Mambo 8 kuhusu afya ambayo unatakiwa kuyafahamu sasa

johndume

Member
Sep 25, 2014
50
20
MAMBO 8 KUHUSU AFYA AMBAYO UNATAKIWA KUYAFAHAMU SASA
art-myths-randomfacts.jpg


1) Baadhi ya sehemu hapa duniani huwakinga watoto wao dhidi ya magonjwa kwa kuwaogesha kwenye bia

2) kuna zaidi ya kemikali 1000 kwenye kikombe cha kahawa ,ni 26 tu kati ya hizo zimefanyiwa majarbio na zinazsababisha kansa kwa panya

3) Kuna bakteria wengi zaidi katika mdomo wako kuliko idadi ya watu duniani.

4) Unatumia nguvu nyingi zaidi ukilala kuliko unapoangalia tv.

5) Ukivuta sana sigara unaweza kuwa kipofu.

6) Watu wanaotumia mkono wa kulia huishi kwa wastani wa miaka 9 zaidi kuliko wanotumia mkono wa kushoto zaidi.

7) Una urefu wa 1 cm zaidi wakati wa asubuhi kuliko jioni

8) Katika maisha yako yote utakula takribani Kg 27215.542 za chakula ambazo ni sawa na uzito wa tembo 6
 
Mh! Anaetumia mkono wa kushoto...kuanzia Leo naanza kutia niishi miaka 9 zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom