Mambo 5 yanayotajwa kuporomosha umaarufu wa Rais Samia

HaMachiach

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
3,399
6,077
Rais wa Jamhuri wa Muungano, Samia Suluhu Hassan, anakabiliwa na kibarua kigumu cha kujisafisha kwenye mioyo ya wananchi na jumuiya ya kimataifa, kufuatia utawala wake kugubikwa na mambo matano yanayoutia doa katika siku za hivi karibuni. Anaripoti mwandishi wa gazeti la Mwanahalisi Online na Raia Mwema

Miongoni mwa yanayotajwa kuwa ni kasoro na ambayo yanapunguza matumaini ya wananchi wengi, ni pamoja na uanzishwaji wa tozo mpya za miamala ya simu za mkononi; kudorora kwa uhuru wa kujieleza kisiasa na kasi ya kushughulikia mchakato wa Katiba Mpya.

Mengine, ni kigugumizi cha kushughulikia ahadi yake ya kukutana na viongozi wa upinzani, kushindwa kufunguliwa kwa magazeti yaliyokuwa yamefungwa na ambayo tayari yalikuwa yamemaliza adhabu yake; kukamatwa kwa mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA; na jinsi alivyoshughulikia ugonjwa wa korona kwa kutumia watu wale wale waliokuwa wapinzani wa tiba za kisayansi na kuwa kinyume na mikakati ya mtangulizi wake hayati Magufuli katika kushughulika UVIKO-19.

Kabla ya kuibuka kwa dosari hizo, ndani ya siku 100 Rais Samia alipongezwa na watu mbali mbali, ikiwemo jumuiya ya kimataifa, kwa hatua zake mbali mbali, ikiwemo mapambano dhidi ya korona, ufufuaji wa uchumi kwa kuvutia wawekezaji na kurejesha vyombo vya habari vilivyofungiwa na kuruhusu uhuru wa kujieleza.

Kwa habari zaidi, soma gazeti la Raia Mwema la leo, Jumamosi 31-Julai-2021
 
Ya mbowe imemchafua
 
Mwandishi na mapungufu....

<Katiba mpya

Katiba mpya SI hitaji la dharura la watanzania ....

Wengi wa Tanzania Wala HAWALILI hiyo katiba mpya....

Lingekuwa ni hitaji kubwa la We ,CCM isingesita kuliweka katika ILANI YAKE YA UCHAGUZI YA 2020....

Mwandishi wa "Chadema" anataka kutuingiza watanzania wote katika hitaji hilo la chama chake ,akisahau ya kwamba wako watanzania wengi wasio na vyama.....
Ajenda yao ya chama chenye mbunge mmoja wa kuchaguliwa haiwezi kuwa ajenda MTAMBUKA ya wananchi walio wengi ....

#KaziIendelee
 
nampongeza mama kwa kutukamatia huyu gaidi.pengine tukajua ule mzimu uliokuwa unawapoteza vijana wetu kiajabuajabu bila hata kujua Nani ni Nani !!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom