Mambo 17 yaliyosababisha kuuawa kwa Muammar Gaddafi

Japo hatuwezi kukupinga kwa hoja kutokana na kutokuwa na ushahidi ,lakini tukitumia tu akili ya kawaida,mambo 17 uliyoyaorodhesha yana walakini
 
Asante ila kwanini kwa Sadam Hossen wala sio Zimbabwe ila taarifa zimehusu LIBYA? Mpaka hapo haujaona ukweli tu
 
Kuna mengine yanajulika ni kweli ila mengine nayatilia mashaka.Halafu unaposema haya mambo 17 ndio yaliyosababisha Kuuwawa kwa Gadafi embu nipe logic ni kwa namna gani yalisababisha?
 
MAMBO 17 YALIYOSABABISHA KUUAWA KWA GADDAFI

1. LIBYA kulikuwa hakuna bili ya umeme, means umeme ulikuwa bure kwa raia wote

2. Libya kulikuwa hakuna Riba kwenye mikopo, Benk zote Libya zilikuwa za Umma na mikopo ilitolewa kwa raia wote tena bila Riba.

3. Gadafi alisisitiza kwamba, wazazi wake hawatapata nyumba nzuri hadi raia wote wa Libya wawe na makazi. Baba mzazi wa Gadafi amefariki wakati, yeye, mke wake na mama yake wakiishi kwenye hema.

4. Kila mfanyakazi Mpya (Mwajiriwa mpya) nchini Libya alipewa Dola za kimarekani 50,000 ili aanzie maisha.

5. Kabla ya Gadafi, kulikuwa na 25% tu ya raia wa Libya ndio walikuwa na Elimu.

6. Elimu na Huduma za Afya (matibabu) nchini LIBYA zilitolewa bure.

7. Kama Mwananchi wa LIBYA aliyehitaji kujishughulisha na kilimo, alipatiwa ardhi, nyumba, mbegu na mahitaji mengine yaliyohitajika.

8. Iwapo mwananchi wa Libya akishindwa kupata Elimu au Huduma ya Afya ndani ya LIBYA, serikali ilimsafirisha nje ya nchi kwa ajili ya mahitaji hayo, pia alipewa Dola milioni 300 za kimarekani kwa ajili ya gharama .

9. LIBYA, Kila raia wa LIBYA aliyenunua gari, serikali ilimwongezea nusu ya bei ya gari, means kama gari itauzwa sh milioni tano, basi raia alilipia shilingi milioni mbili na laki tano na kiasi kingine kinalipwa na serikali.

10. Bei ya Petrol nchini LIBYA ilikuwa ni Dola za kimarekani 0.14

11. Libya ilikuwa haina madeni ya Nje, ilikuwa haidaiwi na nchi yoyote na ilikuwa imehifadhi dola za kimarekani bilioni 150

12. Kila mwananchi wa Libya aliyekosa ajira baada ya kuhitimu kulingana na kiwango alichofikia, Serikali ilimlipa mshahara unaokaribiana na mtu aliyeajiriwa mwenye elimu sawa na aliyonayo yeye.

13. Sehemu ya mauzo ya mafuta nchini Libya ilipelekwa moja kwa moja kwenye akaunti za benki za kila raia wa LIBYA

14. Kila mwanamke aliyejifungua, alipewa Dola za kimarekani 5,000

15. Gharama ya mikate arobaini ilikuwa ni Dola za kimarekani 0.15

16. 25% ya raia wa LBYA walikuwa na kiwango cha Elimu cha SHAHADA (a university degree)

17. GADAFFI aliaanzisha mradi mkubwa zaidi kuwai kutokea duniani, mradi wa Umwagiliaji uliojulikana kama MAN- MADE RIVER PROJECT, Mradi uliowezesha upatikanaji wa maji eneo zima la jangwa.

Kama huu uliitwa “UDIKTETA” Basi WANADEMOCRASIA wote watakwenda Motoni

USIPITE BILA KUSHARE UJUMBE HUU MZURI NA MALAZIA KWA KUCOMMENT R.I.P GADDAFI

NB: Imekopiwa mahali

===
namba 7 kikwete alitaka kuileta tanzania... akaanzaga na sera ya #kilimo kwanza, watu walisoma vyuo vya kilimo kwa ada nafuu... tena wote wa udhamini wa serikali...
 
HAKI HAKI HAKI HUINUA TAIFA...

Kwa taarifa YAKO walichokua wanapata walibya ni just 40% ya kile walichokua wanastahili....
Maendeleo ya wananchi sio hisani ya kiongozi ni lazima kufanya hivyo........

Walibya walipogundua kua gadaffi anawaibia sn na kufanya uwekezaji binafsi nje ya nchi na kujilimbikizia mabilioni ya dolla nje ndipo walipochukia......

Kuharibika kwa Libya ni kwa sababu ya gadaffi kuongoza kidikteta kitu ambacho kwa Karne hii haikubaliki....
Maendeleo yoyote bila Uhuru bado ni utumwa......

Ndio maana Rais Lissu kasema hapa kazi tu tupa kule watz wanataka.......

Kazi na maendeleo
Demokrasia na maendeleo
Uhuru na kazi
Uhuru na Umoja
 
Hakukua na freedom of expression, wapinzani walipotea , kuwekwa ndani ama kuuwa.

Gadaffi angemuandaa mrithi wake na yeye kujiweka kando ya uongozi angebaki na heshima ya Baba wa Taifa.
Kabisa viongozi wa Africa ni km wamezaliwa kwa baba na mama mmoja🤣🤣
 
Jambo kubwa hapa nikwamba , Libya kulikosekana uhuru wa wananchi .Hi ndio sababu kuu! Over
 
MAMBO 17 YALIYOSABABISHA KUUAWA KWA GADDAFI

1. LIBYA kulikuwa hakuna bili ya umeme, means umeme ulikuwa bure kwa raia wote

2. Libya kulikuwa hakuna Riba kwenye mikopo, Benk zote Libya zilikuwa za Umma na mikopo ilitolewa kwa raia wote tena bila Riba.

3. Gadafi alisisitiza kwamba, wazazi wake hawatapata nyumba nzuri hadi raia wote wa Libya wawe na makazi. Baba mzazi wa Gadafi amefariki wakati, yeye, mke wake na mama yake wakiishi kwenye hema.

4. Kila mfanyakazi Mpya (Mwajiriwa mpya) nchini Libya alipewa Dola za kimarekani 50,000 ili aanzie maisha.

5. Kabla ya Gadafi, kulikuwa na 25% tu ya raia wa Libya ndio walikuwa na Elimu.

6. Elimu na Huduma za Afya (matibabu) nchini LIBYA zilitolewa bure.

7. Kama Mwananchi wa LIBYA aliyehitaji kujishughulisha na kilimo, alipatiwa ardhi, nyumba, mbegu na mahitaji mengine yaliyohitajika.

8. Iwapo mwananchi wa Libya akishindwa kupata Elimu au Huduma ya Afya ndani ya LIBYA, serikali ilimsafirisha nje ya nchi kwa ajili ya mahitaji hayo, pia alipewa Dola milioni 300 za kimarekani kwa ajili ya gharama .

9. LIBYA, Kila raia wa LIBYA aliyenunua gari, serikali ilimwongezea nusu ya bei ya gari, means kama gari itauzwa sh milioni tano, basi raia alilipia shilingi milioni mbili na laki tano na kiasi kingine kinalipwa na serikali.

10. Bei ya Petrol nchini LIBYA ilikuwa ni Dola za kimarekani 0.14

11. Libya ilikuwa haina madeni ya Nje, ilikuwa haidaiwi na nchi yoyote na ilikuwa imehifadhi dola za kimarekani bilioni 150

12. Kila mwananchi wa Libya aliyekosa ajira baada ya kuhitimu kulingana na kiwango alichofikia, Serikali ilimlipa mshahara unaokaribiana na mtu aliyeajiriwa mwenye elimu sawa na aliyonayo yeye.

13. Sehemu ya mauzo ya mafuta nchini Libya ilipelekwa moja kwa moja kwenye akaunti za benki za kila raia wa LIBYA

14. Kila mwanamke aliyejifungua, alipewa Dola za kimarekani 5,000

15. Gharama ya mikate arobaini ilikuwa ni Dola za kimarekani 0.15

16. 25% ya raia wa LBYA walikuwa na kiwango cha Elimu cha SHAHADA (a university degree)

17. GADAFFI aliaanzisha mradi mkubwa zaidi kuwai kutokea duniani, mradi wa Umwagiliaji uliojulikana kama MAN- MADE RIVER PROJECT, Mradi uliowezesha upatikanaji wa maji eneo zima la jangwa.

Kama huu uliitwa “UDIKTETA” Basi WANADEMOCRASIA wote watakwenda Motoni

USIPITE BILA KUSHARE UJUMBE HUU MZURI NA MALAZIA KWA KUCOMMENT R.I.P GADDAFI

NB: Imekopiwa mahali

===
Haya uliyoandika 'NI MTAZAMO TU'.
 
Hakukua na freedom of expression, wapinzani walipotea , kuwekwa ndani ama kuuwa.

Gadaffi angemuandaa mrithi wake na yeye kujiweka kando ya uongozi angebaki na heshima ya Baba wa Taifa.
Sasa baada ya kumuua Gaddafi hiyo freedom of expression imewasaidia nini hadi sasa?
 
Ujinga wa Waafrika huwa tunapenda kudanganywa na mataifa ya nje ya Afrika kuwa kuna maisha manzuri kuliko haya tunayoishi sasa hivi.
 
Haya yote ili ufanyiwe ilikuwa ni lazima uunge juhudi. Mbona hata Tanzania hii ipo.
 
Peace of mind ni bora zaidi ya orodha yako hiyo ya sheria za FIFA/Mpira. Hicho walichokikosa ndio kilikuwa muhimu zaidi kuliko hayo yote. Ipo siku mtakamuliwa mavi kwenye madege, maflaiova na mabwawa na matreni yenu.
 
Back
Top Bottom