Mwana
JF-Expert Member
- Aug 6, 2010
- 5,440
- 1,962
Pumzika kwa amani Deo. Mungu aipe faraja familia yako. Wana Ludewa wanakulilia na Watanzania tunakulilia. Wewe ni mfano wa viongozi kwa vitendo. Nawafikiria wale wa jimboni kwako jamani, ulikuwa pamoja nao tena si kwa kinafiki bali kwa kumaanisha! R.I.P Deo