Mambo 10 ya kuzingatia kabla ya kuvuka miaka 26

Kabla au baada ya kuvuka miaka 26?...

Anyway .
Maisha ni fumbo, Ila tunachitakiwa kufanya ni kufikiria jinsi gani tunaweza kuwa bora zaidi ya Jana..

Tumezaliwa mazingira tofauti na tujitahidi tuyafanye mazingira mazuri tuwezavyo kwa watoto wetu.
 
1. Ishi kwa kumtegemea Mungu
2. Weka akiba ya fedha bank
3. Tafuta mpenz mmoja sahihi, atakaekuwa mshaur kwako
4. Anza maisha ya kujitegemea na sio kuishi kwa wazazi au marafiki
5. Kuwa na marafiki wenye changamoto za maendeleo.
6. Anzisha miradi (hata kulima mboga ikibidi) na anza kununua assets kama ardhi.
7. Lipa maden yako yote ya zaman.
8. Jali afya yako, jilinde na maambukiz ya vvu, kula vizuri, fanya mazoezi.. itakusaidia kuwa active kwa kila utakachoamua na kufanya.
9. Jifunze kuvaa kwa heshima na kuishi vizuri na watu.
10. Matukio yote ya zamani na moments zote za foolish age zifute na anza maisha mapya kama unazaliwa leo.
Your almost right
 
Back
Top Bottom