Mambo 17 yaliyosababisha kuuawa kwa Muammar Gaddafi

NI MTAZAMO TU

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
1,208
2,000
Ujinga wa Waafrika huwa tunapenda kudanganywa na mataifa ya nje ya Afrika kuwa kuna maisha manzuri kuliko haya tunayoishi sasa hivi.
Sisi waafirika bado sana .ipo haja ya kutawaliwa tena ndio akili itarudi kuwa mzungu au Beberu sio mtu ni mbuzi tu.
 
mbalaka

JF-Expert Member
Oct 7, 2017
1,973
2,000
Sijui ni kwanini nyuzi zenye taswila kama hii ushamili wakati wa uchaguzi, baad ya chaguzi thread za namna hii ufifia.

Nb: unawashaurije watanzania wengi wanaotaka mabadiliko?.

"A toad does not run in the daytime for nothing.”
 
UHURU JR

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
9,406
2,000
Kabisa viongozi wa Africa ni km wamezaliwa kwa baba na mama mmoja🤣🤣
Tatizo sio viongozi bali ndio waafrika walivyo,sie huwa tunataka kuiga mazuri ya wenzetu ila hatutaki kuwa kama hao wenzetu na ndio maana tutaendelea kutoa viongozi wa aina tuliyonayo kwa sababu ndio hivyo tulivyo waafrika na hao viongozi hutoka kwenye jamii yetu.
 
Omulasil

JF-Expert Member
May 5, 2015
3,620
2,000
Hakukua na freedom of expression, wapinzani walipotea , kuwekwa ndani ama kuuwa.

Gadaffi angemuandaa mrithi wake na yeye kujiweka kando ya uongozi angebaki na heshima ya Baba wa Taifa.
Mankaaa.
Pamoja naweza nisishabikie uzi huu kuwa Gadaffi alikuwa Mwema.
Lakini basi umejitahidi angalau kutaja Uozo wake ila hili sio
Freedom of expression . Ni nini?

Uko na umri gani sijui?
Lkn mwanao wa 5 yrs aweza kusema kwa kutumia huru wake haya?
1. Upogongwa(gegedwa) na baba unalialia sana hadi unafanyia kelele tunapojisomea.
2. Wewe baba ni fala tu kama machizi wengine ndio maana huna hela.

Kupotea kwa watu. JAMBO BAYA.
Kama likichulkuliwa kwa uonezi lkn wakati fulani ni zuri kama ni kwa usalama wa nchi. Wewe tu Manka ndio hununuliki lkn amin usiamini kama unavyoona watu wanauza mali za nchi kwa bei ya chee WASALITI wapo kibidi Wapotezwe
 
Omulasil

JF-Expert Member
May 5, 2015
3,620
2,000
Mengi ya uliyoandika ni hadithi za kutunga lakini kama hadithi zingine za sungura na fisi walisema hii nayo inamafunzo. Tuchukulie kwamba yoote hayo ni kweli. Hii inatupa picha kua binadamu anathamini sana uhuru wake na demokrasia hata kama anamaisha duni/magumu kuliko kupewa vitu vya bure kama wanyama kwenye zoo, ndio maana huko Libya kukawa na maandamano ya kumpinga Gadafi hata kama ni ya watu wachache

"Mtu haishi kwa mkate tu", mwisho wa kunukuu
Kama uliwahi kugoma shuleni wakati fulani utagundua kuwa majority ya wanafunzi hususan form hufuata mkumbo.
Mob pyscology huendesha wanadamu.

Watu kadhaa wanaweza ku injinia vurugu wengine tukafuta mkumbo tu.

Sisemi kuwa kuwa serkali zilizopo zikandamize raia NO
Najua vikundi vya vurugu vinaweza kusababishwa na umaskini ulipita kiasi kwahiyo daraja la chini huchoka na kuamua bora wafe. Lkn ileweke kuwa mataifa pia hutafuta watu kadhaa na kuwaandaa kuchochea vurugu ili baadae wanufaike
 
Sita Sita

JF-Expert Member
Aug 25, 2008
1,345
1,500
Tatizo alianza kula first ladies wa nchi nyingine, anawaandalia ziara anawatafuna.
 
Dalmine

JF-Expert Member
Sep 8, 2016
4,706
2,000
MAMBO 17 YALIYOSABABISHA KUUAWA KWA GADDAFI

1. LIBYA kulikuwa hakuna bili ya umeme, means umeme ulikuwa bure kwa raia wote

2. Libya kulikuwa hakuna Riba kwenye mikopo, Benk zote Libya zilikuwa za Umma na mikopo ilitolewa kwa raia wote tena bila Riba.

3. Gadafi alisisitiza kwamba, wazazi wake hawatapata nyumba nzuri hadi raia wote wa Libya wawe na makazi. Baba mzazi wa Gadafi amefariki wakati, yeye, mke wake na mama yake wakiishi kwenye hema.

4. Kila mfanyakazi Mpya (Mwajiriwa mpya) nchini Libya alipewa Dola za kimarekani 50,000 ili aanzie maisha.

5. Kabla ya Gadafi, kulikuwa na 25% tu ya raia wa Libya ndio walikuwa na Elimu.

6. Elimu na Huduma za Afya (matibabu) nchini LIBYA zilitolewa bure.

7. Kama Mwananchi wa LIBYA aliyehitaji kujishughulisha na kilimo, alipatiwa ardhi, nyumba, mbegu na mahitaji mengine yaliyohitajika.

8. Iwapo mwananchi wa Libya akishindwa kupata Elimu au Huduma ya Afya ndani ya LIBYA, serikali ilimsafirisha nje ya nchi kwa ajili ya mahitaji hayo, pia alipewa Dola milioni 300 za kimarekani kwa ajili ya gharama .

9. LIBYA, Kila raia wa LIBYA aliyenunua gari, serikali ilimwongezea nusu ya bei ya gari, means kama gari itauzwa sh milioni tano, basi raia alilipia shilingi milioni mbili na laki tano na kiasi kingine kinalipwa na serikali.

10. Bei ya Petrol nchini LIBYA ilikuwa ni Dola za kimarekani 0.14

11. Libya ilikuwa haina madeni ya Nje, ilikuwa haidaiwi na nchi yoyote na ilikuwa imehifadhi dola za kimarekani bilioni 150

12. Kila mwananchi wa Libya aliyekosa ajira baada ya kuhitimu kulingana na kiwango alichofikia, Serikali ilimlipa mshahara unaokaribiana na mtu aliyeajiriwa mwenye elimu sawa na aliyonayo yeye.

13. Sehemu ya mauzo ya mafuta nchini Libya ilipelekwa moja kwa moja kwenye akaunti za benki za kila raia wa LIBYA

14. Kila mwanamke aliyejifungua, alipewa Dola za kimarekani 5,000

15. Gharama ya mikate arobaini ilikuwa ni Dola za kimarekani 0.15

16. 25% ya raia wa LBYA walikuwa na kiwango cha Elimu cha SHAHADA (a university degree)

17. GADAFFI aliaanzisha mradi mkubwa zaidi kuwai kutokea duniani, mradi wa Umwagiliaji uliojulikana kama MAN- MADE RIVER PROJECT, Mradi uliowezesha upatikanaji wa maji eneo zima la jangwa.

Kama huu uliitwa “UDIKTETA” Basi WANADEMOCRASIA wote watakwenda Motoni

USIPITE BILA KUSHARE UJUMBE HUU MZURI NA MALAZIA KWA KUCOMMENT R.I.P GADDAFI

NB: Imekopiwa mahali

===

Umeongea yote, lakini mmatumbi aliemezeshwa Propaganda na magaidi hatakuelewa kaka
 
Holly Star

JF-Expert Member
Aug 25, 2018
2,009
2,000
Hakukua na freedom of expression, wapinzani walipotea , kuwekwa ndani ama kuuwa.

Gadaffi angemuandaa mrithi wake na yeye kujiweka kando ya uongozi angebaki na heshima ya Baba wa Taifa.
Nafikiri libya ya sasa yenye freedom of expression na wapinzani mnaiona
 
dudu jeupe

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
1,275
2,000
hata nchi iwe kama mbinguni , kama hakuna freedom in politics + speech basi ni udikteta hapo, apumzike kwa amani angalau alikuwa dikteta mstaarabu kwa wananchi ambao hawakuthubutu kuexpress freedom
 
Top TZ

Member
Aug 20, 2020
76
125
Inawezekana mkuu ,kwani unajua ukwasi uliokuwa wa nchi ya LIBYA?.
Ndio nchi ya kwanza kabisa duniani kumlipa mshahara Raia wa nchi asiye na kazi, Ujeruman na Sweden waliiga tu baada ya kuona kumbe inawezekana.
Sasa Kama walikua na hela hizi hata haikua kwene top3 ya nchi zenye pato kubwa GDP....haya matango muwapelekee wasio wasomi maana wanayapokea Kama yalivo
 
Top TZ

Member
Aug 20, 2020
76
125
MAMBO 17 YALIYOSABABISHA KUUAWA KWA GADDAFI

1. LIBYA kulikuwa hakuna bili ya umeme, means umeme ulikuwa bure kwa raia wote

2. Libya kulikuwa hakuna Riba kwenye mikopo, Benk zote Libya zilikuwa za Umma na mikopo ilitolewa kwa raia wote tena bila Riba.

3. Gadafi alisisitiza kwamba, wazazi wake hawatapata nyumba nzuri hadi raia wote wa Libya wawe na makazi. Baba mzazi wa Gadafi amefariki wakati, yeye, mke wake na mama yake wakiishi kwenye hema.

4. Kila mfanyakazi Mpya (Mwajiriwa mpya) nchini Libya alipewa Dola za kimarekani 50,000 ili aanzie maisha.

5. Kabla ya Gadafi, kulikuwa na 25% tu ya raia wa Libya ndio walikuwa na Elimu.

6. Elimu na Huduma za Afya (matibabu) nchini LIBYA zilitolewa bure.

7. Kama Mwananchi wa LIBYA aliyehitaji kujishughulisha na kilimo, alipatiwa ardhi, nyumba, mbegu na mahitaji mengine yaliyohitajika.

8. Iwapo mwananchi wa Libya akishindwa kupata Elimu au Huduma ya Afya ndani ya LIBYA, serikali ilimsafirisha nje ya nchi kwa ajili ya mahitaji hayo, pia alipewa Dola milioni 300 za kimarekani kwa ajili ya gharama .

9. LIBYA, Kila raia wa LIBYA aliyenunua gari, serikali ilimwongezea nusu ya bei ya gari, means kama gari itauzwa sh milioni tano, basi raia alilipia shilingi milioni mbili na laki tano na kiasi kingine kinalipwa na serikali.

10. Bei ya Petrol nchini LIBYA ilikuwa ni Dola za kimarekani 0.14

11. Libya ilikuwa haina madeni ya Nje, ilikuwa haidaiwi na nchi yoyote na ilikuwa imehifadhi dola za kimarekani bilioni 150

12. Kila mwananchi wa Libya aliyekosa ajira baada ya kuhitimu kulingana na kiwango alichofikia, Serikali ilimlipa mshahara unaokaribiana na mtu aliyeajiriwa mwenye elimu sawa na aliyonayo yeye.

13. Sehemu ya mauzo ya mafuta nchini Libya ilipelekwa moja kwa moja kwenye akaunti za benki za kila raia wa LIBYA

14. Kila mwanamke aliyejifungua, alipewa Dola za kimarekani 5,000

15. Gharama ya mikate arobaini ilikuwa ni Dola za kimarekani 0.15

16. 25% ya raia wa LBYA walikuwa na kiwango cha Elimu cha SHAHADA (a university degree)

17. GADAFFI aliaanzisha mradi mkubwa zaidi kuwai kutokea duniani, mradi wa Umwagiliaji uliojulikana kama MAN- MADE RIVER PROJECT, Mradi uliowezesha upatikanaji wa maji eneo zima la jangwa.

Kama huu uliitwa “UDIKTETA” Basi WANADEMOCRASIA wote watakwenda Motoni

USIPITE BILA KUSHARE UJUMBE HUU MZURI NA MALAZIA KWA KUCOMMENT R.I.P GADDAFI

NB: Imekopiwa mahali

===
Haya sisi hatuyajui maana hamna hata lenye ushahidi hapa tunachojua Libya ilikua na uchumi mzuri kiasi lakin cyo kwa izo story za gahawa

Tunachokijua so far

-Machafuko ya Darfur ya kumaliza watu weusi Sudan.. Gaddafi ndyo alikua n mdhamini wa Janjaweed kikundi Cha kijeshi Cha waarabu kuua wasudan weusi .....Hili alikua anashirikiana na Al bashiri wa Sudan kesi ambayo bado inamsumbua had leo

-Alitaka kuivamia CHAD ili aongeze eneo la nchi ya Libya lakin Vita akashindwa...

-Adui wa watanzania kwa kussuport Uganda ya Iddi Amin mwaka 1978 ili kuishinda Tanzania kivita

-Alitaka kulazmisha Africa nzima iwe waislam kwa kussuport vikundi vyenye itikadi hiyo,kutoa fedha kwenda nchi mbalimbali kwa ajili ya azma hyo

................
Hakua kiongozi mzuri kwa Africa Kama unajua undani wake na adhima yake aliposema Africa iwe nchi moja
 
Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
7,109
2,000
Hizi ni sawa na hadithi za abunuasi. Kuna huduma walibya walikuwa wakipata lakini kuna watu kwa interests zao wamekuja kuzitia mno chumvi.

Hata hivyo huwezi kuwafanya watu kuwa watumwa wa huduma eti ndio kuwa wakusujudie huku hizo huduma zikipatikana kutokana na rasilimali za nchi yao ambazo wewe hukuziweka hapo.

Wewe unachofanya ni kutimiza jukumu lako kama kiongozi wa wakati huo na haimaanishi kuwa ukiondoka unaondoka na hizo rasilimali zinazowawezesha hao watu kupata hizo huduma.

Gaddafi alikuwa ni dikteta aliyechokwa na wananchi wake, historia itabaki kulikumbuka hilo milele.
 
monde arabe

JF-Expert Member
Oct 22, 2017
8,526
2,000
MAMBO 17 YALIYOSABABISHA KUUAWA KWA GADDAFI

1. LIBYA kulikuwa hakuna bili ya umeme, means umeme ulikuwa bure kwa raia wote

2. Libya kulikuwa hakuna Riba kwenye mikopo, Benk zote Libya zilikuwa za Umma na mikopo ilitolewa kwa raia wote tena bila Riba.

3. Gadafi alisisitiza kwamba, wazazi wake hawatapata nyumba nzuri hadi raia wote wa Libya wawe na makazi. Baba mzazi wa Gadafi amefariki wakati, yeye, mke wake na mama yake wakiishi kwenye hema.

4. Kila mfanyakazi Mpya (Mwajiriwa mpya) nchini Libya alipewa Dola za kimarekani 50,000 ili aanzie maisha.

5. Kabla ya Gadafi, kulikuwa na 25% tu ya raia wa Libya ndio walikuwa na Elimu.

6. Elimu na Huduma za Afya (matibabu) nchini LIBYA zilitolewa bure.

7. Kama Mwananchi wa LIBYA aliyehitaji kujishughulisha na kilimo, alipatiwa ardhi, nyumba, mbegu na mahitaji mengine yaliyohitajika.

8. Iwapo mwananchi wa Libya akishindwa kupata Elimu au Huduma ya Afya ndani ya LIBYA, serikali ilimsafirisha nje ya nchi kwa ajili ya mahitaji hayo, pia alipewa Dola milioni 300 za kimarekani kwa ajili ya gharama .

9. LIBYA, Kila raia wa LIBYA aliyenunua gari, serikali ilimwongezea nusu ya bei ya gari, means kama gari itauzwa sh milioni tano, basi raia alilipia shilingi milioni mbili na laki tano na kiasi kingine kinalipwa na serikali.

10. Bei ya Petrol nchini LIBYA ilikuwa ni Dola za kimarekani 0.14

11. Libya ilikuwa haina madeni ya Nje, ilikuwa haidaiwi na nchi yoyote na ilikuwa imehifadhi dola za kimarekani bilioni 150

12. Kila mwananchi wa Libya aliyekosa ajira baada ya kuhitimu kulingana na kiwango alichofikia, Serikali ilimlipa mshahara unaokaribiana na mtu aliyeajiriwa mwenye elimu sawa na aliyonayo yeye.

13. Sehemu ya mauzo ya mafuta nchini Libya ilipelekwa moja kwa moja kwenye akaunti za benki za kila raia wa LIBYA

14. Kila mwanamke aliyejifungua, alipewa Dola za kimarekani 5,000

15. Gharama ya mikate arobaini ilikuwa ni Dola za kimarekani 0.15

16. 25% ya raia wa LBYA walikuwa na kiwango cha Elimu cha SHAHADA (a university degree)

17. GADAFFI aliaanzisha mradi mkubwa zaidi kuwai kutokea duniani, mradi wa Umwagiliaji uliojulikana kama MAN- MADE RIVER PROJECT, Mradi uliowezesha upatikanaji wa maji eneo zima la jangwa.

Kama huu uliitwa “UDIKTETA” Basi WANADEMOCRASIA wote watakwenda Motoni

USIPITE BILA KUSHARE UJUMBE HUU MZURI NA MALAZIA KWA KUCOMMENT R.I.P GADDAFI

NB: Imekopiwa mahali

===
Hayo mazuri yaliyofanywa na Gadaffi ndyo yanaenda kufanywa na Lissu!
 
TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
4,564
2,000
Hakukua na freedom of expression, wapinzani walipotea , kuwekwa ndani ama kuuwa.

Gadaffi angemuandaa mrithi wake na yeye kujiweka kando ya uongozi angebaki na heshima ya Baba wa Taifa.
Nahili ndio key factor ya kifo chake aliuwa sana raia wake mpaka wakajuwa serikali ndio inayo wapoteza na muuwaji ni rais wao
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
48,220
2,000
Nahili ndio key factor ya kifo chake aliuwa sana raia wake mpaka wakajuwa serikali ndio inayo wapoteza na muuwaji ni rais wao
Hakuna aliyeruhusiwa kuhoji mapato ya mafuta, alijimilikisha mapato yote yeye na familia yake na rais walipewa misaada kidogo kama hivyo wengi wanavyosifia.
 
fidel castro wapili

JF-Expert Member
Mar 18, 2017
1,669
2,000
Sawa Gaddafi aliishatangulia mbele ya haki, Libya sasahivi ipoje tokea yeye aondoke, huo ndio Uhuru waliokuwa wanautaka wenye mawazo kama yako.
R-I-P MUAMMAR GADDAFI.
Gaddafi alikuwa dikteta, muuaji !
Alidhani Mungu kamuumba yeye tu utawala Libya...

Alivuna alichopanda, huwezi kuwafuga binadamu kama Mbwa! Binadamu ana hitaji uhuru...bila uhuru kuna siku atakunyonga tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom