Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,769
- 10,650
Endapo nitaandika wosia kuhusu jinsi gani Mali zangu zigawanye kwa wategemezi wangu kama mke watoto na ndugu!
mfano! Nina watoto wanne kwa mke mmoja na katika wosia wangu nikaeleza kuwa Mali zangu zigawanywe kwa mke, watoto watatu na nikawataja kwa majina,pia nikaeleza mtoto moja asihusike kwenye urithi wa Mali zangu bila kuweka wazi sababu za kufanya hivyo! Je, wosia wangu utabaki kuwa halali endapo nikifariki?
Je, ni mambo gani au mazingira gani yanaufanya wosia kuwa batili?
Nina swali nje kidogo ya mada, lakini ni kuhusu sheria ya mirathi, kama utaniruhusu mkuu.