Mambo 11 usiyoyajua kuhusu msanii Diamond sukari ya warembo

Jospina

JF-Expert Member
Apr 19, 2013
2,421
1,387


1. Ana utajiri unaozidi shilingi bilioni 1.

2. Yupo kwenye mazungumzo na promoter wa Rwanda kufanya show moja ya uwanjani ambayo anaweza kulipwa dola 120,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 190.

3. Malipo ambayo hupokea kwa show zake nyingi za nje ya nchi hayashuki chini ya dola 25,000.

4. Tangia mwaka 2011 mwishoni akaunti yake haijawahi kushuka chini ya shilingi milioni 100.

5. Anamiliki nyumba kadhaa alizopangisha.

6. Wimbo Mawazo alimwandikia Jacqueline Wolper ambaye alikuwa mpenzi wake.

7. Kamwambie na Mbagala alimwambia mpenzi wake aitwaye Sarah aliyemkataa (Diamond) sababu hakuwa na uwezo.

8. Ukimwona alimwandikia Wema Sepetu baada ya kumsaliti.

9. Ili kuvunja mkataba na aliyekuwa meneja wake Papa Misifa, ilibidi amlipe shilingi milioni 18.

10. Ana timu (anayoilipa mshahara) ya watu zaidi ya 12 wakiwemo dancers, mtu wa mavazi, msaidizi wake, wapiga picha wawili nk
11. Ana mkataba mnono na Coca cola wenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni mia kwa mwaka
 

Attachments

  • diamond- ten things.jpg
    diamond- ten things.jpg
    46.7 KB · Views: 2,677
umesahau moja kuwa ni mbeba sembe mzuri ndio umuingizia hela nyingi sana.
 
Im sooooo proud of Diamond.
I cant wait siku moja kumuona akipokea tuzo za mtv music award sambamba na akina justin Bieber.
Inawezekana.
 
Im sooooo proud of Diamond.
I cant wait siku moja kumuona akipokea tuzo za mtv music award sambamba na akina justin Bieber.
Inawezekana.

ni kweli kabisa,there is nothing impossible under the sun! queenkami
 
Last edited by a moderator:
Ningeambiwa Nichague nchi au chama, basi ningemchagua Diamond @ Revocatus Kashaga
Naomba badilisha Signature yako na isomeke hivyo!
 
Umesahau sifa moja:
Ana mama mzuri sana ambae anaget along with all his galfriends.
 
miwivu dot com slash jealous folks never win

nshawin tiari sitaki mengi zaidi im satistified with what i have ila ata siku moja huwezi kuniona magogoni kwenda kuchukua hela za kubeba sembe USA under umbrellar of ccm, simplest and narrow minded.
 
<u>Kama ni Kweli Hongera kwa kujiwezesha na kujituma vijana wengi tumelala</u>
 
hehe hivi mbona tra wanawakomalia wafanyabiashara wengine kwa kuona million 100 tu bank unaanza kuulizwa umetoa wapi na kivipi na unapigwa kodi ya mamilion! kibongobongo naona ngumu sana kuweka mamilion benk huku hii mijamaa ya tra inaangalia tu. Diamond atakua analipa kodi kubwa sana! anyways wacha afanye kitu yake bana! Kamua tu kijana!
 
umesahau moja kuwa ni mbeba sembe mzuri ndio umuingizia hela nyingi sana.

Yaani kuna watu kwao good news ni sawa na mauti, saa zote wanataka kusikia habari mbaya tuuu.......
 
Big up diamond, Wasanii wenzake wana mengi ya kujifunza kutoka kwa huyu dogo......
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom