NI MTAZAMO TU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,203
- 998
- Thread starter
- #81
Baada ya kumuua na kutawanyisha serikali ya Gaddaffi tuambie matokeo yake sasa..walichokuwa wanakitaka wameshakipata. Au ndio wanakumbuka Misri sasa.kwamba Bora ya Misri ambako tulikula na Nyama.Sawa Gaddafi aliishatangulia mbele ya haki, Libya sasahivi ipoje tokea yeye aondoke, huo ndio Uhuru waliokuwa wanautaka wenye mawazo kama yako.
R-I-P MUAMMAR GADDAFI.