Mambo gani yamegunduliwa na Wasomi wa Tanzania?

Kuna maprofesa na madaktari kibao katika kila sekta.Je Ni Mambo gani yamegunduliwa na na Wasomi wa hapa Bongo? Uzi tayari
Binafsi, nafahamu "Mpemba effect" which was invented by a form 3 school boy Erasto Mpemba in 1963. The idea was that, at certain conditions hot water actually freeze faster than cold one.

Na inajulikana worldwide. Majarida kama "physics world" yamechapisha kuhusu hilo au unaweza kuiangalia Wikipedia.

Labda na hii ya bernard kiwia, ila nimesikia tu. Charging kwa baiskeli na washing machine by using windmill
 
yap!! hiyo ya mpemba niliiona kwenye gazeti.ntafuatilia zaidi
 
Wagunduzi wapo ni kwamba hawapewi kipaumbele kinachostahili ambapo ndipo kingekuwa chanzo cha maendeleo yetu sisi wenyewe.
1. Ugunduzi wa madini mbalimbali
2. Ugunduzi wa matumizi ya mianzi
3. Ugunduzi wa jinsi ya kukamua mafuta ya kula kutokana na mazao yetu n.k.
 
Makinikia.
Swala hili mimi huwa naona kama lilichomekwa ili ku-divert attention ya wenye mamlaka, kutoka kwenye tetemeko la Kagera. na ndivyo ambavyo huwa naona mpaka leo! Swala la makinikia halikuwa geni, lilikuwepo siku zote hapo kabla, lakini cha kushangaz lilipotoikea tu ntetemeko la Kagera, nswala hili nalo likaibuka tena wakati huo huo na kwa nguvu ya ajabu sana na isiyokuwa ya kawaida. Huwa ninaona kama ilikuwa tekniki mojawapo ya kuwafanya watawala wasifikirie sana kuhusiana na tetemeko la Kagera. Ni maoni yangu lakini
 
Kuna maprofesa na madaktari kibao katika kila sekta.Je Ni Mambo gani yamegunduliwa na na Wasomi wa hapa Bongo? Uzi tayari
1.Pro-pesa Kalamaganda Kabugi- amegundua namna ya kujibu MABEBERU kwa kuwakazia macho ka -mjusi alobawa na mlango.

2. Kigwangala-amegundua watalii wanaletwa na wasaniii, anafanya wasanii kuwa mabalozi wa utalii
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom