Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 17,353
- 32,990
Ule mradi wote umefadhiliwa na Wabelgiji. Hamna akili ya mswahili mle. Kula na kulala kwa hao panya ni kwa hisani ya Wabelgijiumewahi kusikia kuhusu wale panya wa sua?
Ule mradi wote umefadhiliwa na Wabelgiji. Hamna akili ya mswahili mle. Kula na kulala kwa hao panya ni kwa hisani ya Wabelgijiumewahi kusikia kuhusu wale panya wa sua?
Unamaanisha zile incinerator zake alicopy?Profesa Samwel Manyere, aliyekuwa Mkemia Mkuu wa Serikali, alishagundua kitu kikubwa sana na cha kujivunia, ila walio wengi hawajui. Ni kwa sababu huwa hatuna kawaida ya kusoma. Sitakitaja hapa ila nawaachia watu wakitafute wenyewe, kwenye google au wikipedia
Fuatilia historia ya huo mradi ndiyo utajua wasomi wetu ni hopeless kabisa.Panya wanaoyegua mabomu na wandetect vijidudu vya magojwa
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
"hakuna haypothesis ambayo haijaeleza mpemba effect inavyotokea"Nimekujibu kwa lugha sahihi ila wewe ndio huelewi.Unapsema wanasayansi walishaeleza tangu 2010 una maana gani? Je kabla ya 2010 hawakuekeza inavyotokea? Jibu ni kwamba hakuna haypothesis ambayo haijaeleza mpemba effect inavyotokea, hii ina mana kwamba wote walieeza inaavyotokea ila kuthibisha inavyotokea ndio walishindwa. Nakama wameweza eleza na imethibitika now it is not hypothesis it is a law, unaweza kunipa formula zianazothibitisha na zimethibitishwa? Mara ya mwisho nilisoma hizo article za mpemba 2013, was just hypothetical equations. Ni kama Strings theory tu kuna zaidi ya 5 formula zinazoelezea hio theory but hazijaweza kuthibika kuwa ni kweli, ukweli ktk sayansi unaweza kuwa uongo kwa hio mtu kueleza haithibiki kuwa kweli science is for criticisms. Hivi theory za Origin of the universe kuna mtu kathibitisha kuwa ni kweli mbona watu wameeleza sana.Kwa hio, we we utakuwa unapokea tu jambo kisa mwanasayansi kaeleza?
Nadhani umeelewa japo unadhani unaelewa sana kuliko wengine.
Aligundua haku-copy. Hana hadhi ya ku-copy vya wengine na kuvitangaza kuwa ni vyake. Aligundua kitu chake mwenyewe, kikubwa tuUnamaanisha zile incinerator zake alicopy?
Kipi alichogundua?Aligundua haku-copy. Hana hadhi ya ku-copy vya wengine na kuvitangaza kuwa ni vyake. Aligundua kitu chake mwenyewe, kikubwa tu