Mambo 7 yanayowaumiza wanaume kwenye mapenzi

Hiyo ya kulinganisha bhana huwa inawafanya wanaume wajisikie vibaya mnoo, hata kwa wanawake ila kwa wanaume zaidi!!!!

Huyo ni mwanaume wako, ulimpenda ukamchagua sasa unamlinganisha na fulani ili iweje labda!!!! Tunalalamika wanaume hawana nguvu za Usiku lakinii Sisi ni chanzo namba moja, sababu ya midomo yetu.

Naamini sio wanawake wote ila weeengi jamani midomo yetu inaweza jenga na inaweza bomoa pia!!!!!

Hata miwanaume inalinganisha kuna siku nikiwa university miaka ya 1996 nikamtembelea uncle wangu nikamsikia akimtania mkewe " wakati Mungu akigawa wowowo kwa wanawake wengine wewe ulikuwa wapi" mimi nilicheka lakini nikahuzunika
 
Hahahaha
Wakati wa kumuoa hakuliona hilo???
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom