MrHd787583
Member
- Apr 28, 2017
- 63
- 40
Hulazimishwi kuelewa mkuu. Ila ukija na facts hii hoja yako itabamba sana.Acha mbwembwe scammer
Hulazimishwi kuelewa mkuu. Ila ukija na facts hii hoja yako itabamba sana.Acha mbwembwe scammer
Next Friday mzee. Nimejiwekea utaratibu wa kuweka thread mpya humu kila ijumaa. Ili kupisha muda wa watu kujadili na kupata kujua maeneo muhimu ya kuelimishana kutokana na michango ya wadau.Ipo siku ipo siku ipo siku ipo siku . Siku ipi hiyo ?
Hulazimishwi kuelewa mkuu. Ila ukija na facts hii hoja yako itabamba sana.
Hunijui hata. Unapata wapi ujasiri wakuniambia nijanjaruke au kuniambia nitazeeka masikin?Acha kuinvest energy yko kwenye upuuzi janjaruka mtoto, utazeeka masikini.
Hiyo ndio silaha kubwa ya Qnet wanayoitumia ili kuweza kumtapeli mtu kirahisi, hawataki kukupa nafasi ya kuwa na free mind ya kuidadisi biashara yao kwa kuuliza watu wengine(maana wanajua kwa hakika watu watakushtua usije ukalizwa).Mimi nilkarbishw huko pasipo kuelezwa kusudi halisi. aniliambiw kuna fursa ya biashara niende nikasikilize. Nilichojifunza ni kuwa, Qnet ukienda kwao wanakukataza kutafuta habari kwa watu wengine ila kwao tu. Cha ajabu waliojiunga muda mrefu sioni wakitajirika kwa kasi ile wanayoisema kwenye semina zao, zaidi sana naona kama wanapotez matumaini kila siku hata ile mialiko haipo tena siku hizi.
Huku beberu likiunguruma tu mbooooooooooo
Hata Mimi kunaniweka mjini sijaacha kuagiza , isipokuwa nimemsahihisha mleta mada kusema hizo e-commerce site ziko safe 100 wakati si kwelii . Kama zingekuwa salama kiasi hicho watu wasingeibiwa pesa zao.Pole sana mkuu. Kila kitu duniani kina pande mbili. Pengine hukuwa na taarifa za kutosha wakati unatepeliwa. Aliexpress huko ambako we umetapeliwa, mi kunaniweka mjini. Hata simu tu nnayoandikia hapa nimeitoa huko.
Muhimu ni wewe unachagua kuona upande upi katika jambo husika.
Haha nimeona hoja moja au mbili inayohusu mada iliyopo.Qnet Bana. Mungu anawaona. Washaurini waweke Bidhaa za kitanzania. Na Holiday package za kwenda zanzibar, serengeti Katavi.
Pia muwe mnaonesha bank slip/ statement tuone hizo hela nyingi mlizotajirika. Pia mtoe na mikopo iwasaidie watu wanunue bidhaa maana nyie mshatajirika.
Hapo vipi.
Upo ndani ya mada? Au umekosa pa kuweka bandiko lako ukaona uweke hapa mzee?Mtaji wa mtanzania ni ujinga ndo maana kila mwaka tunachagua viongozi bomu..we mleta mada usitake kunifanya nifungiwe maana ntakutukana..nyie ni matapeli na kwa dhambi hiyo hata mbinguni hamwendi...hapo ulipo viatu vimeisha soli unataka danganya akili kubwa humu..ndo maana mi sikuhizi nakuja kwe tuvikao vyenu vya good morning kuwagongea videm vyenu desperate..fanya kazi msipende urahisi katika maisha siku hizi mtapewa uhujumu uchumi..hili jambo tunalijadili mwaka wa 2 bado tu unakuja na mashudu yako
Ndugu yangu anataka kuniunganisha QNET, nipeni maswali ya kwenda kuwauliza
Habari wakuu! Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu Awamu ya kwanza! Ilikuwa majira ya saa moja jioni ndugu yangu alinipigia simu na kuniita ofisini kwake huku akinisisitiza nisikose kwenda kuna issue muhimu anataka kuniambia! Bila kubisha nikamuitikia na kumwambia...www.jamiiforums.comMambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)
Habari wadau, niliwahi kuja na uzi hapa kuhusu D09 CLUB Miezi michache kabla haijapotelea kusikojulikana na nilishambuliwa sana na waliliwa pesa zao na bila kujua hatma yao wanarudishiwa vipi na nani. Leo naomba nije na mambo 30 usiyoyajua kuhusu Qnet. Qnet ni network marketing ambayo imevuta...www.jamiiforums.com
Kwanini walimu wengi wamekamatwa Qnet?
Habarini,bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada,kwa nini walimu wengi wamekamatwa na Qnet wakati halide zao za maisha zikiongezeka kwa tight Majibu yenu yatasaidia kuwakomboa au kuwaumiza walimu. Sent using Jamii Forums mobile appwww.jamiiforums.com
Gudumoningi kakakyuneti.Upo ndani ya mada? Au umekosa pa kuweka bandiko lako ukaona uweke hapa mzee?
Jenga hoja acha matusi.
Unadhani wewe watosha kunizuia kuandika kitu humu mzee?
Wenye utimamu wa akili wanasoma uliyo andikana ninayoandika na wanachambua.
Baki kwenye mada.
Thanks.
Asante sana.QNET and E-Commerce
Don’t be fooled by joining QNET or any such company that sell their own products through you, making you a sales agent of their company and misguiding you by giving an illusion that you are doing your own business, It is not E-Commerce Business. People join QNET thinking they are doing some E-Commerce business or you can say they are injected to think they are doing some E-Commerce/Online business but that’s not true actually they are made fool and prepare to make others fool.
Under the umbrella of this beautiful concept of E-Commerce business, QNET is trying to sell their own overpriced products and making people QNET sales agents instead of educating them how to do online business of their own choice.
What is E-Commerce business:
E-commerce business means selling products of your choice following legal guidelines on E-Commerce sites like Amazaon, Flipkart, Snapdeal and Shopclues or creating your own website and selling products through it.
When people join companies like QNET etc. they are told many times that they are doing some E-Commerce business which is a totally wrong. QNET IRs are also sales staff whose company do Network Marketing. But they are told and motivated like they do some type of business only so that they can convince other people as well with this false belief.
E-Commerce term is used by companies like QNET which wants to put this false belief into the minds of its associates that they are also business persons and doing some E-Commerce. Which is bad as if they will act like a businessman without being one, why would they even try to be one in actual. They are brainwashed in such a way that they find very hard to accept this very simple logic that they are just like any other network marketers and not an actual business person.
They often misguide people by giving them wrong commitment that they will do business in QNET. Later when people joined the company they are told to repeat the same with other people as well. QNET is a direct selling company like many others.
Network Marketing/Direct Selling power we all know that this concept is one of the best way to promote product or the services. The same concept is used by QNET. But other Network Marketing companies tell its associates that if they will promote their products, they will get commissions, rewards etc.
QNET on the other hand gives false illusion to its associates that they are now business persons and doing E-Commerce business but actually they are doing the same as people do in many other network marketing companies which is promoting products or the services through network marketing.
Which is also one in the thousand reason why people feel cheated after joining this company.
Promoters only file the Income Tax Return, Like Network Marketers do in many companies. Business persons will file GST return as well with the Income Tax Return. Why? Because they are actually business persons.
Mkuu umeingia kwenye link.Hiyo ndio silaha kubwa ya Qnet wanayoitumia ili kuweza kumtapeli mtu kirahisi, hawataki kukupa nafasi ya kuwa na free mind ya kuidadisi biashara yao kwa kuuliza watu wengine(maana wanajua kwa hakika watu watakushtua usije ukalizwa).
Tena wakati wa kukuvuta ili ujiunge nao wanataka iwe siri yako na wao. Lakini wakishakuliza tu pesa, hapo ndio watakushauri uwavute na watu wengine waje kuifahamu Qnet.
Sidhani kama umewa msiiliza mtu kama Jack ma na harakati alizofanya ili alibaba ikubalike. Hivi unadhani ku mafanikio yasiyohitaji juhudi?Kama ni Fursa kweli,kwa Nini kutumia nguvu nyingi kuelimisha watu,Mngejitajirisha wenyewe,
Mbona hao kina AliExpress na eBay hatuwaoni wakitumia nguvu nyingi kujitangaza.
Yani mtu atumie nguvu na ushawishi wa Hali ya juu ili wewe utajirike, really????
Nahisi hadi sasa utakuwa ushaelewa.[QUOTn
Hata Mimi kunaniweka mjini sijaacha kuagiza , isipokuwa nimemsahihisha mleta mada kusema hizo e-commerce site ziko safe 100 wakati si kwelii . Kama zingekuwa salama kiasi hicho watu wasingeibiwa pesa zao.