Elections 2015 Mambo 10 niliyojifunza 'sanaa za maonyesho' za Lowassa - Arusha

MAMBO 10 NILIYOJIFUNZA KWENYE "SANAA ZA MAONESHO" ZA LOWASSA.

By Malisa GJ,

1. Asilimia zaidi ya 90% ya watu waliokuwepo uwanjani wamegharamiwa. Bodaboda walilipwa, Wanafunzi walisafirishwa, Waandishi walilipwa. Wachache walioenda kwa hiari yao walienda kushangaa tu wala sio mashabiki wa Lowassa. This is to say ikiwa Lowassa asingetumia pesa huenda uwanjani angekua yeye na familia yake tu.

2. Wengi wanaomuunga mkono Lowassa ni "opportunists". Ni watu wanaotegemea akiingia madarakani awakumbuke. Either awape vyeo au awape unafuu kwenye biashara zao. Hakuna yeyote kwny kundi la Lowassa anayemuunga mkono kwa lengo la kuisaidia nchi.
3. Afya ya Eddo imedhoofu sn kuweza kuwa Rais wa nchi. Alipoingia uwanjani ameshindwa kupanda ngazi za jukwaa, akasimama katikati ya ngazi kwa dakika chache kabla ya kusaidiwa kupanda. Pia anaongea kwa Shida, na mikono yake haina nguvu. Hali hii imesababisha ashindwe kushika microphone alipopewa "mike" na Kibonde.
4. Mkutano wa Lowassa leo ni biashara kama zilivyo biashara nyingine. Kuna watu wamepata hela ya kulipa mahari kupitia mkutano huu, kuna waliopata mitaji ya kukuza biashara zao na kuna waliopata lift za bure za kwenda Arusha kufanya mambo yao. Hii inaitwa "mbwa kala mbwa"
5. Kutokana na maelezo ya Eddo ni wazi kuwa ana "bifu" na JK. Amekiri kuwa alimpigania sn Kikwete 1995 na 2005 lakini inavyoonekana JK amemsaliti.
6. Akiingia madarakani atalipiza kisasi kwa wabaya wake wote hasa Samuel Sitta, Anthony Diallo na vibaraka wao wote. Ikiwa Eddo atashinda kuna dalili Sitta, Dialo, Makonda, na vibaraka wengine wa CCM wakaishia jela.!
7. Mkutano wa leo ulikua ni mkwara wa kuionesha Kamati kuu ya chama chake kuwa ana nguvu kiasi gani, ili wasijaribu kabisa kukata jina lake wakihofia kukipasua chama.
8. Safari ya matumaini ni safari ya matamanio. Au unaweza kuiita safari ya matumizi. Huwezi kutumia 1.4 bilion for just a single day wakati kuna watu wanakufa kwa kukosa "padadol" ya shilingi mia halafu ukasema ni matumaini. Labda matumaini ya kuuza nchi.!
9. Ikiwa Eddo atashinda Yuko tayari kutumia rasilimali za nchi ili kulipa fadhila kwa rafiki zake waliomuunga mkono wakati wa kugombea. Kwa mfano yupo tayari kumgawia Mengi vitalu vya gesi Mtwara na kuwaacha watanzania wasinufaike na gesi yao kisa tu Mengi alimpa support kwny kugombea.
10. Lowassa ni msanii mzuri wa sanaa za maonesho. Ametumia makundi yote mawili ktk kufanikisha azma yake. Kundi la Maskini na kundi la matajiri.Ametumia maskini kwa kuwaahidi kuwa atawabana matajiri walipe kodi ili kuboresha maisha ya maskini.
Na ametumia matajiri akiwaahidi kuwa atawabana maskini ili wasipige kelele wakati anawagawia matajiri rasilimali za nchi. Hii ni sanaa. Ha hakika hapa Eddo ameitumia vizuri elimu yake ya sanaa ya chuo kikuu cha Dar es Salaam. (B.A in Fine &Perfoming Arts).!
NB: Watanzania hawawezi kuruhusu kumpa nchi hii "msanii". Nchi hii inatakiwa kuongozwa na mtu "real". Na mtu real hawezi kupatikana kwingine nje ya UKAWA.!

Umekula mabalachichi yaliyo oza ona sasa unavyo halisha popompoo mkubwa wewe
 
Ukiandika matusi haya humu unafikiri utabadilisha mawazo ya watu?
Watu wanataka mabadiliko!
 
Umekula mabalachichi yaliyo oza ona sasa unavyo halisha popompoo mkubwa wewe

Huyo aliendika huu uzi ni mwanachadema,hao ndio watu wa slaa,sio nyie team lowassa wakuja mlioingia chadema wiki iliyopita! mtafute huyo malisa umalize hasira zake,usipasue keyboard bure kwa jazba!
 
mambo 10 niliyojifunza kwenye "sanaa za maonesho" za lowassa.

by malisa gj,

1. Asilimia zaidi ya 90% ya watu waliokuwepo uwanjani wamegharamiwa. Bodaboda walilipwa, wanafunzi walisafirishwa, waandishi walilipwa. Wachache walioenda kwa hiari yao walienda kushangaa tu wala sio mashabiki wa lowassa. This is to say ikiwa lowassa asingetumia pesa huenda uwanjani angekua yeye na familia yake tu.

2. Wengi wanaomuunga mkono lowassa ni "opportunists". Ni watu wanaotegemea akiingia madarakani awakumbuke. Either awape vyeo au awape unafuu kwenye biashara zao. Hakuna yeyote kwny kundi la lowassa anayemuunga mkono kwa lengo la kuisaidia nchi.
3. Afya ya eddo imedhoofu sn kuweza kuwa rais wa nchi. Alipoingia uwanjani ameshindwa kupanda ngazi za jukwaa, akasimama katikati ya ngazi kwa dakika chache kabla ya kusaidiwa kupanda. Pia anaongea kwa shida, na mikono yake haina nguvu. Hali hii imesababisha ashindwe kushika microphone alipopewa "mike" na kibonde.
4. Mkutano wa lowassa leo ni biashara kama zilivyo biashara nyingine. Kuna watu wamepata hela ya kulipa mahari kupitia mkutano huu, kuna waliopata mitaji ya kukuza biashara zao na kuna waliopata lift za bure za kwenda arusha kufanya mambo yao. Hii inaitwa "mbwa kala mbwa"
5. Kutokana na maelezo ya eddo ni wazi kuwa ana "bifu" na jk. Amekiri kuwa alimpigania sn kikwete 1995 na 2005 lakini inavyoonekana jk amemsaliti.
6. Akiingia madarakani atalipiza kisasi kwa wabaya wake wote hasa samuel sitta, anthony diallo na vibaraka wao wote. Ikiwa eddo atashinda kuna dalili sitta, dialo, makonda, na vibaraka wengine wa ccm wakaishia jela.!
7. Mkutano wa leo ulikua ni mkwara wa kuionesha kamati kuu ya chama chake kuwa ana nguvu kiasi gani, ili wasijaribu kabisa kukata jina lake wakihofia kukipasua chama.
8. Safari ya matumaini ni safari ya matamanio. Au unaweza kuiita safari ya matumizi. Huwezi kutumia 1.4 bilion for just a single day wakati kuna watu wanakufa kwa kukosa "padadol" ya shilingi mia halafu ukasema ni matumaini. Labda matumaini ya kuuza nchi.!
9. Ikiwa eddo atashinda yuko tayari kutumia rasilimali za nchi ili kulipa fadhila kwa rafiki zake waliomuunga mkono wakati wa kugombea. Kwa mfano yupo tayari kumgawia mengi vitalu vya gesi mtwara na kuwaacha watanzania wasinufaike na gesi yao kisa tu mengi alimpa support kwny kugombea.
10. Lowassa ni msanii mzuri wa sanaa za maonesho. Ametumia makundi yote mawili ktk kufanikisha azma yake. Kundi la maskini na kundi la matajiri.ametumia maskini kwa kuwaahidi kuwa atawabana matajiri walipe kodi ili kuboresha maisha ya maskini.
Na ametumia matajiri akiwaahidi kuwa atawabana maskini ili wasipige kelele wakati anawagawia matajiri rasilimali za nchi. Hii ni sanaa. Ha hakika hapa eddo ameitumia vizuri elimu yake ya sanaa ya chuo kikuu cha dar es salaam. (b.a in fine &perfoming arts).!
Nb: Watanzania hawawezi kuruhusu kumpa nchi hii "msanii". Nchi hii inatakiwa kuongozwa na mtu "real". Na mtu real hawezi kupatikana kwingine nje ya ukawa.!

alishanza kuripiza kisasi umesahau ya mwakyembe na magula na leo umesikia ya polepole,
huyu lowasa na mtandao ni hatari kwa taifa letu,ni mafya wa hatari

attachment.php
 
MAMBO 10 NILIYOJIFUNZA KWENYE "SANAA ZA MAONESHO" ZA LOWASSA.

By Malisa GJ,

1. Asilimia zaidi ya 90% ya watu waliokuwepo uwanjani wamegharamiwa. Bodaboda walilipwa, Wanafunzi walisafirishwa, Waandishi walilipwa. Wachache walioenda kwa hiari yao walienda kushangaa tu wala sio mashabiki wa Lowassa. This is to say ikiwa Lowassa asingetumia pesa huenda uwanjani angekua yeye na familia yake tu.

2. Wengi wanaomuunga mkono Lowassa ni "opportunists". Ni watu wanaotegemea akiingia madarakani awakumbuke. Either awape vyeo au awape unafuu kwenye biashara zao. Hakuna yeyote kwny kundi la Lowassa anayemuunga mkono kwa lengo la kuisaidia nchi.
3. Afya ya Eddo imedhoofu sn kuweza kuwa Rais wa nchi. Alipoingia uwanjani ameshindwa kupanda ngazi za jukwaa, akasimama katikati ya ngazi kwa dakika chache kabla ya kusaidiwa kupanda. Pia anaongea kwa Shida, na mikono yake haina nguvu. Hali hii imesababisha ashindwe kushika microphone alipopewa "mike" na Kibonde.
4. Mkutano wa Lowassa leo ni biashara kama zilivyo biashara nyingine. Kuna watu wamepata hela ya kulipa mahari kupitia mkutano huu, kuna waliopata mitaji ya kukuza biashara zao na kuna waliopata lift za bure za kwenda Arusha kufanya mambo yao. Hii inaitwa "mbwa kala mbwa"
5. Kutokana na maelezo ya Eddo ni wazi kuwa ana "bifu" na JK. Amekiri kuwa alimpigania sn Kikwete 1995 na 2005 lakini inavyoonekana JK amemsaliti.
6. Akiingia madarakani atalipiza kisasi kwa wabaya wake wote hasa Samuel Sitta, Anthony Diallo na vibaraka wao wote. Ikiwa Eddo atashinda kuna dalili Sitta, Dialo, Makonda, na vibaraka wengine wa CCM wakaishia jela.!
7. Mkutano wa leo ulikua ni mkwara wa kuionesha Kamati kuu ya chama chake kuwa ana nguvu kiasi gani, ili wasijaribu kabisa kukata jina lake wakihofia kukipasua chama.
8. Safari ya matumaini ni safari ya matamanio. Au unaweza kuiita safari ya matumizi. Huwezi kutumia 1.4 bilion for just a single day wakati kuna watu wanakufa kwa kukosa "padadol" ya shilingi mia halafu ukasema ni matumaini. Labda matumaini ya kuuza nchi.!
9. Ikiwa Eddo atashinda Yuko tayari kutumia rasilimali za nchi ili kulipa fadhila kwa rafiki zake waliomuunga mkono wakati wa kugombea. Kwa mfano yupo tayari kumgawia Mengi vitalu vya gesi Mtwara na kuwaacha watanzania wasinufaike na gesi yao kisa tu Mengi alimpa support kwny kugombea.
10. Lowassa ni msanii mzuri wa sanaa za maonesho. Ametumia makundi yote mawili ktk kufanikisha azma yake. Kundi la Maskini na kundi la matajiri.Ametumia maskini kwa kuwaahidi kuwa atawabana matajiri walipe kodi ili kuboresha maisha ya maskini.
Na ametumia matajiri akiwaahidi kuwa atawabana maskini ili wasipige kelele wakati anawagawia matajiri rasilimali za nchi. Hii ni sanaa. Ha hakika hapa Eddo ameitumia vizuri elimu yake ya sanaa ya chuo kikuu cha Dar es Salaam. (B.A in Fine &Perfoming Arts).!
NB: Watanzania hawawezi kuruhusu kumpa nchi hii "msanii". Nchi hii inatakiwa kuongozwa na mtu "real". Na mtu real hawezi kupatikana kwingine nje ya UKAWA.!

nenda kidirishani ukalipwe ujira wa mwia,
 
Huyo aliendika huu uzi ni mwanachadema,hao ndio watu wa slaa,sio nyie team lowassa wakuja mlioingia chadema wiki iliyopita! mtafute huyo malisa umalize hasira zake,usipasue keyboard bure kwa jazba!

Hawa wa juzi tunawaita NYUMBU
 
(11)Konda wa daladala alieombwa kufanya nae maigizo yakurudishiwa change kapiga bingo mbaya kwenye igizo moja tu hii ni hatariiii
(12)Gongo la mboto huko vichochoroni alikua kama bwana pepsi ukipata bahati yakukutana nae tu mfukoni ni shiidaaa
 
mwafrika leo posho yako uliyolipwa inakutesa na bango lako,

weka na nyaraka za richmond alizokuwa anatamba nazo slaa na mnyika au hata hilo haulijui maana wangine ni 4u wajana baada ya kununuliwa wafanye propaganda wakati hawaelewi yaliyojili huko nyuma
,unatia aibu ,kijana kununuliwa wakati mungu amekupa karama na vipawa vyote ni aibu mbele za mungu na malipo yake lazima yakukute tu ,
jitambue linda utu wako na falsafa ya maisha yako,maana naona masharti ya kusambaza hili bango lako uliyopewa yanakutesa sana boy
 
tulia dozi ifanye kazi
 
(11)konda wa daladala alieombwa kufanya nae maigizo yakurudishiwa change kapiga bingo mbaya kwenye igizo moja tu hii ni hatariiii
(12)gongo la mboto huko vichochoroni alikua kama bwana pepsi ukipata bahati yakukutana nae tu mfukoni ni shiidaaa

unajua lowasa maigizo hajayaanza leo hata shahada yake ni ya maigizo ,a,k,a sanaa
unajua unapoona kiongozi anajikita kwenye maigizo badara ya kutengemea majukwaa ya wasomi kuwashawishi ili wampe kura ni hatari sana maana atakuwa rais wa maingizo tu,wajinga wanaona yaani kama vile ni kituko cha karne lkn mimi limemuuliza mtu swali ameshidwa kunipa jibu maana nilimkuta sehemu anashangilia ,
nikamwambia
je lowasa akiwa waziri mkuu uliwai kusikia amepanga daradara ,? Na wakati kipindi hicho ndo hilikuwa kazi yake kwa wakati huo? Amebaki hana cha kujibu nikamwambia k]jitambue acha kuuza kurayako kwaq maigizo ya wanasiasa maana na wenygine walikuwa na nyaraka za richmond wanatamba nazo leo hawana cha kusema tu ni aibu,

tulia dozi ifanye kazi

unachekesha ,nakupa pole wewe ulipewa bango na linakutesa kulisambaza
wakati nyerer anatoa taifa hili utumwani wewe ulibaki wapi kiasi cha kuuza utu wako na kuwa mtumwa,unazalilisha ujana wako ambo hata mungu ameubariki kwa kufanya kazi za ovyo tu,

35 Reactions
Reply
Back
Top Bottom