Mambo ambayo mwanadamu amejiongeza nje ya uumbaji

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
1. Mwanadamu Hakuzaliwa na Nguo ila sasa nguo zinatutia hata umasikini na kutugawa
images

2. Mwanadamu ana matundu mengi sana ila wengine wameongeza matundu yao kwa kujitoga

upload_2016-6-26_12-10-22.jpeg

3. Mwanadamu aliumbwa na rangi asilia ila wengine hawajakubaliana na rangi zao
upload_2016-6-26_12-8-33.jpeg

4. Mwanadamu alizaliwa na Gari asilia TZ 11

5. Mwanadamu alizaliwa na soli ya Mungu ila tumejitahidi kutafuta soli zetu

13495113_1552993928340458_1697843007044616042_n.jpg

6. Mwanadamu alizaliwa na macho mawili wengine sasa wana MACHO MANNE

upload_2016-6-26_12-6-19.jpeg

7. Mungu alituumba na hewa asilia napo tumejiongeza

upload_2016-6-26_12-7-24.jpeg

ongeza, punguza ama rekebisha maisha yasonge
 
Attachments

  • upload_2016-6-26_12-9-39.jpeg
    upload_2016-6-26_12-9-39.jpeg
    8.4 KB · Views: 46
Mmmh watu wabunifu, mkuu umewaza nini mpaka kuleta uzi huu?, ngoja nikae hapa nione mambo yote yatakayoongezwa
 
Natamani ungeongezea mawigi ya wanawake khaaaaa....... ni moja kati ya vitu vinavyonikera maishani mwangu kumwona mwanamke aliyejaaliwa kuwa na nywele ndefu then akaamua kumkosoa Mungu kwa kuvaa manywele feki.
 
1. Mwanadamu Hakuzaliwa na Nguo ila sasa nguo zinatutia hata umasikini na kutugawa
images

2. Mwanadamu ana matundu mengi sana ila wengine wameongeza matundu yao kwa kujitoga

View attachment 360322

3. Mwanadamu aliumbwa na rangi asilia ila wengine hawajakubaliana na rangi zao
View attachment 360320

4. Mwanadamu alizaliwa na Gari asilia TZ 11

5. Mwanadamu alizaliwa na soli ya Mungu ila tumejitahidi kutafuta soli zetu

View attachment 360315
6. Mwanadamu alizaliwa na macho mawili wengine sasa wana MACHO MANNE

View attachment 360317

7. Mungu alituumba na hewa asilia napo tumejiongeza

View attachment 360319

ongeza, punguza ama rekebisha maisha yasonge
Mungu aliumba tujamiiane nyama kwa nyama watu wamejiongeza kwa kondom!
 
Tuliumbwa tukaijaze dunia... Ndoivo tunaijaza kwa kila aina ya takataka... Kila kilichopo nje ya mwili wa binadamu ni kujiongeza
 
Natamani ungeongezea mawigi ya wanawake khaaaaa....... ni moja kati ya vitu vinavyonikera maishani mwangu kumwona mwanamke aliyejaaliwa kuwa na nywele ndefu then akaamua kumkosoa Mungu kwa kuvaa manywele feki.
HII ILIKUA MOJA YA NYONGEZA
 
Back
Top Bottom