Yawezekana ndio hiyo hiyo kwa vile wengi huielezea Qnet kwa mtazamo huo. Ingawa kiuhalisia si kweli kuwa unahitaji uanze kuwa msambazaji kwa kulipa hiyo bei. Bali ni kwa kununua bidhaa ambayo pia si lazima iwe ya hiyo bei. Na kama utakuwa ni msambazaji si lazima pia usambaze bidhaa kwa kushurutisha watu kununua bidhaa za hiyo bei. Waweza jifunza zaidi juu ya hii fulsa kupitia kwenye website yao.

GOODMORNING MILLIONAIRE.
 
Goodmorning, hii salamu ni kipimo tosha kama Unajua inatumika Muda gani kama hujui ndo mwanzo wa kupoteana na wenye akili, sorry nje ya lengo.

Mtoa thread ilikuajekuaje ukajikuta umeingia huko
Mategemeo yako yashatimaia au bado unamatumaini ya kuwa bilionea kwa Njia ya kisasa maana nikisema bilajasho ntakuwa naongopa jasho linawatoka sana kutafuta partners once ukishaikubali ile salaam bila kujua ni nyakati gani uitumie.
 
Habari ndugu wasomaji,

Naandika UZI huu ili tu kujaribu kushaire kile ninachokifahamu.

Maarifa haya yanatokana na uzoefu wangu na dhana kutoka katika hekima ya vitabu kadhaa ikiwemo pia kutoka kwenye mitazamo ya watu makini kwenye Tasnia husika.

Mada ni QNET as E-commerce;

Ningependa kulist ecommerce platforms maarufu mfano, EBAY, ALIBABA, AMAZON hiyo ni mifano ya ecommerce platforms ambapo mtu anaweza nunua bidhaa yeyote akiwa popote duniani. Dunia imekua kijiji bidhaa yoyote iliyopo popote inaweza nunuliwa na yeyote aliyepo popote duniani na akaipata. Platforms hizi zimeundwa kwa utaalamu mkubwa na hivyo kutoruhusu mianya yeyote ya wizi au ulaghai kati ya wanunuzi na wasambazaji. Ukiwa unatumia mifumo hii kununua bidhaa basi hatua zote za ununuzi hufanywa ndani ya hiyo mifumo hatua kwa hatua.
Hizi ecommerce platforms nyingi zilizopo zimeundwa ili kukutanisha wanunuzi na wasambazaji. Waasisi wa mifumo hii (hiyo niliyoitolea mfano) huwa hawana bidhaa yeyote mule bali bidhaa zote zilizomo mule ni za wasambazaji husika.
Lakini pia zipo E commerce platforms zingine ambazo ni kwa ajili ya bidhaa za kampuni fulani tu ambapo wanunuzi wake huitumia ili kununua bidhaa hizo.

E commerce platforms imepelekea watu kupata wateja kirahisi na katika wingi usio na kikomo lakini pia imepelekea wanunuzi kuwa na uwezo wa kupata wigo mkubwa wa uchaguzi wa bidhaa watakazo kutoka mahali popote duniani.
Wajasiriamali wa kileo wamerahisishiwa sana kazi zao kutokana na uwepo wa mifumo ya aina hii.

Qnet ni E commerce sytem ambayo ipo kwa ajili ya bidhaa za kampuni fulani tu (bidhaa za QI company), ni ofauti na platforms zingine ambazo wajasiriamali huweka bidhaa zao humo ili kupata wanunuzi, kwenye QNET huwezi ku upload bidhaa yako.

Kwa kipekee kabisa E commerce platform ya QNET, bidhaa za mule zote huwa zinauzwa na wasambazaji wao tu. Hapa inamaana kampuni ya QNET imetoa haki ya umiliki wa online shop yake kwa 100% kwa wasambazaji wake waliothibitishwa ( IR).

Hii imekaa vipi... ni hivi;
Online shop ni moja dunia nzima ambapo bidhaa hubadilika kutokana na nchi aliyopo mnunuzi.. Lakini kila mnunuzi akiwa anafuata hatua za ununuzi online basi hutakiwa kuweka special Id Number ya IR aliyempa taarifa ya bidhaa za qnet ili afanikiwe kununua la sivyo hatoweza kununua.
Na hawa IRs hulipwa commision zao kupitia online acconts zao mara tu mauzo yakikamilika.

Hivyo QNETni E commerce platform pekee ambayo wajasiriamali wanahaki ya kuuza bidhaa zilizomo dukani na ilihali si zao.
Yaani ni kwamba Mjasiriamali yeyote anaweza kumilikishwa E commerce system with full of products ambapo at any time product inauzika anakuwa akipata faida ya mauzo yale.

Kwa leo nililenga eneo hili tu..
Till next time..
Thanks.
 
Kuna watu wanajifunza kwa KUONA (matokeo au maumivu) na Kuna watu wanajifunza kwa KUSIKIA. Hawa watu kundi la pili mara nyingi wako salama.
Ilinza DECI, NAMAINGO, SIJUI D9, QNET na nyingine nyingi ziko njia kuja na kwa namna tofauti yote hii sababu fursa zipo, wapumbavu wapo wenye nyota ya kutapeliwa wapo. Ikumbukwe Dunia kuwa na watu wa kufanana ni hatari, majinga jinga lazima yawepo. Big up Qnet, Big up matapeli wote
 
Kwanza hizo eBay, AliExpress na Amazon watu wanapigwa kila siku msikakaririshane maneno ,elezea kitu kwa experience

 
Hizo bidhaa za qnet ni bora kiasi gani mpaka manunuzi yawe kupitia mtu wa kati?
Sina hakika kama nimekuelewa vyema but nitajibu nilivyokuelewa.
Kutokana na nilichoandika sijagusia ubora wa bidhaa za qnet ingawa ni dhahiri kuwa zina specification zake ambazo ni muhimu kuzingatia ili kujiridhisha kabla hujazinunua.
Dhana ya kupitia mtu wa kati pia sijaizungumzia pale but Ununuaji wa bidhaa kupitia e commerce platform ya qnet hakuna mtu wa kati anyehusika zaidi ya mtu atoeae taarifa tu. Hii ni kwa vile bidhaa za qnet hazitangazwi maredioni wala kwenye matv hivyo hutumia watu kuongea wao kwa wao hibyo kila mnunuzi huwa kaambiwa na mtu. Watu wa kati na wale watu ambao hununua bidhaa kutoka kiwandani na kuziuza kwa wengine kitu ambacho hakipo kwa mfumo wa qnet.
Katika mada zijazo nitaeleza mengi na utaelewa zaidi.
Thanks
 
Kwanza hizo eBay, AliExpress na Amazon watu wanapigwa kila siku msikakaririshane maneno ,elezea kitu kwa experience

Sikuwa na nia ya kukuaminisha kuhusu ecommerce platforms hizo. Ni kweli hakuna jambo lisilo na kasoro lakini nililenga kutoa mwanga juu ya nini maana ya e commerce ndo nikaona nitolee mifano hizo platforms maarufu.
But moja kati ya kasoro ya mifumo ile niliyoitolea mifano ni kwamba inakutanisha wanunuzi na wauzaji.. inamaana maovu hufanywa na hao watu na sio ile mifumo sema mianya iliyopo ya kusababisha hali hiyo kutokea ndo kasoro za hiyo mifumo na ndo kinachopelekea ikatofautiana ubora kati ya huu na ule.
Umakini mkubwa unapswa kuwepo ukiwa unatumia mifumo ile na mara nyingi hutoa tahadhari na kukumbusha ya kuzingatia katika kuchagua njia za kuliopana.. hapo ndo utakutana na vitu kama letter of credit( LOC) ili to kudhibiti mambo kama hayo.
Likini hali kama hiyo si rahisi kutokea kwa ecommerce patforms zinazodeal na bidhaa za kampuni fulani tu. Kwa mfano azam anao mfumo wa ecommerce huwa wanatumia wale dealers kuagiza bidhaa zao na si rahisi makosa au uhuni wa aina hiyo kutokea kwa vile ni mfumo unamilikiwa na azam na kw ajili ya wateja wake.. hali kadhalika kwa QNET ni mfumo wa qnet kwa ajili ya bidhaa za qnet na kwa ajili ya wateja wa qnet. Si rahisi uhuni wa hivyo kufanyika. Hatua za ununuzi kwa qnet kwenye malipo kampuni yenyewe ndo inachukua pesa kupitia njia ya malipo ndani ya mfumo na sio kuwa unamtumia mtu pesa. Hivyo kama lolote likitokea kuhusu bidhaa yako unadeal na kampuni direct au kupitia wakala wao aliyepo katika taifa ulilopo. Nhatua sahihi kutokana na sera na kanuni zilizopo zitafuatwa.
 
37 Reactions
Reply
Back
Top Bottom