Mambo 10 nilioyaona kwenye Simba Day

marcoveratti

JF-Expert Member
Sep 21, 2017
960
1,679
1: Siku kubwa. Matukio makubwa. Mechi kubwa Bila shaka 'Simba Day' ni miongoni mwa Tamasha Bora Afrika kwa sasa

2: Diamond Platinumz Tafsiri rahisi ya Msanii mkubwa. Bonge la Show Energy ya kutosha... Si wasanii wote wenye uwezo wa kuwafanya watu zaidi ya 50,000 wacheza kwa pamoja

3: Larry Bwalya..NAAAM WHAT A PLAYER! Anapokea, anatoa! Kama mkata Tiketi wa kwenye mwendo kasi Mchezaji wa malengo makubwa. Top Class Tumsubiri Mkwakwani sasa

4: Ibrahim Ame Macho ya wengi yalikuwa kwa Onyango, akapata nafasi ya kucheza bila presha na kuonyesha kwanini mpaka sasa ni ngumu kwa Juma Mgunda kutaja nani ni bora kati yake na Mwamnyeto

5: Mugalu.. 'The Animal' Nimependa anavyokaa kwenye nafasi katika eneo la mwisho. Kasi, nguvu ni miongoni mwa silaha zake muhimu uwanjani. Bado nahitaji kumuona Tena kujiridhisha kwenye 'art yake ya umaliziaji'

6: Sven Vanderbroek Amejaribu kikosi na kujiweka Majaribuni. VITAL 'O amekufa 6, Luis Miquissone akiwa Honeymoon Kuna quality nyingi kwenye kikosi cha Simba. Kazi ni kubwa kwa Sven kupata balance ya Timu yake kiufundi

7: Benard Morrison.. BANIANI MBAYA, MWENYE DAWA KWENYE KIATU CHAKE Naelewa kwanini Yanga wamechagua kwenda FIFA kudai haki yao

8: Asante AJIB Katikati ya Bwalya na Chama, unampata kijana wa Kitanzania aliyesimama kutoa burudani. Uamuzi wa kipaji chake bado uko kwake

9: Mo Dewji Bilionea mwenye wazimu wa soka! Nilipenda alivyokuwa 'active' katika Kila Tukio kiwanjani.

10: Zile nafasi tupu majukwaa ni tafsiri kuwa Simba walifanya 'promotion ya mazoea'. Ilihitajika pia tathimini ya kina juu ya Viingilio kama ni rafiki kwa wakati Tulionao

Nb: Kama wale wabovu, Ombeni mechi
 
Mi mshabiki wa yanga kwa ukweli wa Mungu.. ila simba mna wachezaji kama watatu hivi wana kiwango kikubwa sana... mmakonde, morrisson na chama... hawa watatu wapo level ya juu sana.. wanafata kina kagere na wengineo.. ila kwa skills za ziada tukiacha fundamentals hao watatu ni moto.

Morrison spidi inambeba na kuulinda mpira. Hapotezi mpira kwa utahisi na mmakonde pia kama morrisson.. chama vision na dribbling ipo vizuri sana

Nina imani wakiandaliwa vizuri kisaikolojia.. simba ana uwezo wa kuzifunga club kubwa africa na hata kutwaa kombe la caf
 
Mi mshabiki wa yanga kwa ukweli wa Mungu.. ila simba mna wachezaji kama watatu hivi wana kiwango kikubwa sana... mmakonde, morrisson na chama... hawa watatu wapo level ya juu sana.. wanafata kina kagere na wengineo.. ila kwa skills za ziada tukiacha fundamentals hao watatu ni moto
Morrison spidi inambeba na kuulinda mpira. Hapotezi mpira kwa utahisi.. na mmakonde pia kama morrisson.. chama vision na dribbling ipo vizuri sana

Kadi yako ya Simba namba ngapi ?!?!
 
😂😂 hapo hakuna timu hata ya kubeba ligi kuu msimu huu, sembuse hilo kombe la cuf, au unafikiri kule kuna kina vital o
 
Kwa vichekesho zaidi kama hivi bonyeza MKATA KIU
Mi mshabiki wa yanga kwa ukweli wa Mungu.. ila simba mna wachezaji kama watatu hivi wana kiwango kikubwa sana... mmakonde, morrisson na chama... hawa watatu wapo level ya juu sana.. wanafata kina kagere na wengineo.. ila kwa skills za ziada tukiacha fundamentals hao watatu ni moto
Morrison spidi inambeba na kuulinda mpira. Hapotezi mpira kwa utahisi.. na mmakonde pia kama morrisson.. chama vision na dribbling ipo vizuri sana

Nina imani wakiandaliwa vizuri kisaikolojia.. simba ana uwezo wa kuzifunga club kubwa africa na hata kutwaa kombe la caf
 
Mimi was was wangu ni kiwango cha mwalimu Sven kuhimili upangaji wa kikosi kwa aina ya wachezaji alionao, anaweza akatuangusha asbh sana huyo kishingo.
 
1: Siku kubwa. Matukio makubwa. Mechi kubwa Bila shaka 'Simba Day' ni miongoni mwa Tamasha Bora Afrika kwa sasa

2: Diamond Platinumz Tafsiri rahisi ya Msanii mkubwa. Bonge la Show Energy ya kutosha... Si wasanii wote wenye uwezo wa kuwafanya watu zaidi ya 50,000 wacheza kwa pamoja

3: Larry Bwalya..NAAAM WHAT A PLAYER! Anapokea, anatoa! Kama mkata Tiketi wa kwenye mwendo kasi Mchezaji wa malengo makubwa. Top Class Tumsubiri Mkwakwani sasa

4: Ibrahim Ame Macho ya wengi yalikuwa kwa Onyango, akapata nafasi ya kucheza bila presha na kuonyesha kwanini mpaka sasa ni ngumu kwa Juma Mgunda kutaja nani ni bora kati yake na Mwamnyeto

5: Mugalu.. 'The Animal' Nimependa anavyokaa kwenye nafasi katika eneo la mwisho. Kasi, nguvu ni miongoni mwa silaha zake muhimu uwanjani. Bado nahitaji kumuona Tena kujiridhisha kwenye 'art yake ya umaliziaji'

6: Sven Vanderbroek Amejaribu kikosi na kujiweka Majaribuni. VITAL 'O amekufa 6, Luis Miquissone akiwa Honeymoon Kuna quality nyingi kwenye kikosi cha Simba. Kazi ni kubwa kwa Sven kupata balance ya Timu yake kiufundi

7: Benard Morrison.. BANIANI MBAYA, MWENYE DAWA KWENYE KIATU CHAKE Naelewa kwanini Yanga wamechagua kwenda FIFA kudai haki yao

8: Asante AJIB Katikati ya Bwalya na Chama, unampata kijana wa Kitanzania aliyesimama kutoa burudani. Uamuzi wa kipaji chake bado uko kwake

9: Mo Dewji Bilionea mwenye wazimu wa soka! Nilipenda alivyokuwa 'active' katika Kila Tukio kiwanjani.

10: Zile nafasi tupu majukwaa ni tafsiri kuwa Simba walifanya 'promotion ya mazoea'. Ilihitajika pia tathimini ya kina juu ya Viingilio kama ni rafiki kwa wakati Tulionao

Nb: Kama wale wabovu, Ombeni mechi
Ile surprise ya Haji Manara na Nasibu Abdul kuingia na helkopita iliniboa sana. Mimi nilidhani surprise waliyolenga ni Messi wa Barca kuingia na helkopita na kuwa mgeni rasmi wa Simba Day.
 
Surprise haikuwa ile.. surprise ilikuwa zile baruti kabla ya game
 
Simba day ni propaganda kupoteza lengo kuwa wanachama na wapenzi wa simba wame tapeliwa na kunyanganywa timu yao na mhindi na genge lake la walio harakisha deal hio baada kuwahonga.
Anacheza na akili za wapenzi wa soka .
Hili sio wengi wana uwezo wa kilifikiria.
Ni sawa na ile show ya mitama ya ccm uwanja wa uhuru.
Kwangu simba ni tapeli ametuibia club yetu kwa manufaa ya biashara zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1: Siku kubwa. Matukio makubwa. Mechi kubwa Bila shaka 'Simba Day' ni miongoni mwa Tamasha Bora Afrika kwa sasa

2: Diamond Platinumz Tafsiri rahisi ya Msanii mkubwa. Bonge la Show Energy ya kutosha... Si wasanii wote wenye uwezo wa kuwafanya watu zaidi ya 50,000 wacheza kwa pamoja

3: Larry Bwalya..NAAAM WHAT A PLAYER! Anapokea, anatoa! Kama mkata Tiketi wa kwenye mwendo kasi Mchezaji wa malengo makubwa. Top Class Tumsubiri Mkwakwani sasa

4: Ibrahim Ame Macho ya wengi yalikuwa kwa Onyango, akapata nafasi ya kucheza bila presha na kuonyesha kwanini mpaka sasa ni ngumu kwa Juma Mgunda kutaja nani ni bora kati yake na Mwamnyeto

5: Mugalu.. 'The Animal' Nimependa anavyokaa kwenye nafasi katika eneo la mwisho. Kasi, nguvu ni miongoni mwa silaha zake muhimu uwanjani. Bado nahitaji kumuona Tena kujiridhisha kwenye 'art yake ya umaliziaji'

6: Sven Vanderbroek Amejaribu kikosi na kujiweka Majaribuni. VITAL 'O amekufa 6, Luis Miquissone akiwa Honeymoon Kuna quality nyingi kwenye kikosi cha Simba. Kazi ni kubwa kwa Sven kupata balance ya Timu yake kiufundi

7: Benard Morrison.. BANIANI MBAYA, MWENYE DAWA KWENYE KIATU CHAKE Naelewa kwanini Yanga wamechagua kwenda FIFA kudai haki yao

8: Asante AJIB Katikati ya Bwalya na Chama, unampata kijana wa Kitanzania aliyesimama kutoa burudani. Uamuzi wa kipaji chake bado uko kwake

9: Mo Dewji Bilionea mwenye wazimu wa soka! Nilipenda alivyokuwa 'active' katika Kila Tukio kiwanjani.

10: Zile nafasi tupu majukwaa ni tafsiri kuwa Simba walifanya 'promotion ya mazoea'. Ilihitajika pia tathimini ya kina juu ya Viingilio kama ni rafiki kwa wakati Tulionao

Nb: Kama wale wabovu, Ombeni mechi
Kalia moko tako fc buana.
 
Huwezi kucheza naa vitalo ambayo mmeilipiga gharama zote halafu mtegemee ingewapa ushindani...mngeishusha MAZEMBE Hapa bongo ingewapa kipimo kizuri
 
Back
Top Bottom