Kuna mmoja yupo AIM ananisumbua kweli yani......Yaaani kafanikiwa kuanzisha urafiki ghafla tu,simu hazikomi na message za Good Morning kila wakati. She think i will fall to that trap,Kiukweli i dont wanna force my friends and family to become my clients,maana ukiwa huko inabidi kila mtu unayefahamiana naye umforce awe mteja wako.
 
Watu wengi wanaokuja humu JF kuuliza hayo mara nyingi huwa tayari wameshalizwa au wako katika mkondo wa kulizwa soon.
Mleta mada sijui anaangukia wapi?

Kifupi ni kuwa Qnet na AIM Global zote ni network market ambazo ziko katika mfumo wa pyramid (Yaani wachache sana wa juu wanavuna pesa nyingi kwa kutumia migongo ya wengine wengi mnoo wanaokuja kujiunga nyuma yao). Na kanuni kuu ya kutoboa ni kwanza kukubali kulizwa pesa zako wakati wa kujiunga ili nawe uje kuliza wengine wengi watakaojiunga nyuma yako kwa njia za ushawishi zenye maneno mazuri ya ukweli, uongo, ujanja au hila. Kiufupi kabisa ni kuwa wengi wanaishia kushindwa katika biashara hii kuliko wachache mnoo wanaofanikiwa. (ni kama 1/30).

Tofauti kubwa kati ya Qnet na AIM global iko katika mambo haya...
-Gharama ya kujiunga Qnet ni kubwa mnoo (sio chini ya 4.5milioni) hivyo kilio cha kulizwa ni kikubwa zaidi japokuwa furaha ya kuvuna ni kubwa pia ikiwa utafanikiwa nawe kuliza wengine wengi watakaofanikiwa kujiunga nyuma yako!

-Ushawishi wa kuunganishwa kwenye Qnet unafanyika kificho sana (kipepelezi mnoo), lengo ni kukufanyia kwanza kitu kinaitwa 'Brain washout&Brain installation' ili usishtuke au kushtuliwa kama kuna kulizwa!! Ukiwa Qnet utaambiwa kuwa hupaswi kumuuliza mtu mwingine yoyote mambo ya Qnet zaidi ya wanaQnet wenyewe!

Kwa leo niishie hapa, wapo watakaonichukia, lakini wapo wengine watakuwa wamenifurahia. Ukweli ni kama kisu chenye makali pande zote.
Asante kaka mleta mada yupo wanajaribu kumliza ila wanashindwa
 
Kuna mmoja yupo AIM ananisumbua kweli yani......Yaaani kafanikiwa kuanzisha urafiki ghafla tu,simu hazikomi na message za Good Morning kila wakati. She think i will fall to that trap,Kiukweli i dont wanna force my friends and family to become my clients,maana ukiwa huko inabidi kila mtu unayefahamiana naye umforce awe mteja wako.
Ndo kinachotokea kwangu, simu na txts daily wanadai tukutane makumbusho lapf towers
 
Doh hapa nampigaga chenga za kutosha sana,huwa nalazimisha kama anataka kuonana tuonane posta tena sa kumi jioni....hapo anatoa visingizio maana anajua hataweza kunishawishi mwenyewe
Hahaaaa wakianza kukupa ushuhuda mara oooh huyu alikua mwalim akaacha akajiunga sa hv yupo gud, huyu mwanafunzi wa chuo sijui kaachieve gari
 
Hahaaaa wakianza kukupa ushuhuda mara oooh huyu alikua mwalim akaacha akajiunga sa hv yupo gud, huyu mwanafunzi wa chuo sijui kaachieve gari

Labda kama wote mule ndani wana nyumba zao walizojenga kwa hela za qnet/AIM ndio watanishawishi 😂😂😂
 
unakutana na mtu anakwambia ana bidhaa nzuri na yenye ubora, imethibitishwa na TBS na viwango vya kimataifa, alafu bithaa inauzwa buku ila wewe utapewa kwa promotion shilingi 500.ukimuangalia anekuuzia unatamani kulia...Qnet ni walewale tu hahaha GOOD MORNING.
 
Hahhaha hv na wa kwenye mabasi ya mikoani wanaouza bidhaa ni aim global ama hahaa
 
Back
Top Bottom