Mambo gani mtu anapaswa kufanya kabla ya kuacha kazi

Kwahiyo hutaki tuseme walioshindwa?!
Alishindwa yeye na si mwingine. Shida zenu kashindwa fulani basi wote tutashindwa tu make fulani kashindwa.

Na swala la mafanikio sio swala la leo.l na kesho some time hata huchukua 15 years na zaidi ya hapo.

Mnataka.kaacha jana basi aanze kuendesha V8 yake. sio hivyo kuna kazi ngumu sana.
 
Watu tunaendelea na biashara zetu tukiwa tumeajiriwa.

Simshauri mtu yeyote aache kazi kwa maneno ya kuckia kwa watu kama nyie
 
MWIAHO

Usitegemee unaacha kazi then unaomba ushauri kwa waliko kazini.

Ni sawa na Ngedere kutaka kuachana na biashara ya kulaahindi then anaenda kuomba ushauri kwa Nyani.

Hivi Nyani anaweza mshauri Ngedere aache kula mahindi?

Nyani atampatia vitisho sana imiwemo kufa kwa njaa endapo ataachana na ulaji wa mahindi
 
Mkuu kwanza uamuzi ni wako,

Yaani wewe ndo utaamua unataka uishi vipi na kufanikisha ndoto katika maisha yako,

Naamini hakuna cha ziada zaidi ya msukumo wa ndani unaokuhusu wewe mwenyewe,

Yaani kwanini unataka uache kazi,je tayari una biashara au una wazo la biashara ambalo unahisi linaweza kufanikiwa ukilisimamia vizuri

Ukishapata hayo majibu baaasi uko tayari kusepa

Ukitaka ujitengeze ndo uache kazi you will never make it
 
Watu tunaendelea na biashara zetu tukiwa tumeajiriwa.

Simshauri mtu yeyote aache kazi kwa maneno ya kuckia kwa watu kama nyie
sema unajishughurisha na biashara ukiwa umeajiriwa. Kujishughuliasha ni tofauti na kuwa Mfanya biashara.

Make hapo wewe humini kwenye biashara na wala huimini kwenye ajira.

Yaani ni kama Popo si ndege na wala si mnyama.

Mafanikio ni IMANI sasa kama huamini hiyo biashara yako utafanikiwa vipi?

Hahaha by the way biashara njema.

NB: Huwezi kuwa wewe umajiriwa halafu ushauri mtu aache kazi hiyo haipo na haijawahi tokea kamwe.
 
swala la kuacha kazi uamuzi ni wako,, ila uksema usikilize ushauri bs jua kbsa hauwez jisimamia mambo yako mwenyew na km unataka upge hatua fanya maamuzi ya busara fanaya research yako mwenyew kwenye hzo project zako unazotaka kufanya,,,
Then Chukua maamuzi magumu,,, ila uksikliza mtu huwez fanya unachokplan
 
Kuacha kazi ni swala la kibinafisi. Shida yenu mmeisha aminishwa kwamba no Job no Life.

Kwamba maisha yako kwenye kuajiriwa. Mbona sisi tumejiajiri na maisha yanaenda na tunapambana kufa na kupona?

Acha kuogopesha watu.
Pambana hali yako
 
Alishindwa yeye na si mwingine. Shida zenu kashindwa fulani basi wote tutashindwa tu make fulani kashindwa.

Na swala la mafanikio sio swala la leo.l na kesho some time hata huchukua 15 years na zaidi ya hapo.

Mnataka.kaacha jana basi aanze kuendesha V8 yake. sio hivyo kuna kazi ngumu sana.
Kama unajua wapo waliofaulu baada ya kuacha kazi unatakiwa kutambua pia wapo ambao mambo yamewabumia baada ya kuacha kaz
 
Napenda kujua ni mambo gani mtu anapaswa kufanya kabla ya kuacha kazi kutoka kwa mwajiri wake? Kwa mtu anayetegemea kujiingiza katika ujasiriamali au biashara, afanye nini?
Ndg yangu, narejea taarifa yako.
Ila kuamua kuacha kazi si swala la kukurupukaka kwani kibongobongo, kuajiriwa ndo mpango mzima yan.
Lakin usijali, jiedit uone kwanini unaacha, una watu wangapi wanakutegemea, itakuchukua muda gani pengine kimtaji chako kizalishe faida ili kusiwe na gape, mshahara unaolipwa unatoshelezaje mahitaji yako au ndo kufukuza maji, na la mwisho hakikisha kodi umelipa ya mwaka mzima.
Jikaze mkuu
 
Acha kaz
Uone kazi
Kupata kazi

Usidanganywe na motivational speakers wa kibongo ambao 88% wameajiliwa.
Inategemea na mtu anafanya Kazi gani na wapi, but kujitegemea is the best solution. Hakuna kustaafu mpaka nguvu zitakapoisha. Biashara za kutumia remote haziendi mbali hasara tupu

Kama mtu unaudhubutu Hanna shida maana Kazi nyingi saivi ni kwa ajili ya kujikimu tu.
 
Napenda kujua ni mambo gani mtu anapaswa kufanya kabla ya kuacha kazi kutoka kwa mwajiri wake? Kwa mtu anayetegemea kujiingiza katika ujasiriamali au biashara, afanye nini?
Hakikisha una uwezo wa kula na kulala100% kwa muda usiopungua miezi 8. mengine yatakuja mbele ya safari.
 
Kuacha kazi ni swala la kibinafisi. Shida yenu mmeisha aminishwa kwamba no Job no Life.

Kwamba maisha yako kwenye kuajiriwa. Mbona sisi tumejiajiri na maisha yanaenda na tunapambana kufa na kupona?

Acha kuogopesha watu.
Ni kweli mkuu zamani ilikuwa unasoma ili upate ajira lakini sasa hivi mambo yamebadilika unasoma ili uwe na uwezo wa kujiajiri mwenyewe na ulimwengu wa sasa ndio upo hivyo
 
Acha kaz
Uone kazi
Kupata kazi

Usidanganywe na motivational speakers wa kibongo ambao 88% wameajiliwa.
Kama wewe ni mwanaume hutakuja ufanikiwe maishani ukiendelea kuwa na hiyo perception.

Mimi niliacha kazi na nipo fresh tu zaidi ya kazi ile.
 
Watu mnatawaliwa na FEAR OF UNKNOWN.

Watu mna hofu ya kisicho kuwepo hiyo ndo shida kubwa
Hata biblia inasema asiyefanyakazi na asile, haisemi asieajiliwa(kijakazi).
Sasa mtu anasema anaacha kaxi anakuwa na maana gani? Anatakiwa aseme anabadili Kazi afanye nyingine. Ukiacha kaxi laxima ufe njaa.
Issue ni kutafuta kaxi inayokidhi mahitaji yako aidha iwe ya kwako au ukapige kibarua.
Kwa dhana ya kaxi watu wengi hawaelewi mi naona wanaamini kuajiriwa ndo kaxi, kumbe hata mlima viaxi kule njombe naye anakazi pia.
Bwana chasha hapa unaweza Maliza wino lakini watu wanakitu vichwani mwao kimewakaba hawatakuelewa.
Ukimwona mtu anafail na kukata tamaa baada ya kuacha kaxi huyo hajui alichokuwa anakitafuta.
Basic needs ni food,shelter na nguo basi.
 
Aisee
Nakeleka Sana kuona mwanamme anatumia X kweny baadhi ya heruf badala ya kuweka herufi usika.
Kwanza namshisha thaman hata Kama simjui
 
Back
Top Bottom