Mambo ambayo hayajamalizika chini ya utawala wa JK

Taifa_Kwanza

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
443
86
Hizi ni baadhi tu ya issues ambazo bado hazijakamilika mpaka sasa.
1. Wizi wa EPA (Rostamu, Manji, CCM) kushughulikiwa
2. Report Uchakachuaji wa Kura za DR, 2010 Election
3. Sheria ya kusimamia mchakato wa Katiba mpya.
4. Kesi tulizoahidiwa na Bosi wa Takukuru.
5. Ushahidi wa Lema kwa kumuita Pinda Muongo Bungeni.
6. Kesi ya Maandamano Arusha dhidi ya viongoze wa CDM
7. Sakata la Madiwani wa Arusha
8. List ya Viongozi wa dini wanaouza dawa za Kulevya.
9. Kukamilika kwa zoezi la kujivua Gamba
10. Uchaguzi wa Mwenyekiti UVICCM
11. Uchunguzi wa Jairo
12. Uchunguzi wa UDA
13. Kesi ya Mpendazoe dhidi ya Ushindi wa Mahanga
14. Kesi ya Ridhiwan dhidi ya DR
15. Kesi ya Biyondo Mwanza.
16. Kurudishwa kwa Wanyama waliotoroshwa.
17. Maamuzi kwenye issue za Shibuda.
18. Report ya Matumizi wakati wa Uchaguzi kutoka CCM.
19.
20.
21.
Naomba tukumbushane nyingine zaidi, issue ya Giza nimeiacha sababu najua haitaisha.
 
Kuna sakata la DOWANS, udini uchaguzi mkuu uliopita, VIJISENTI VYA S@HIMBO, SUTI ZA Kikwekwe, ukabila wa LUHANJO, NK. Mwingine!
 
Makao makuu kuhamia Dodoma, Kagoda, Meremeta, Tanzania kushiriki vita ya DRC, Kufungwa kwa mitambo ya mw 100 Dar......
 
Back
Top Bottom