Mambo gani ya fedheha umewahi kufanya kwasababu ya kufulia (kukosa Hela)?

Maisha bila pesa kwangu haikunisababishia shinda kwenye kula tu ila had kulala kwangu ilikua ni adhabu.

Nilala chini huku nimejifunika shuka langu lenye tundu kubwa la kuungua kwa moto katikati
ilipofika usiku wa manane baridi ilikua kali sana nikashindwa kuvumilia barid la chin kwenye cement, nkatoka nje bahat nzuri nikakutana na ubao mmoja mfupi ikabidi niuchukue nikauweke chini niulalie ili nijistiri na baridi, Sasa ikawa mimi ni mrefu kuliko ule ubao ilinibidi nilale nikiwa nimejikunja magoti yamegusa kifua na hayo ndo yakawa maisha yangu kwa muda flani.
Hapo bado msoto wa chakula, aisee asikwambie mtu njaa n hatari na ni blaa.
 
Ogopa sanaa huna hela alafu mchumba anakupigia simu muende Gest yuko tayari na mesha chart sana kimahaba.

Sasa Jomba pesa huna unaishia kuchukua kopo la sabuni na ndoo ya maji unaenda chooni kuamsha hisia dem ndo kaja gest.

Dadeki unasugua mrija na sabuni kisha una nawa unarudi ndani kutazama picha na kulala

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Hili life bana baada ya kumaliza chuo nikagoma katakata kurudi home mdigi alinibembeleza sana nikasema hapana baada ya mda kidogo maisha yakaanza kuwa magumu sana cos no msaada toka home, nikipata pesa kidogo nilikuwa na nunua karanga mbichi robo nakula asbh na mchana jion nazunguka kwenye maghetto ya wana waliobaki kuvizia msosi aise,
Nikiona mambo hayaeleweki kwa wana natembea kama kilometer 7 kwenda kula msosi kwa jamaa angufani ivi hadi kwao nikawa famili member, Mungu amesaidia sijawai rudi nyumbani huu mwaka 4 toka nimalize chuo zaidi nilienda kwenye interview na msibani nikapata nafasi ya kupita home kuwapa hi
usione watu wametoboa ukajua ni rahisi tu maisha ya mambo mengi
 
hii ilinikuta nilipita kwenye kijiwe cha boda boda,nikaigumia 2000 imechokaa,imkunjwa kunjwa,nikaiokota nikiwa nashukuru kwa Mungu hatua chache mbele,naskia naitwa brazaa.
samahani hiyo 2k ni yangu nimeangusha pale nilikuwa natoa mfukoni nyingine hizi hapa zilikuwa 4k.

kwa udadisi nikamuuliza unajua ni shingapi??akaitaja mpaka hali yake,kinyoonge nikampa.
Hii sasa ndio fedheha mengine naona yametajwa matukio tu
 
Home hamna kitu na Nina Moto na mke jioni nikapata jero nikanunua vidagaa SASA inshu ikaja gas imeisha, mkaa hakuna SASA alternative ni kupika kuni hapo kuni nazo sjui napata wapi. Hapo ni Saa mbili usku mchana na asubuhi sjala Ila mtoto alikologewa uji Tu.
Basi wakati narudi home na kmfuko changu cha dagaa nikapita mahali nikaona limeza lipo road nikaona linafaa Kwa kuni nikabeba huyooo daaah mara nakutana na jamaa mmoja akanisimamisha akanambia meza Ile ni yake na mjomba ake huwa wanafanyia biashara kwaiyo Mimi ni mwizi akampigia simu HUYO mjomba wake kumpa taarifa ya wizi Yule mjomba wake akamwambia tukutane pale nilipoichukua Ile meza kweli tukarudi mpk pale halafu ni barabarani nashukuru kulikuwa na kagiza basi tumesubiri were Yule mjomba mtu akapiga simu nikapewa niongee naye akawa ananiambia niseme Mimi ni mwizi au nipelekwe polisi bs nikakili ndivyo nimeiba bs ye akasema kapata emergency kwahiyo hiyo meza ipelekwe kwake nikabebeshwa tena mpk Kwa HUYO mjomba wake kesi ikawa imeisha yaani stasahau sema ni zamani sana
Pole sana mkuu hii kwel ilikua fedheha
 
Back
Top Bottom