Mambo gani tena haya kina dada, khaaa???

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
164848_10150089161161871_759026870_6428098_7687075_n.jpg


HII KITU NIMESHINDWA KUANGALIA PEKE YANGU..NI BINTI WA KITANZANIA, KAZALIWA NA MTANZANIA,ANAISHI TANZANIA NA NI MAISHA HAY HAYA YA WATANZANIA..
 
mbona yuko ok tu, tena amependeza sana na hiyo cheni. Anahamsishaaaaaaaa!
 
Ngoshwe uko kwenye bia ya ngapi hapo kaunta ? asante kwa kutuletea binti mrembo wa kitanzagiza tena mwenye rangi ya asili LAKINI hapo hamna kosa,kavaa vizuri kwa umri wake kwa kifupi nampa 7 kati ya 10.
 
kwani kuna nini?mbona sioni kitu cha kushangaza???????
Umeongea mkuu.
Hakuna jipya hapo dada wa watu amependeza na anacheka. Asingependeza ooh mbaya. Kwanza huyo alieweka hii picha amemwomba ruksa dada wa watu? Otherwise ni violation of privacy
 
sasa weeeewe ngoshwe..kilichokushangaza ni huo uzi...au umeamua kumwagia radhi dada wa watu humu jamvini....mie mbona naiona sawa tu...tena kajisitiri kabisa
 
Back
Top Bottom