Mambo 10 kuhusu Kachero J. Edgar Hoover wa FBI

Don’t trust any body, even your wife! Hii kanuni ndiyo inayowafanya wasioe, wala kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Wanawake! Hawa viumbe wa kike hawaaminiki hata kidogo! Kumbuka Delilah alivyomsaliti SAMSON
Alikuwa mtoto wa watu
 
Sina uwakika na namba nane, mana hua kabla hujaingia kwenye mashikirika ya ulinzi na usalama wa nchi ama mashirika makubwa ya kifedha mfano. World bank/Bot/ n.k kutegemea na nafasi yako namaanisha hii inategemea unyeti wa nafasi yako katika kazi hua lazima upimwe USHOGA kama utakua na element / kiashiria cha ushoga utakua hujakidhi vigezo vya kujiunga na taasisi hiyo hii ni kuepuka uvujishaji wa siri katika idara husika.
INASEMEKANA
ukiwa shoga kuna uwezekana mkubwa wa kuvujisha siri kwa watu wako unaoshiriki nao tendo. HiI ni weakness point ambayo taasisi ngingi huziepuka.
huyu jamaa alikua na misimamo yake katika kazi ndo mana aliamua kua peke yake kuepuka kutingishwa katika misimamo yake ama kwa kutekwa kwa watu wake wa karibu.
 
Hakuoa wala kuzaa kwa sababu kuu moja!

Ukioa na kuzaa unapelelezeka kwa urahisi sana!

Huwezi kuficha siri zako kwa 100% mashirika ya upelelezi wakati ukiwa una mke au watoto!

Yeye alilitambua hilo na ndio maana hadi leo hatuwezi kumpeleleza tena.
Lakini si alikua na wazazi..ndugu..jamaa na marafiki...kwan unafkr asingeweza kupelelezwa kupitia wao
 
BOT hii ya kwetu mkuu?? Nakatala, Nakatala, Nakatala! BOT ya kwetu pamejaa watu wa hovyo hovyo tu! Wengine hawana hata uwezo wakuwa huko

Sent using, Mashikoro Mageni
Inawezekana watu wa hovyo wapo lakin wanakua wa hovyo baada ya kupata nafasi ya kuingia mjengoni lakin kabla hujaingia you can't /huaiwezekani
 
Back
Top Bottom