UNAWAPA MILIONI TANO YAANI 5M KISHA WAO WANAKUPA SAA UKAUZE. NI WIZI WA AINA YAKE. KAA MBALI. NARUDIA KAA MBALI. UTALIZWA!
 
Hela ya kuwapa mm sina lakni

kinacho nisikitisha jamaa kaniondoa mkoani kanigea ahadi kibao kuna kazi bro nafika huku kazi inageuka Biashara mara unatakiwa ku invest
Shauri yako utapigwa nje ndani. Uchanganyikiwe uanze kuvushwa barabara za vumbi na watoto.
 
Hela ya kuwapa mm sina lakni

kinacho nisikitisha jamaa kaniondoa mkoani kanigea ahadi kibao kuna kazi bro nafika huku kazi inageuka Biashara mara unatakiwa ku invest
Kaa chonjo kijana maisha sio simple Kama wanavokuaminisha, usijaribu kutoa hata Mia mbovu
 
Daa huu uzi umenisaidia sana. Mm jamaa yangu aliita ktk style zote ambazo nimezisoma humu na nikafika nikasalimiwa good morning wakati ilikuwa saa 11 jioni ila nikavumulia tuu. Nikaingia kwenye mafunzo ya awali ila nilitoka sijaelewa kitu na nikaahidiwa nitaelewa vizur kwenye mafunzo ya pili. Kwasababu mm huwa ni mwoga sana wa michezo ya upatu, pia nikawa bize na kazi zangu nikawa sijahudhuria mafunzo ya awamu ya pili ila jamaa ana push sana niende, hata wiki mbili zilizopita alinialika kuwa kuna maonesho ya bidhaa ofcn kwao, nilitamani kuhudhuria ila ratiba ikanibana nikashindwa. Hv bado nilikuwa na nia ya kwenda kupata mafunzo ya awamu ya pili ila sikujua kama kuna kiingilio kama hicho. Huyu jamaa keshanikosa maana biashara ya upatu sifanyi.
 
Na mm pia jamaa kila akipita wimbo ni huo huo namuambia hata nikija nikaipenda biashara yenu sina kiingilio wanadai oohh we njoo hayo mambo ya viingilio sio hera nyingi yatajulikana huko baadae cha mhim we njoo upate darasa
Dah kuna jamaa ananishawishi balaa
 
Salam wakubwa.

Naomba kujuzwa tofauti iliyopo kati ya qnet na aim global hasa kwa watu wanaofanya network marketing
 
37 Reactions
Reply
Back
Top Bottom