NI MTAZAMO TU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,203
- 998
- Thread starter
- #61
Sisi waafirika bado sana .ipo haja ya kutawaliwa tena ndio akili itarudi kuwa mzungu au Beberu sio mtu ni mbuzi tu.Ujinga wa Waafrika huwa tunapenda kudanganywa na mataifa ya nje ya Afrika kuwa kuna maisha manzuri kuliko haya tunayoishi sasa hivi.