Salam wakubwa.

Naomba kujuzwa tofauti iliyopo kati ya qnet na aim global hasa kwa watu wanaofanya network marketing

Yaani kuna Watu ni ' Wapuuzi ' kila Siku mnatapeliwa nao na kuja Kulalamika hapa lakini bado tena mnapoteza muda wenu Kushirikiana nao na hata Kuwaulizia kama hivi. Mimi tokea nisikie wanasema kuwa wao Salamu yao muda wowote ule hata kama ikiwa ni Saa 9 Alasiri au Saa 11 Jioni ni ' Good Morning ' niligundua ya kuwa ama watakuwa ni ' Wachawi Waandamizi ' au ' Wendawazimu Waandamizi ' kabisa.
 
Yaani kuna Watu ni ' Wapuuzi ' kila Siku mnatapeliwa nao na kuja Kulalamika hapa lakini bado tena mnapoteza muda wenu Kushirikiana nao na hata Kuwaulizia kama hivi. Mimi tokea nisikie wanasema kuwa wao Salamu yao hata kama ikiwa ni Saa 9 Alasiri au Saa 11 Jioni ni ' Good Morning ' niligundua ya kuwa ama watakuwa ni ' Wachawi Waandamizi ' au ' Wendawazimu Waandamizi ' kabisa.
Hatari sana mkuu, nilikutana nao ARUSHA nikaenda mpaka kwenye ofisi yao iliyopo maeneo ya PHILLIPS... Nimeingia mida ya saa 10 jioni, baada ya kuingia ndani naona watu wanasalimiana GOOD MORNING. nikajiuliza jioni hii halafu salamu ni GOOD MORNING

Nilivyo ondoka sikurudi tena
 
Yaani kuna Watu ni ' Wapuuzi ' kila Siku mnatapeliwa nao na kuja Kulalamika hapa lakini bado tena mnapoteza muda wenu Kushirikiana nao na hata Kuwaulizia kama hivi. Mimi tokea nisikie wanasema kuwa wao Salamu yao muda wowote ule hata kama ikiwa ni Saa 9 Alasiri au Saa 11 Jioni ni ' Good Morning ' niligundua ya kuwa ama watakuwa ni ' Wachawi Waandamizi ' au ' Wendawazimu Waandamizi ' kabisa.
Halafu wanazidi kuexpand. Kuna branch yao nyingine imefunguliwa Karibu na ninapofanyia kazi naona members wanazidi kuongezeka tuu
 
Ingia kote mengine utajua huko huko.
Si unataka kuwa milionea haya zama huko au nenda forex.
Sina hata mpango wa kujiunga bro maana walianza kunifata wazee wa good morning nikawakatalia naona aim global nao wananifata ndo maana nikauliza
 
Hatari sana mkuu, nilikutana nao ARUSHA nikaenda mpaka kwenye ofisi yao iliyopo maeneo ya PHILLIPS... Nimeingia mida ya saa 10 jioni, baada ya kuingia ndani naona watu wanasalimiana GOOD MORNING. nikajiuliza jioni hii halafu salamu ni GOOD MORNING

Nilivyo ondoka sikurudi tena
Hahahaha
 
Yaani kuna Watu ni ' Wapuuzi ' kila Siku mnatapeliwa nao na kuja Kulalamika hapa lakini bado tena mnapoteza muda wenu Kushirikiana nao na hata Kuwaulizia kama hivi. Mimi tokea nisikie wanasema kuwa wao Salamu yao muda wowote ule hata kama ikiwa ni Saa 9 Alasiri au Saa 11 Jioni ni ' Good Morning ' niligundua ya kuwa ama watakuwa ni ' Wachawi Waandamizi ' au ' Wendawazimu Waandamizi ' kabisa.
Wananisumbua kisoro hawa wa aim sasa hivi hata sijui contacts zangu wametoa wapi asee nimeuliza maana qnet walinifata wakanipeleka hadi ofisin kwao sinza hawa nao naona simu daily haziishi
 
Watu wengi wanaokuja humu JF kuuliza hayo mara nyingi huwa tayari wameshalizwa au wako katika mkondo wa kulizwa soon.
Mleta mada sijui anaangukia wapi?

Kifupi ni kuwa Qnet na AIM Global zote ni network market ambazo ziko katika mfumo wa pyramid (Yaani wachache sana wa juu wanavuna pesa nyingi kwa kutumia migongo ya wengine wengi mnoo wanaokuja kujiunga nyuma yao). Na kanuni kuu ya kutoboa ni kwanza kukubali kulizwa pesa zako wakati wa kujiunga ili nawe uje kuliza wengine wengi watakaojiunga nyuma yako kwa njia za ushawishi zenye maneno mazuri ya ukweli, uongo, ujanja au hila. Kiufupi kabisa ni kuwa wengi wanaishia kushindwa katika biashara hii kuliko wachache mnoo wanaofanikiwa. (ni kama 1/30).

Tofauti kubwa kati ya Qnet na AIM global iko katika mambo haya...
-Gharama ya kujiunga Qnet ni kubwa mnoo (sio chini ya 4.5milioni) hivyo kilio cha kulizwa ni kikubwa zaidi japokuwa furaha ya kuvuna ni kubwa pia ikiwa utafanikiwa nawe kuliza wengine wengi watakaofanikiwa kujiunga nyuma yako!

-Ushawishi wa kuunganishwa kwenye Qnet unafanyika kificho sana (kipepelezi mnoo), lengo ni kukufanyia kwanza kitu kinaitwa 'Brain washout&Brain installation' ili usishtuke au kushtuliwa kama kuna kulizwa!! Ukiwa Qnet utaambiwa kuwa hupaswi kumuuliza mtu mwingine yoyote mambo ya Qnet zaidi ya wanaQnet wenyewe!

Kwa leo niishie hapa, wapo watakaonichukia, lakini wapo wengine watakuwa wamenifurahia. Ukweli ni kama kisu chenye makali pande zote.
 
37 Reactions
Reply
Back
Top Bottom