Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 20,711
- 45,088
Ongeza walau neno ili na sisi tupate walau mawili matatu.Baada ya kuwa amempatia kazi usiku huo saa 8 Bi Hellen akiwa amelala kitandani alishangaa ana amshwa na Boss wake na inavyosemekana alikuja kuhoji kwanini hana mpango wa kuolewa sababu yake Bi hellen ilidai Hakuwahi kupata utam au Radha ya mapenzi na akamua kuongoza akili zake kwenye kazi tu na hivyo story ya Bi Hellen na Mr Hoover zilifanana na kuna uvumi kuwa alipenda kumtembelea kwake usiku tu muda wa saa 8. Baadae inasemekana walijalibu kuunganisha vikojoleo vyao ila majibu yaliotoka. kila mtu alidai kutokufurahia tendo hilo na hapo ndio ukawa mwanzo wa kupendana kwenye maswala ya kazi
........kuna mikasa mingi sana ya huyu mtu aiseee mtoa mada asante umenifanya nirudi maktaba kwangu kusoma hawa watu waliosumbua dunia hii
Ngoja nishie hapo maktaba ina lala