Mambo 10 Yatakayo Ibua Vita Ukawa Na Ccm Bungeni

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
Mpambano rasmi wa Ccm na Ukawa katika bunge la 11 unaanza kesho.Huku mambo kumi yakielezwa yataibuliwa na kuchangamsha mjadala unaotarajiwa kuwa wa aina yake katika kipindi cha siku 11 cha bunge hilo

1.Muundo wa kamati za bunge
2.Uchaguzi wa Marudio Zanzibar
3.Upinzani kuzuiwa mikutano
4.Uchaguzi wa meya Dar es salaam
5.Akaunti ya tegeta escrow
6.Hotuba ya Rais Magufuli
7.Bomoabomoa
8.Sera ya elimu bure
9.Katiba mpya
10.Maagizo ya mawaziri
Source Mwananchi
 
Back
Top Bottom