white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,314
- 13,278
Hilo haliwezekani kabisa.Vipi kuhusu wakuja ( kutoka bara ) akitaka kumiliki ardhi huko visiwani, je ni rahisi?
Hilo haliwezekani kabisa.Vipi kuhusu wakuja ( kutoka bara ) akitaka kumiliki ardhi huko visiwani, je ni rahisi?
Nakubaliana na wewe !Ustaarabu kwa maana ya jumla: Hii ni hatua ya juu ya maendeleo iliyopigwa na jamii husika katika wakati fulani katika nyanja mbalimbali kama vile kisiasa,kiuchumi,kiutamaduni,kijamii na kiteknolojia.
Ustaarabu= Jamii iliyoendelea.(Mazuri mengi mabaya machache)
Miongoni mwa sababu kuu za kuenea ustaarabu ni mwingiliano katika nyanja mbalimbali.
Swali 1:Ipi ilikuwa jamii ya mwanzo kuingiliana na jamii nyingine kimataifa na kitaifa katika nyanja mbalimbali kati ya bara na pwani.???
Swali 2:Ipi ilikuwa jamii ya mwanzo kupiga maenedeleo makubwa katika nyanja zote kati ya bara na pwani???
Nb 1: Tunazungumzia zamani sana(Karne kadhaa zilizopita)!!!!!!!!!!!
Nb 2: Tukubali (ukweli mchungu) jamii ya Zanzibar ilianza kujiatach na kujiexpose na external world mapema kuliko jamii yoyote.
huku ukilewa bakisha akili za kulinda tu tako
hahahaha hizi stori za zenji nacheka sanaPia zanzibar kuna Paka wengi kuliko aina nyingine yoyote ya mnyama
paka wa zanzibar hagombanii chakula,kama unampa mpe usipompa hujampa tu
paka wanene wamejaa pale forodhani na wa kila aina mtaani
paka hawakimbii wala hawaogopi watu...wao hawajui shida na changamoto za wenzao wa bara
ila sijawahi ona mbwa zanzibar
Hapo uliposema usiniletee story naona kuna ukakasi katika uelewa na ufahamu wako.Unaonekana unapenda mabishano na si maelekezano.Nakubaliana na wewe !
Naomba uniambie ni Technolojia gani dunia inajivunia Leo hii chimbuko lake ni Zanzibar au ukigundulika na Technologist kutoka Zanzibar!
Usinilete story naomba uitaje!
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hii ni kweli, wasichana single mothers hasa wakichaga wamejaa pale Amani CCM (ndiyo wengi) na jamii nyingine za bara wanafanya kwenye bar na migahawa mle ndo wanasema hotel ngono ndo biashara Yao.NIMEPENDA ANALYSIS YAKO INGAWAJE KUNA MAMBO HAYAPO SAWA
Mfano:- Kuhusu wabongo wanaofanya kazi hotelin wanajiuza sidhan kama ni kwel hii!!
Huu ni ukweli kabisa.11.Matajiri wao wapo simple sana.Yaani unaweza kupishana na tajiri mkubwa tu halafu usijue.Njoo kwetu bara.!!!!!!!!!!!!!!!
12.Hawana ushamba na ulimbukeni wa vitu vya eletroniki na magari.Kwao ni vitu vya kawaida sana.Njoo kwetu bara!!!!!!!!!!!
13.Ni wastaarabu kwa maana ya ustaarabu.Kutoa salamu ndani ya gari, kutoa lift bila ya masharti, lugha za staha, mavazi ya stara, ukarimu.Dhana ya huyu ni mkubwa na huyu ni mdogo bado ipo.
14.Vituo vingi vya magari kuishia na herufi ni mfano, chuini,amani,mkokotoni, chaani, mfenesini, darajani, michenzani ,kwa hani, kisauni n.k
15.Siyo waoga katika kudai haki zao.
16.Wanafuatilia sana siasa katika vijiwe vyao vya kahawa.
Nb1:Kila jamii ina mazuri na mabaya yake.
Nb 2. Ustaarabu ulianzia Pwani na kitovu chake ni Zanzibar(Ukweli mchungu) angalia elimu,uchumi,siasa,kijamii n.k
Wanawake toka Tanganyika woote hawakatai sijui kwa nini.Kuna mke wetu alienda huko kaajiriwa kwenye yale makobe,huwa naona anatupia picha picha fb,niko na wasiwasi nae baada ya kuona uzi huu maana nae ni mjanja mjanja sana
Kitimoto ipo, Kwa Dani Dole, kule bububu kwenye bar zinazofuga Malaya, kule kanisa katoliki, na maarufu sana Mama Janet kule Chukwaani. Ila Kuna super markets kadhaa zinauza kitimoto.Hakuna sehemu imetaja kitimoto mkuu, sio sawa..hebu lete habar kidogo kuhusu Kitimoto huko Zanziberi
Mim sijakaa Zanzibar Ila nilisoma na wazanzibar wale watu ni wachafu sana, Ila wapemba ni wachapakazi sana ila wa-unguja ni wavivu sanalabda ustaarabu wa kinafiki
hawa wengi ni waovu sana deep inside sababu hakuna sehemu pana rushwa kama hapa,kesi za ubakaji na kulawiti ni nyingi hasa kwa watoto
uchafu ndio mwingi sana,maeneo wanayoishi ni uchafu kwa kwenda mbele...mitaro ya maji kunuka mingi
matumizi ya vyoo ni ya hovyo sana...zanzibar mjini hapa hakuna choo cha kulipia chenye staha hata kimoja,vyote unaingia unawaza tu utoke salama
sehemu za vyakula ni chafu na hakuna anayejali sana kuhusu uchafu
sijui unasemea ustaarabu gani ndio ukianzia pwani
Wazanzibar ni wachafu sana karai hilo anamuogeshea mtoto baada ya mda anaoshea vyombo huo ustarabu ni upi unaongelea wale watu ni wachafu sana alafu wao wanaona kawaidaHapo uliposema usiniletee story naona kuna ukakasi katika uelewa na ufahamu wako.Unaonekana unapenda mabishano na si maelekezano.
Mimi sifahamu.Naomba unitajie teknolojia ambayo dunia nzima inajivunia kutoka Afrika.
Nb 1: Kutovumbua teknolojia haimanishi kuwa hiyo teknolojia huwezi kuwa nayo. Unaelewa maana ya Technology Transfer??????????
Nb 2: Jaribu kutokuwa na papara, mhemko,kiburi,majivuno,hasira, dharau n.k unapotaka kujifunza jambo lolote.Hivi vitu huwa vikwazo vikubwa katika kujifunza na kutafuta maarifa mapya. Samahani kama nimekukwaza.
Hoja yako imekosa mantiki kwani imetumia hisia zaidi pamoja na mhemko na siyo uhalisia. Uliposema 'Wazanzibar' ni (maana yake wote) hujawahi na hutawahi kukaa na Wazanzibar wote kwa pamoja halafu ukahitimisha kuwa wote ni wachafu.Wazanzibar ni wachafu sana karai hilo anamuogeshea mtoto baada ya mda anaoshea vyombo huo ustarabu ni upi unaongelea wale watu ni wachafu sana alafu wao wanaona kawaida
unabishia ukweli,huku kwenu mtu kopo la chooni hilo hilo anatumia jikoni.Hoja yako imekosa mantiki kwani imetumia hisia zaidi pamoja na mhemko na siyo uhalisia. Uliposema 'Wazanzibar' ni (maana yake wote) hujawahi na hutawahi kukaa na Wazanzibar wote kwa pamoja halafu ukahitimisha kuwa wote ni wachafu.
Uchafu ni tabia ya mtu binafsi na si tabia ya jamii nzima. Wengi wao (kama siyo wote )wanafuta imani ya dini ya Kiislamu ambayo katika moja ya mafundisho husisitiza usafi. Kama ilivyo ada ya binadamu kuna watakaofuata na kutii maamrisho na kuna wasiyofuata.(Hapa ni utashi binafsi). Ahsante.
wachafu sana mkuuMim sijakaa Zanzibar Ila nilisoma na wazanzibar wale watu ni wachafu sana, Ila wapemba ni wachapakazi sana ila wa-unguja ni wavivu sana
Ndiyo mkuu kwasababu kule hakuna makampuni binafsi kama Tanzania bara kule % 99 ya sekta binafsi ni mahoteli" kule na ajira nyingi za watu binafsi ni hoteli, ndugu yako akikwambia yupo Zanzibar ujue ni hoteli au fundi, Wazanzibari wao hawapendi kuajiri wanapenda kujiajiri sana.Kwahyo kanz za unskilled labour nzipo za kutosha