Mambo 2 yanayotatanisha kwenye hoja za viongozi wote wa Chadema waliojiuzulu na yanayowaumbua

Tatizo la chadema sio chama,ni mbowe na Dr slaa!!nimefanyia sana utafiti,hawa jamaa kuna misingi ya kibaguzi huwa wanasimamia na muda mwingine huwa wanavunja hata katiba kutekeleza adhima zao
Sanasana wako sensitive masuala ya fedha za chama
 
Teach the world teach them right,about your religion,about your nation,about your politicians teach them right.
 
Hili nalo linaukweli wake , kuna namna Lema anatakiwa achukuliwe hatua za kinidhamu.

Kwa nini achukuliwe hatua? Swala la yeye Lema na Zi sio la kichama, ni kutofautiana kimsimamo tu na wakaamua kuweka mawazo yao kwenye mitandao ya kijamii. Kama Zi angelifikisha kwenye ngazi za chama, hatua labda zingechukuliwa, lakini Zi alikaa kimya, so CC itaingiliaje na itaanzaje. Labda tu CC inaweza kukemea ndani kwa ndani. Mbona Mawaziri wa CCM wanatofautiana kauli na misimamo na CC ya CCM haichukui hatua?

Lema alitumika tu kumfunga paka kengele, na Zi AKAINGIA MKICHWA KICHWA

Itakumbukwa wakati CDM wanagomea posho,ZI alijipambanua yeye mwenyewe, wakati ulikuwa ni msimamo wa CDM. akaiteka hoja na kuichukua mwenyewe na hoja ile ikafa. Kaibeba hoja ya mabiioni ya Uswis, na mtashangaa hoja itakufa.

Zi is not trustworthy. Ukiona mtu yuko kwenye timu ya uongozi na mtu huyo huyo anapita pita kwenye vyombo vya habari akisema ameuandikia uongozi wa cdm barua-umueleza abcd...--- ujue hayuko pamoja na uongozi huo, how can you write a letter to yourself? Suala la mabilioni ya USWISI kwa nini hakulipenyeza kwenye chama chake ili lipate msukumo, akalifanya lake binafsi

Baraka Obama anasuffer sasa hivi kwa kuwa wananchi wake wanamuona kuwa sio trustworthy baada ya kuwaambia kuwa wale wanaopenda health insurance zao wanaweka kuzibakiza na hazitaathiriwa na Affodable Care. It is very dangerous kumuacha mtu ambaye sio trustworthy kugombea uenyekiti. Kumpunguza Zito sasa is better than kumuachia. Impact ya kumtosa Zi sasa sio kubwa kama akiachwa kugombea uenyekiti na hatimaye kushinda, he will kill the party. CDM wamefanya jambo la busara sana kumpunguza kasi, italeta mawimbi ndani ya CDM but itapita
 
Wachumia tumbo watatoka ndani ya CDM ili tuendeleze mapambano ya kuwakomboa watanganyika kutoka mikononi mwa mafisadi,majizi na wabaka watoto wa shule na kuwaambukiza ukimwi!
 
utata juu ya wote waliojiuzulu chadema
.

Mimi kwenye Elimu ya shule za secondary mpaka high school na kuendelea niliopt kusoma masoma ya arts ikiwepo Lugha nk. kwa mantiki hiyo, nikichukua tamko la M/kiti wa Temeke, nikilinganisha na M/kiti Feki wa matawi ya Chadema mwanza, halafu nikiMalizia na m/kiti wa mkoa Singida na wengineo akiwepo Chatanda kama wewe ni mtaalam wa Lugha utagundua mambo yafuatayo.

Mosi, Staili ya uandishi kuanzia kichwa cha habari fonti inayotumika, upangaji wa aya mfumo wa uwasilishaji hoja au kwa ujumla tunasema staili ya uandishi ni ya mtu moja tu. Swali ni kwa nini na mtu huyo ni nani?

Pili, Hoja au tuhuma zinazotolewa zinafanana na msisitizo wake pia unafanana sana kiasi kwamba mwandishi huyo siyo mzuri hata wa kubadilisha lugha ili afiche malengo yake. Je kwanini na nani???

Tatu, kuanzia press kubwa ya Dsm, uchomaji wa ofisi za Chadema Arusha, Tamko la Mwanza na Singida nyuma yake utawakuta UVCCM wakiratibu. swali ni kwa nini na kwa ufadhili na mwongozo wa nani??

Nne, leo nimepata mahali taarifa zisizo rasmi kuwa kuna fungu la Sh mil 5 na kuendelea za kuwapa viongozi wa chadema nchi nzima. Sasa sina hakika kama hawa waliotangaza uamuzi wa kujiuzulu wamefikiwa na mafungu ya ccm au ni dhamiri zao. Time will tell.

Kwa kuhitimisha, matamko haya kuandikwa na mtu moja na kusomwa na watu wengine, pengine kwa kulipwa fedha kama fununu zinavyodai, kufanana kwa hoja za wanaojiuzulu na uwepo wa uvccm nyuma ya mikakati hiyo, kunanifanya niamini kuwa huu ni mchezo wa intelijensia fulani feki ambayo kiukweli ni mchezo wa danganya toto.- hadanganyiki mtu hapa.

Akili za kuambiwa nikichanganya na zangu, napata jawabu kuwa huu ni mkakati wa ccm. Chadema tutuvuka haya majaribu ni madogo sana kwangu. Aluta continua.

Hii hoja ya mdau nayo ina mashiko ukiunganisha dots ya malalamiko ya Mwigulu Fb.



na moja kati ya mashitaka yao ni kuwa chadema imeshikwa na watu wa kaskazini, lakini cha kusikitisha mpaka sasa wanaojitokeza kuwapinga wote ni wa kaskazini.

1. MICHAEL AWEDA - KULE KULE
2, EBENEZAR KWAYU - KULE KULE
3. ELIREHEMA - KULE KULE

Nami nazidi kupata mashaka na kuelewa kilichopo ndani ya watetezi wa chama kwanini wote watoke eneo moja.
 
mwenye kufikiri zaidi atagundua haya mambo ni yakutengenezwa kwa faida ya watawala kwani,ukweli ni kwamba ktk ulimwengu wa kibepari nchi haiwezi kusonga kimaendeleo km hakuna vyama imara vya upinzani,serikal nyingi dharimu zitafanya kila liwezekanalo kudhoofisha upinzani ili waendelee(serikali) kufaidi keki ya Taifa,ukiangalia utagundua watanzania ni watu wa ajabu dunian kote,inawezekana vp chama kiongoze zaidi ya miaka 50 raia hawana maji,umeme,elimu bora,afya, lakini bado wananchi wanaendelea kukivumilia chama kinachounda Serikali?
 
CCM NI CHAMA PINZANI KINACHOHISI KITAKOSA MWANA KM CUF...WAPO BUSY.KUTETEA UPINZANI WAO.

yaani CCM na CDM wangekuwa viumbe hai basi CCM ingekuwa nyumbu,CDM ingekuwa Binadamu.


Sijui kama ccm wanakuelewa, mimi nimekuelewa.
 
Unajua watu kama wewe ndo mnastahili kufungwa jiwe shingoni na kutumbukizwa katikati ya bahari. Hapa mambo ya uchaga yanatoka wapi. mimi siyo mchaga lakini kwa nini unaingiza uchaga hapa. Nina mashaka sana na weledi wako

Mkuu kuna watu hata kuwatupa baharini utakuwa hauitendei haki Bahari akiwamo huyu kwani huko pia kuna samaki tunao watumia kwa mlo labda adumbukizwe kwenye asidi na kupotea kabisa moja kwamoja au hata kwenda kuzikwa katikati ya Jangwa watu wanamna hii ndo wanaorudisha demokrasia ya Nchi hii Nyuma .
 
na moja kati ya mashitaka yao ni kuwa chadema imeshikwa na watu wa kaskazini, lakini cha kusikitisha mpaka sasa wanaojitokeza kuwapinga wote ni wa kaskazini.

1. MICHAEL AWEDA - KULE KULE
2, EBENEZAR KWAYU - KULE KULE
3. ELIREHEMA - KULE KULE

Nami nazidi kupata mashaka na kuelewa kilichopo ndani ya watetezi wa chama kwanini wote watoke eneo moja.

mchange,utakua lin kaka ,unatuaibisha sana vijana tuliohim udom.siasa za ukanda bado unazo?PM7 kwa nn usiachane na cdm na mjenge chama chenu cha chauma,MW/KITI -ZZK KATIBU ,MM/KITI MWIGAMBA,KATIBU- H.MCHANGE,NAIBU Mwampamba,fyonza mjumbe wa kamati kuu.
 
Back
Top Bottom