Mambo 17 yaliyosababisha kuuawa kwa Muammar Gaddafi

Sawa Gaddafi aliishatangulia mbele ya haki, Libya sasahivi ipoje tokea yeye aondoke, huo ndio Uhuru waliokuwa wanautaka wenye mawazo kama yako.
R-I-P MUAMMAR GADDAFI.
Baada ya kumuua na kutawanyisha serikali ya Gaddaffi tuambie matokeo yake sasa..walichokuwa wanakitaka wameshakipata. Au ndio wanakumbuka Misri sasa.kwamba Bora ya Misri ambako tulikula na Nyama.
 
Sasa unahoji mafuta ya nini wakati ukioa mahari unaenda kudrow account ya serikali na mshahara kwa jobless upo.
Walitaka Roho yake tu.
Kuna raha gani ya ku drawl pesa ya mahari ilhali baba yako na kaka yako wamepotea kisa walikua wapinzani?
 
Kuna raha gani ya ku drawl pesa ya mahari ilhali baba yako na kaka yako wamepotea kisa walikua wapinzani?
Kama walikuwa na ushahidi kuwa serikali ndio ilikuwa ikifanya hayo mbona hawakwenda kwenye mhimili mwingine ambao ni mahakama kushtaki
 
Kama walikuwa na ushahidi kuwa serikali ndio ilikuwa ikifanya hayo mbona hawakwenda kwenye mhimili mwingine ambao ni mahakama kushtaki
Kushtaki wapi wakati majaji, mahakimu, tume ya uchaguzi, polisi, usalama wa taifa vyote vilikua mfukoni mwa Gaddafi!
 
Kushtaki wapi wakati majaji, mahakimu, tume ya uchaguzi, polisi, usalama wa taifa vyote vilikua mfukoni mwa Gaddafi!
Kwani haujasoma mihimili ya serikali Sky?
Kila mhimili upo huru kabisa.hiyo ya kusema ilikuwa mikononi mwa Gaddafi ni maneno ya kitaa tu.
 
Kwani haujasoma mihimili ya serikali Sky?
Kila mhimili upo huru kabisa.hiyo ya kusema ilikuwa mikononi mwa Gaddafi ni maneno ya kitaa tu.
Dalili ya dikteta ni kupita uchaguzi bila kupingwa au kupita kwa 98%. Hii maana yake wapinzani wake wamebanwa mpaka kukosa nafasi kabisa.
 
Madikteta ni watu waharibifu sana
8)Dolla 300Milioni unaijua lakini? Au ya Zimbabwe?

Yaani MTU mmoja apewe bilioni 600 na zaidi akatibiwe?

Hizi story watu wanalishana kwenye vikao vya ghahawa zinasambaa nchi nzima.

Misri, Tunisia, Libya, Mali. Hao viongozi wao wameondolewa na maandamano ya kumpinga raisi wao. Walioondoka kabla ya kisanga hakijawa kikubwa walipona na nchi zao hazikupata madhara, walioshupaza shingo zao wamekufa wakipambana na nchi kuparaganyika

Nchi za kidikteta ni vigumu kubalance story kupata habari hasi za nchi. Mf Rwanda. We unadhani kifinyo wanachokipata wapinzani bongo nchi za Afrika wanakijua sana?
 
Sawa
Hakukua na freedom of expression, wapinzani walipotea , kuwekwa ndani ama kuuwa.

Gadaffi angemuandaa mrithi wake na yeye kujiweka kando ya uongozi angebaki na heshima ya Baba wa Taifa.
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom