Mambo gani yamegunduliwa na Wasomi wa Tanzania?

Binafsi, nafahamu "Mpemba effect" which was invented by a form 3 school boy Erasto Mpemba in 1963. The idea was that, at certain conditions hot water actually freeze faster than cold one.

Na inajulikana worldwide. Majarida kama "physics world" yamechapisha kuhusu hilo au unaweza kuiangalia Wikipedia.

Labda na hii ya bernard kiwia, ila nimesikia tu. Charging kwa baiskeli na washing machine by using windmill
Aristotle alishaandika hii Mpemba effect takriban miaka 2350 iliyopita.

Dunia ilisahau tu. Mpemba katukumbusha.

Sehemu nyingine utaona hii effect inaitwa "Aristotle-Mpemba Effect"

WABONGO majungutu,,,,, yani kwakifupi we're not talented ,ma genius ni 1/milion ,,,, that's why ata wale ma T.O atuwezi kuwaita ma genius coz atujaona mchango wao ktk jamii kwakifupi awatunao waita ma genius bali ni watu wenye uwezo wakukariritu... eti tuna ma scientist na ma engineers, toothpick tunaagiza china? real are you kidding ! What are those ''A''s for? we're zero TALENT , zero CREATIVITY, ila tunachokijua ni KULALAMIKA, KUKOSOA, AJUAJI MWINGI , UMBEA that's what we're capable of...... ila tatizo huenda liko kwa DNA
 
Hujawahi soma newton - Ralph son methodvkwenye hesabu .Hizi ni law zilizogunduliwa na watu wawili tofauti wasio na mawasiliano yoyote.Kumbuka miaka ya nyuma hakukuwa na google.Strings theory iligunduliwa kwenye kitabu cha hisabu.
 
Mkuu geneus hawamalizagi shule kwa mtindo wa madarasa hurushwa madarasa. Nikimuangalia Elon Musk na njua alixopita naamini ma genus wapo ila wanafubaa Fikiria Elon angebaki Afrika kusini angekuwa kama alivyo kweli?
 
Hujawahi soma newton - Ralph son methodvkwenye hesabu .Hizi ni law zilizogunduliwa na watu wawili tofauti wasio na mawasiliano yoyote.Kumbuka miaka ya nyuma hakukuwa na google.Strings theory iligunduliwa kwenye kitabu cha hisabu.
Sijaelewa unachotaka kusema ni nini hapa.

Sijasema Mpemba na Aristotle walikuwa na mawasiliano ya moja kwa moja, Mpemba aliishi takriban miaka 2500 baada ya Aristotle.

Nimesema tu kwamba Aristotle alishaandika hizi habari kabla ya Mpemba, miaka takriban 2500 kabla ya Mpemba kuzaliwa, zikasahaulika, Mpemba akatukumbusha kwa kuzieleza hivyo hivyo peke yake. It is highly unlikely kwamba Mpemba alimsoma Aristotle na hakuna rekodi hiyo popote.

Hizo habari za watu kugundua vitu independently nazijua, sihitaji wewe unifundishe.Hata Newton na Leibniz waligundua Calculus independently.

What is your point?
 
Neno kukumbusha lina maana gani? Hoja yako ni kumbeza mpemba kwamba hajagundua chochote bali ni kitu kilikuwepo, na msingi wa hoja na swali ni waafrika wamegundua nini?
Wengi hawaamini muafrika anaweza kugundua jambo.
Mpemba effect bado inaumiza vichwa vya wanasayansi japo zimekuwepo hypothesis nyingi.Nilitarajia umpongeze mpemba badala ya kumbeza kwa usanifu wa lugha.
 
Max Malipo imegunduliwa na Kijana kutoka DIT
M- PESA iligunduliwa na wakenya, ila chimpanzee hawana taarifa na hizo gunduzi. Ukimsikia mbongo anabeza basi ujue ni kilaza tu Fulani asie na taarifa za ulimwengu unavyoenda.Google imehaa taarifa kibao bado mtu anakuwa mjinga.
Kikiumwa malaria kinalalamika af hicho kinaenda hospitality kutibiwa na watu kinaowabeza,kikopina kinamwaga maneno machafu.
 
Hivi hali ya Max malipo ikoje kwa sasa mkuu?
 
Neno kukumbusha lina maana gani? Hoja yako ni kumbeza mpemba kwamba hajagundua chochote bali ni kitu kilikuwepo, na msingi wa hoja na swali ni waafrika wamegundua nini?
Wengi hawaamini muafrika anaweza kugundua jambo.
Mpemba effect bado inaumiza vichwa vya wanasayansi japo zimekuwepo hypothesis nyingi.Nilitarajia umpongeze mpemba badala ya kumbeza kwa usanifu wa lugha.

Tuangalie facts.

Facts.

1. Aristotle alishaandika kuelezea hiyo inayoitwa Mpemba effect miaka zaidi ya 2300 iliyopita.

2.Mpemba effect haiumizi kichwa wanasayansi tena, walishaeleza inavyotokea tangu mwaka 2010.

Bisha.

By the way, kusema kwamba Aristotle aliandika kuhusu hii inayoitwa Mpemba effect miaka zaidi ya 2300 iliyopita si kumbeza Mpemba.

Kama Aristotle aliwahi kuandika, hiyo ni fact.

Na Mpemba bado atabaki kuwa mtu muhimu kwa kutukumbusha kuhusu hii fact, especially kama alijua hili jambo kwa independent observation katika jamii ambayo haikuthamini watoto kufanya experiments.
 
Hakuna hypothesis ambayo haijaeleza mpemba effect inavyotokea.Mpemba effect is still a puzzle, scientist still work on it that is what I know.
 
Hivi hata wewe mwenyewe umesoma na kuelewa ulichoandika?

Unajua unataka kusema nini?

"Hakuna hypothesis ambayo haijaeleza mpemba effect inavyotokea".

Unaelewa maandishi haya yanamaanisha hypothesis zote zinaeleza Mpemba effect inavyotokea, na hakuna hypothesis ambayo haijaeleza Mpemba Effect inavyotokea?

Unajua kufikiri kwa mantiki?

Unajua kuziwakilisha fikira zako kwenye maandishi kimantiki?
 
Na TV zakuonyesha kwa box na kibatari hakuna cha zaidi...

Wamebakiza maneno kama .
actually.
By the way..
In fact.
In the matter of fact.
Of course.

Yote hayo ni kujifanya wamebobea kwenye jambo fulani,,, ktk kutoa ufafanuzi fulani,,

Kumbe hakuna kitu..
Mbavu zangu
 
Hivi hata wewe mwenyewe umesoma na kuelewa ulichoandika?

Unajua unataka kusema nini?

"Hakuna hypothesis ambayo haijaeleza mpemba effect inavyotokea".

Unaelewa maandishi haya yanamaanisha hypothesis zote zinaeleza Mpemba effect inavyotokea, na hakuna hypothesis ambayo haijaeleza Mpemba Effect inavyotokea?

Unajua kufikiri kwa mantiki?

Unajua kuziwakilisha fikira zako kwenye maandishi kimantiki?
Nimekujibu kwa lugha sahihi ila wewe ndio huelewi.Unapsema wanasayansi walishaeleza tangu 2010 una maana gani? Je kabla ya 2010 hawakuekeza inavyotokea? Jibu ni kwamba hakuna haypothesis ambayo haijaeleza mpemba effect inavyotokea, hii ina mana kwamba wote walieeza inaavyotokea ila kuthibisha inavyotokea ndio walishindwa. Nakama wameweza eleza na imethibitika now it is not hypothesis it is a law, unaweza kunipa formula zianazothibitisha na zimethibitishwa? Mara ya mwisho nilisoma hizo article za mpemba 2013, was just hypothetical equations. Ni kama Strings theory tu kuna zaidi ya 5 formula zinazoelezea hio theory but hazijaweza kuthibika kuwa ni kweli, ukweli ktk sayansi unaweza kuwa uongo kwa hio mtu kueleza haithibiki kuwa kweli science is for criticisms. Hivi theory za Origin of the universe kuna mtu kathibitisha kuwa ni kweli mbona watu wameeleza sana.Kwa hio, we we utakuwa unapokea tu jambo kisa mwanasayansi kaeleza?
Nadhani umeelewa japo unadhani unaelewa sana kuliko wengine.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom