishipa ya pembeni ya jicho,hivyo kwangu kumeza hedex mara moja kwa wiki ni lazima,
Unanishauri nini niepuke kumeza hayo madawa ya kizungu,kiukweli siyapendi ila kichwa kikiuma sina jinsi kazima nizimeze,vinginevyo hata kula inakua shida..
Mkuu hiyo condition inaitwa bilateral headache utakuwa unaumwa macho mcheki dokta pale AAR posta yuko vizuri hebu kacheki mapema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom