Mamba wanafanana zaidi na ndege kuliko kenge, mijusi

Wewe uko unakotaka kwenda mwisho utaniambia binadamu alikua nyani.hizo unazotaka kuniambia ni porojo tu za watu.
Aissee unawajua ancestors wa Mamba? Hii inahitaji elimu kubwa .. Siku nikiwa vizuri nitakuelewesha, Kuhusu origins za wanyama

Mfano kiboko yupo kwenye suborder moja na nyangumi.. Lakini wewe hutaweza kunielewa
 
Achana na mambo ya google.unaweza ata wewe mwenywe kutumia akili zako nakujua ukweli ukoje.
Aisee wewe, usitamke kitu usichokijua...

Nikuulize mkuu unajibu kwa hisia zako ama ni kujionesha unajua?

Simu yako ina google unaweza kuuliza hili swali na utajibiwa vizuri
 
Wewe uko unakotaka kwenda mwisho utaniambia binadamu alikua nyani.hizo unazotaka kuniambia ni porojo tu za watu.
Nlitaka nitoe tusi.. ila nimeona sio vizuri yaani wewe tunaongea facts alafu unataka kuniletea story za vijiweni...

Mkuu kwani huwezi kusema kwasasa umeelewa ni kweli mamba anafanana zaidi na ndege kuliko mijusi?

Usiwe m-bishi mimi sikukurupuka nikaja kuandika, ni kitu nilisoma
 
Wewe na mtoa mada wote mmejichanganya. Mamba ni jamii ya mjusi kama ilivyo nyoka na kinyonga sasa kusema mamba ana sifa nyingi za ndege kuliko mjusi nikujichanganya.Inaonekana mtoa mada anafikiri mjusi ni wale wa majumbani tu wenye kutaga mayai laini.vip kuhusu yai la kenge, komodo gragon au kasa nayo tusemeje.Ametaja baadhi ya sifa ambazo mamba anafanana ndege lakini hataki sifa zingine ambazo mamba anafanana kwa sehemu kubwa na mijusi wengine.Mamba ni mjusi mkubwa anayeishi majini na nchi kavu.
Mkuu elimu ni ufunguo wa maisha leo umejifunza kitu... Uache ubishiView attachment 1151549
Kaka huwezi kubishana na mimi thus why nimeamua kukaa kimya kama mjinga.
Nakuuliza swali ukae ulitafakari sana.
DO YOU BELIEVE ANYTHING FROM INTERNET /GOOGLE???
ACHA KUPOTOSHA WATU!!!
 
Kaka huwezi kubishana na mimi thus why nimeamua kukaa kimya kama mjinga.
Nakuuliza swali ukae ulitafakari sana.
DO YOU BELIEVE ANYTHING FROM INTERNET /GOOGLE???
ACHA KUPOTOSHA WATU!!!
WEWE NDIO MPOTOSHAJI.. MIMI NIMESOMA KITABU CHA "BEAT ABOUT THE BUSH"(Birds &reptiles)

Sio hivyo tu, Taaluma yangu ni Tour guiding.. Siwezi kuja hapa kwa kukurupuka..

Wewe Niambie ni kitabu gani ulisoma, adi ukatae point yangu?
 
Yaani wanakera hawa watu.

Yaani alichoandika maana yake ni tofauti kabisa na anachomaanisha.

Hii sumu itakuja kuharibu sana lugha kwa vizazi vijavyo.

Kuna mwingine nilikuta sehemu kaandika MALEEMU MZEHE LEMMI HONGARA.

Yaani kizazi kijacho sijui itakuaje?

Huko mashuleni ndivyo wanavyofundishwa hivyo au ni nini?

Samahani kwa kuwa nje ya mada.
Hii inatokana lugha mama, matumizi ya R na L
 
Back
Top Bottom