Elections 2015 Mambo 10 niliyojifunza 'sanaa za maonyesho' za Lowassa - Arusha

Uikitaka kujua watz no watu was aina gani angalia tukio kama LA kisanii LA Jana, wakati anajiuzulu uraisi mwaka 2008 nchi ilizizima kwa shangwe fisadi katoswa, Leo watu kama mazuzu wanashangilia upuuzi eti safari ya matumaini ni upuuzi mwingine kama ule wa kikombe cha babu wa loliondo, hii inaonyesha watz tulivyo na IQ ndogo
 
Urais ni ajira inayotolewa na mwananchi,mshahara pamoja na gharama zote hugharimiwa na mwajili.

Iweje leo mwajiliwa ndiye ageuke kubeba gharama zote zinazotakiwa kubebwa na mwajili?kibaya zaidi anae gharamiwa ndiye mwajili mwenyewe ambaye anatakiwa kutumia gharama zake kukuajili.

Chifu mwenyewe huwa hatumii gharama zake mwenyewe kujisimika,gharama zote hutolewa na jamii inayotaka kuongozwa na chifu huyu.

Tofauti na Lowassa anaesema kuwa watanzania ndio wanaomtaka awaongoze na ndiye anae kubalika zaidi ya watangaza nia wote.

Lakini kwa nini atumie kiasi kikubwa cha fedha kuwashawishi wananchi ili wamtangaze kwa nguvu kubwa na kuhudhuria mikutano yake,wakati yeye ana sema kuwa ana kubalika na ameombwa na wananchi kugombea urais?.

Je ni kweli Lowassa ana moyo wa dhati kabisa wa kuwaondolea watanzania umasikini?kama ni hivyo kwa nini ana tumia gharama kubwa kuwashawishi wananchi ili wamchague kwa nguvu ya fedha?kama Lowassa ana nia njema na watanzania kwa nini asitumie utajili wake kuwasaidia wananchi kwa kuwawekea mazingira mazuri kwenye hosptali,ujenzi wa barabara,maji n.k au mashart yake mpaka achaguliwe kuwa rais ndiyo ayafanye hayo?.

Na ilikuwaje akashindwa kuwasaidia watanzania kipindi kile alichokuwa kwenye system wakati uwezo wa kufanya hivyo alikuwa nao?.
 
Obama hakuwa na nguvu alizokuwa nazo Clinton ndani democrats wakati anaanza kuutafuta urais, lkn alifanikiwa kumshinda na baadae kuwa rais wa marekani!!

mkuu upo sahihi ila wale wenzetu hawakurupuki kumpa mtu urais na kama unakumbuka midaharo ya obama ilikua mara kwa mara na mpaka walipomuelewa kuwa atakachokifanya kitakua na faida kwa wamarekani ndio maana unaona leo hii uchumi wao upo juu tena na ajira za kutosha,,sio ss eti mtu hata kama hana uwezo wa kuwa rais tunaangalia hana kashfa? Mikakati bora kwa watanzania ili kutoka tulipo mpaka point ya pili hawana zaid ya kipaumbele elimu,kilimo utafanya nn ili elimu,afya,ziwe bora na kufufua viwanda mbinu zipi itatumia..
 
lowasa5.jpg
Aamonduli8.jpg

Alalamika alimsaidia Kikwete Kampeni za urais lakini sasa yeye ametoswa

MAMBO 10 NILIYOJIFUNZA KWENYE "SANAA ZA MAONESHO" ZA LOWASSA.

By Malisa GJ,

1. Asilimia zaidi ya 90% ya watu waliokuwepo uwanjani wamegharamiwa. Bodaboda walilipwa, Wanafunzi walisafirishwa, Waandishi walilipwa. Wachache walioenda kwa hiari yao walienda kushangaa tu wala sio mashabiki wa Lowassa. This is to say ikiwa Lowassa asingetumia pesa huenda uwanjani angekua yeye na familia yake tu.

2. Wengi wanaomuunga mkono Lowassa ni "opportunists". Ni watu wanaotegemea akiingia madarakani awakumbuke. Either awape vyeo au awape unafuu kwenye biashara zao. Hakuna yeyote kwny kundi la Lowassa anayemuunga mkono kwa lengo la kuisaidia nchi.

3. Afya ya Eddo imedhoofu sn kuweza kuwa Rais wa nchi. Alipoingia uwanjani ameshindwa kupanda ngazi za jukwaa, akasimama katikati ya ngazi kwa dakika chache kabla ya kusaidiwa kupanda. Pia anaongea kwa Shida, na mikono yake haina nguvu. Hali hii imesababisha ashindwe kushika microphone alipopewa "mike" na Kibonde.

4. Mkutano wa Lowassa leo ni biashara kama zilivyo biashara nyingine. Kuna watu wamepata hela ya kulipa mahari kupitia mkutano huu, kuna waliopata mitaji ya kukuza biashara zao na kuna waliopata lift za bure za kwenda Arusha kufanya mambo yao. Hii inaitwa "mbwa kala mbwa"

5. Kutokana na maelezo ya Eddo ni wazi kuwa ana "bifu" na JK. Amekiri kuwa alimpigania sn Kikwete 1995 na 2005 lakini inavyoonekana JK amemsaliti.

6. Akiingia madarakani atalipiza kisasi kwa wabaya wake wote hasa Samuel Sitta, Anthony Diallo na vibaraka wao wote. Ikiwa Eddo atashinda kuna dalili Sitta, Dialo, Makonda, na vibaraka wengine wa CCM wakaishia jela.!

7. Mkutano wa leo ulikua ni mkwara wa kuionesha Kamati kuu ya chama chake kuwa ana nguvu kiasi gani, ili wasijaribu kabisa kukata jina lake wakihofia kukipasua chama.

8. Safari ya matumaini ni safari ya matamanio. Au unaweza kuiita safari ya matumizi. Huwezi kutumia 1.4 bilion for just a single day wakati kuna watu wanakufa kwa kukosa "padadol" ya shilingi mia halafu ukasema ni matumaini. Labda matumaini ya kuuza nchi.!

9. Ikiwa Eddo atashinda Yuko tayari kutumia rasilimali za nchi ili kulipa fadhila kwa rafiki zake waliomuunga mkono wakati wa kugombea. Kwa mfano yupo tayari kumgawia Mengi vitalu vya gesi Mtwara na kuwaacha watanzania wasinufaike na gesi yao kisa tu Mengi alimpa support kwny kugombea.

10. Lowassa ni msanii mzuri wa sanaa za maonesho. Ametumia makundi yote mawili ktk kufanikisha azma yake. Kundi la Maskini na kundi la matajiri.Ametumia maskini kwa kuwaahidi kuwa atawabana matajiri walipe kodi ili kuboresha maisha ya maskini.

Na ametumia matajiri akiwaahidi kuwa atawabana maskini ili wasipige kelele wakati anawagawia matajiri rasilimali za nchi. Hii ni sanaa. Ha hakika hapa Eddo ameitumia vizuri elimu yake ya sanaa ya chuo kikuu cha Dar es Salaam. (B.A in Fine &Perfoming Arts).!

NB: Watanzania hawawezi kuruhusu kumpa nchi hii "msanii". Nchi hii inatakiwa kuongozwa na mtu "real". Na mtu real hawezi kupatikana kwingine nje ya UKAWA.!

#SAY_NO_TO_SANAA
#SAY_NO_TO_CCM
#BE_REAL . #VOTE_FOR_UKAWA .
Suala la kusafirisha watu ni jambo la kawaida sana kwa CCM
 
Watanzania wamelogwa tena hawajitambui. Vijana wa vyuo vikuu wamekuwa mavuvuzela kushabikia watu na chama kilichochoka kama ccm. Jana arusha ilivamiwa na wageni kutoka mikoa yote kwa nguvu ya pesa. Mabasi zaidi ya nane pekee yalitokea mwanza na yalikuja na wanafunzi wa vyuo eti kumshangilia lowasa. Wakati fulani huwa naamini baadhi ya wanafunzi wa elimu ya juu ni mataahira. Unawezaje kuiunga mkono ccm na wezi wake kama lowasa??? Hivi kweli tumeshasahau matatizo ya nchi yetu?nilipata kumuuliza kijana mmoja aliewahi kuwa rais wa serikali ya wanafunzi unampendea nini lowasa??? Akanijibu nampenda tu yani. Khaaa nilishangaa mwanafunzi msomi anashindwa kujibu na kujenga hoja zakunifanya nielewe why tuipe ccm au lowasa nchi??? Umaskini na njaa ambavyo vijana wanaendekeza ndicho chanzo cha kuifanya nchi idumae kimaendeleo? Msitukane hebu mnijibu kwa hoja:
  1. lowasa ana nini cha ziada??
  2. ccm inaweza kufanya nini tena baada yakutuweka hapa kwa miaka 53??
  3. nani anafaa ndani ya ccm???
  4. mnadhani mtu mwenye uwezo kama warioba, salim ahmed salim na labda jaji ramadhani watapewa nafasi kuongoza nchi na ccm??
ni mtazamo wangu tu kwamba kwa sasa nilazime ccm ikae pembeni ijifunze ilipokosea. Na vijana tusiendekeze njaa.
 
Katika 10 uliyoyaandika linalo "make sense" kwangu (kama ni la kweli) ni hilo moja tu.

Nikitazama video za Lowassa za hivi karibuni huwa nnamuona kama robot au teja fulani hivi.

Isije kuwa huyu mzee ni teja.

Ngoja niitafute video ya jana nimtazame vizuri. Sijauona mkutano wake wa jana.

Edward-Lowassa_490_280.jpg

Lowasa mchovu na mgonjwa angalia alivyoegemea hawezi kusimama peke yake, akiwa rais tutegemee rais anatejitegemeza kwa fimbo atembeapo au asimamapo.
 
Mwanafunzi. yeyote awe wa shule ya msingi awe wa chuo na mtu yeyote aliyezoea kupewa kama wanafunzi Hawaii wezi kuhimili mawazoyao wenyewe kwasababu wao ni tegemezi
 
Anachukia umasikini,yuko tayari kuiba ili apate utajiri,ukiwa kiongozi unakuwa mtumwa na masikini,unafikiri mara zote watu wako wawe matajiri wa akilina mali wakati wewe unabaki na utajiri wa akili tu.Nimewashangaa sana WaTanzania,urais umekuwa so cheap kiasi hiki?
 
Wewe ulilipwa ngapi, hoja zako zote ni dhaifu na zinaonyesha ni za mtu ambaye kashindwa kabla hajaingia uwanjani. Mtalia na Kusaga meno na maandishi yako yanaonyesha tu cha maana jinsi mishipa ya macho ilivyokutoka na kupumua kwa taabu wakati unaadika Bavicha mburura wee
 
MAMBO 10 NILIYOJIFUNZA KWENYE "SANAA ZA MAONESHO" ZA LOWASSA.

By Malisa GJ,

1. Asilimia zaidi ya 90% ya watu waliokuwepo uwanjani wamegharamiwa. Bodaboda walilipwa, Wanafunzi walisafirishwa, Waandishi walilipwa. Wachache walioenda kwa hiari yao walienda kushangaa tu wala sio mashabiki wa Lowassa. This is to say ikiwa Lowassa asingetumia pesa huenda uwanjani angekua yeye na familia yake tu.

2. Wengi wanaomuunga mkono Lowassa ni "opportunists". Ni watu wanaotegemea akiingia madarakani awakumbuke. Either awape vyeo au awape unafuu kwenye biashara zao. Hakuna yeyote kwny kundi la Lowassa anayemuunga mkono kwa lengo la kuisaidia nchi.
3. Afya ya Eddo imedhoofu sn kuweza kuwa Rais wa nchi. Alipoingia uwanjani ameshindwa kupanda ngazi za jukwaa, akasimama katikati ya ngazi kwa dakika chache kabla ya kusaidiwa kupanda. Pia anaongea kwa Shida, na mikono yake haina nguvu. Hali hii imesababisha ashindwe kushika microphone alipopewa "mike" na Kibonde.
4. Mkutano wa Lowassa leo ni biashara kama zilivyo biashara nyingine. Kuna watu wamepata hela ya kulipa mahari kupitia mkutano huu, kuna waliopata mitaji ya kukuza biashara zao na kuna waliopata lift za bure za kwenda Arusha kufanya mambo yao. Hii inaitwa "mbwa kala mbwa"
5. Kutokana na maelezo ya Eddo ni wazi kuwa ana "bifu" na JK. Amekiri kuwa alimpigania sn Kikwete 1995 na 2005 lakini inavyoonekana JK amemsaliti.
6. Akiingia madarakani atalipiza kisasi kwa wabaya wake wote hasa Samuel Sitta, Anthony Diallo na vibaraka wao wote. Ikiwa Eddo atashinda kuna dalili Sitta, Dialo, Makonda, na vibaraka wengine wa CCM wakaishia jela.!
7. Mkutano wa leo ulikua ni mkwara wa kuionesha Kamati kuu ya chama chake kuwa ana nguvu kiasi gani, ili wasijaribu kabisa kukata jina lake wakihofia kukipasua chama.
8. Safari ya matumaini ni safari ya matamanio. Au unaweza kuiita safari ya matumizi. Huwezi kutumia 1.4 bilion for just a single day wakati kuna watu wanakufa kwa kukosa "padadol" ya shilingi mia halafu ukasema ni matumaini. Labda matumaini ya kuuza nchi.!
9. Ikiwa Eddo atashinda Yuko tayari kutumia rasilimali za nchi ili kulipa fadhila kwa rafiki zake waliomuunga mkono wakati wa kugombea. Kwa mfano yupo tayari kumgawia Mengi vitalu vya gesi Mtwara na kuwaacha watanzania wasinufaike na gesi yao kisa tu Mengi alimpa support kwny kugombea.
10. Lowassa ni msanii mzuri wa sanaa za maonesho. Ametumia makundi yote mawili ktk kufanikisha azma yake. Kundi la Maskini na kundi la matajiri.Ametumia maskini kwa kuwaahidi kuwa atawabana matajiri walipe kodi ili kuboresha maisha ya maskini.
Na ametumia matajiri akiwaahidi kuwa atawabana maskini ili wasipige kelele wakati anawagawia matajiri rasilimali za nchi. Hii ni sanaa. Ha hakika hapa Eddo ameitumia vizuri elimu yake ya sanaa ya chuo kikuu cha Dar es Salaam. (B.A in Fine &Perfoming Arts).!
NB: Watanzania hawawezi kuruhusu kumpa nchi hii "msanii". Nchi hii inatakiwa kuongozwa na mtu "real". Na mtu real hawezi kupatikana kwingine nje ya UKAWA.!
 
Sawa bibi tumeona uwepo wako

aibu zimewajaa hadi mnamkataza kutembelea wapiga kula?

Malipo ni hapa duniani
 
sawa bibi tumeona uwepo wako

aibu zimewajaa hadi mnamkataza kutembelea wapiga kula?

Malipo ni hapa duniani

atangaze era sio kuzurura zurura ovyo,mwenzake yuko mikoani kwa wapiga kura anamwaga sera anasepa mkoa kwa mkoa kiji kwa kijiji
 
35 Reactions
Reply
Back
Top Bottom