Mambo gani yanaweza kubatilisha WOSIA?

Endapo nitaandika wosia kuhusu jinsi gani Mali zangu zigawanye kwa wategemezi wangu kama mke watoto na ndugu!
mfano! Nina watoto wanne kwa mke mmoja na katika wosia wangu nikaeleza kuwa Mali zangu zigawanywe kwa mke, watoto watatu na nikawataja kwa majina,pia nikaeleza mtoto moja asihusike kwenye urithi wa Mali zangu bila kuweka wazi sababu za kufanya hivyo! Je, wosia wangu utabaki kuwa halali endapo nikifariki?
Je, ni mambo gani au mazingira gani yanaufanya wosia kuwa batili?

Nina swali nje kidogo ya mada, lakini ni kuhusu sheria ya mirathi, kama utaniruhusu mkuu.
 
Jamani kwenye huo mfano wako nimemuonea huruma huyo mtoto unayetaka kumnyima chochote
 
Sio lengo kumnyima haki mtoto ila ni kuhusu ni jinsi gani wosia unaheshimiwa ili kulinda haki na heshima ya maamuzi ya marehemu! Ikumbukwe kuwa marehemu huwa na siri nzito ambayo ni vigumu kuijua!
 
Sasa huyo mtoto mmoja unataka kumwacha kakukosea nini jamani? Au unakuwa na wasiwasi kuwa ulibambikiwa au alikusea sana adabu? Ukiacha hivyo kisheria wosia wako ni halali. Concern yangu katika mfano wako ni jinsi huyo mtoto atakavyojisikia ikiwa wote pamoja na mama yake wanapata mgao halafu yeye anatengwa.
Wazee hasa wa zamani huwa ni w asiri sana na Mara nyingi kufanya maamuzi kwa busara na endapo ikitokea mtoto kama huyo hajapata basi kuna sababu za msingi! tatizo linakuja pale ndugu wanapohoji wakati aliyeandika wosia kashafariki!
 
Endapo nitaandika wosia kuhusu jinsi gani Mali zangu zigawanye kwa wategemezi wangu kama mke watoto na ndugu!
mfano! Nina watoto wanne kwa mke mmoja na katika wosia wangu nikaeleza kuwa Mali zangu zigawanywe kwa mke, watoto watatu na nikawataja kwa majina,pia nikaeleza mtoto moja asihusike kwenye urithi wa Mali zangu bila kuweka wazi sababu za kufanya hivyo! Je, wosia wangu utabaki kuwa halali endapo nikifariki?
Je, ni mambo gani au mazingira gani yanaufanya wosia kuwa batili?
kuna kitabu cha wosia kizuri sana kimeongelea yote hayo kwa kiswahli bofya hapa SHERIA TANZANIA
 
Huyo mtoto unayetaka kumtoa katika beneficiaries ni lazima utoe sababu why, kuna case law zimetoa muongozo wa sababu hizo moja wapo ni kama huyo mtoto alitaka kujaribu kukua, kuna zingine pia ngoja nitafute hizo case ntarudi
 
Pia Wosia unawaweza kubatilishwa kama haukuzingatia haki katika kugawa urithi kwa warithi stahiki.
 
Hivi kama mgawa mirathi ana wake wengi na sehemu kubwa ya mali alichuma na wake zake wakubwa let say mke wa kwanza na wa pili akisaidiana na watoto zao halafu ikatokea akaoa tena wake wengine wawili na akawatenga hawa wake zake wa awali na watoto wao akiwaachia nyumba tu za kujisitiri ila investment na miradi yote akawaandikia hawa wake zake wapya na watoto wao. Je ikitokea huyu mzee kazimika hao watoto na wake wakubwa waliochuma hizo mali wana haki gani iwapo hawapo kwenye wosia wa marehemu?
 
Hili swala la Wasia mkuu ni pana sana na huwa lina utata sana, Wasia ukishatimia mashariti yake basi awe ameonewa au kapendelewa itabidi ufuatwe tuu na Mahakama kitu cha kwanza mahakamani wanachokuuliza kama marehemu kaacha Usia kama upo unaangaliwa kama vigezo vimetimia.
 
Nimekusoma mkuu... if thats what it is then hii sheria ya mirathi ina walakini. Na haiko fair kabisa. Na ni chanzo cha migogoro mikubwa zaidi ya familia.
 
hapo hata Mimi ndo ninavyoelewa wosia kama umatimiza vigezo vyote lazima uheshimiwe
 
Nimekusoma mkuu... if thats what it is then hii sheria ya mirathi ina walakini. Na haiko fair kabisa. Na ni chanzo cha migogoro mikubwa zaidi ya familia.
hayo ni maamuzi ya marehemu na Kama ikibatilishwa ina maana marehemu hajatendewa haki. Maamuzi ya marehemu lazima yaheshimiwe kwa kuwa hawezi kujitetea wala kubatilisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom