Kipenseli
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 800
- 1,050
Habari Wana Jamvi?
Naimani mko poa na mnaendelea na harakati za kila siku za kujenga taifa....
Nimeweka chapisho hili kwaajili ya kupata muongozo especially kwa sisi wanafunzi ambao tunategemea kuingia vyuoni kama First Year Students (Flesh) kwa muhula mpya wa masomo.
Kwa wenye experience mtupe muongozo hasa sisi tunaoenda vyuo vya mikoani:-
*Ni kipi natakiwa kwenda nacho au kutokwenda nacho chuo?
*Je siku ya kuripoti na kujisajili Kama mwanafunzi wa chuo inachukua muda gani na unatakiwa ujipange na kiasi Cha fedha kwenda huko?
*Kipi bora kati ya hostel za chuo au kupanga nje ya hostel za chuo?
*Lifestyle gani unatakiwa kua nayo ili kujijengea heshima
*Kwa sisi ambao hatujawahi kabisa kusafiri mikoani ni Mambo gani ya kufanya? Kama hua kuna dharura zinatokea ni kipi Cha kufanya tukiwa safarini?
*Je siku ya kuripoti unaweza kuripoti na kurudi tena nyumbani kujipanga au ndiyo siku ambayo unatakiwa ubaki pale chuoni?
Maswali ni mengi na mengine sijayauliza hapa...
Unaweza kutoa ushauri wako hapa kutokana na uliyowahi kuexperience kwa kuwa nina Imani wengi mmepita stage hii
Nawasilisha.