Mambo au makundi ambayo hayajawahi kufikia muafaka hapa JF

Mwananchi B

JF-Expert Member
May 23, 2013
1,559
3,216
Katika pitapita zangu hapa JF naona kuna mambo au makundi ambayo hayajawahi kupata muafaka au pande mbili, tatu au zaidi ya hizo kukubaliana na kuwa upande mmoja. Na kuna uwezekano haya mambo au makundi yasije pata muafaka kabisa.

Baadhi ya hayo mambo Ni

1. Wanaoamini Uwepo wa Mungu Vs Wasioamini uwepo wa Mungu

2. Watumiaji wa IOS Vs Watumiaji wa Android

3. Wapenda FIFA Vs Wapenda PES

4. Wapenda Tecno Vs Wapenda Samsung na Iphone ( Hawa huwa wanaungana linapokuja suala la Tecno)

5. Wanaovutiwa na Wanawake weusi Vs Wanaovutiwa na wanawake weupe.

6. Wale wazee wa Semi trailer Vs Wazee wa English figure.

7. Wapenda Cdm Vs Wapenda Ccm

8. Wapenda Simba Vs Wapenda Yanga.

9. Wanaoamini kupiga pesa lazima utoke jasho haswaa Vs Wanaoamini Si lazima utoke jasho haswaa ndo upige pesa

10. Chaputa Vs The rest

11. Wale wa Udsm Vs Wale wa Teku na wengineo

12. Uzuri wa Dar es Salaam Vs Uzuri wa Nairobi

13. Wazee wa Gambe Vs Wazee wa Fanta Orange

14. Wanaume wa Dar Vs Wanaume wa Mkoa

15. Wale wanaopenda mwanaume kwa bed Vs Mwanaume ni Pesa ( Ila hapa hali ikiendelea hivi, kuna Hatari ukabaki upande mmoja tu)

16....

17....


Ongezea mengine hapo..............
 
Mkuu unataka tuongezee afu tutapata nini in return?
mbona kama umeuchezea muda wako huu wa kulala kuandika ujinga kama huu?
pumzika ili ufikirie kuhusu kesho utaianza vipi..
 
Inabidi ichezwe mechi ya kirafiki kati ya Mgeni Vs Faiza fox, Gavana etc maaana hawa ukiwakuta kwenye mambo ya dini utapasuka mbavu vijembe vyao

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
FB_IMG_15497922118028850.jpg


Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Mkuu unataka tuongezee afu tutapata nini in return?
mbona kama umeuchezea muda wako huu wa kulala kuandika ujinga kama huu?
pumzika ili ufikirie kuhusu kesho utaianza vipi..
Bro unayachukulia maisha serious kana kwamba tunaishi milele.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom