Mamantilie wanatusaidia au kutumaliza?

Huwa Maharage yao yanaungwa na Nazi vizuri sana!!
mama_ntilie.jpg
 
Kuna wengine wanaenda kwa waganga ili wauze sana (ujinga),
Masharti ni kinyaa kitupu ukijua wanachoweka. Usiniulize ni nini maana sina ushuhuda

Yale maji huyaongea na kwa wale wapenzi wa maandazi maji huonyeshea kwanza k halafu maji hukaangia maandazi!

N:B Sina picha
 
Wanatusaidia, lakini wanamambo ya ajabu sana! Kuna mama ntilie mmoja maeneo ya mbezi beach nilipokuwa naishi zamani. Mama ntilie huyu alikuwa anapika chakula kizuri sana hasa supu yake ya utumbo wa ng'ombe ilikuwa tamu balaa!

Nilizoea kupata huduma yake kwa supu ya asubuhi kabla sijakwenda kazini. Kwa muda mrefu nilikuwa mteja maarufu pale, kwa bahati siku moja wakati natoka kazini kuna jirani yangu alinitonya uchafu anaoufanya huyo mama ntilie, kiukweli ni uchafu usioweza kuelezeka.

Kumbe alichokuwa anatufanyia yule mama ni kuchukua yale maji anayochambia wakati wa haja zake ndio anapikia supu. yaani siku nilipokuja kupata ushahidi wa kutosha sikunywa tena supu yake wala kula chakula chake, nilikuwa namuangalia bila kummaliza kila nikipita njia hiyo kuelekea kazini.
 
Nilizoea kupata huduma yake kwa supu ya asubuhi kabla sijakwenda kazini. Kwa muda mrefu nilikuwa mteja maarufu pale, kwa bahati siku moja wakati natoka kazini kuna jirani yangu alinitonya uchafu anaoufanya huyo mama ntilie, kiukweli ni uchafu usioweza kuelezeka

. Kumbe alichokuwa anatufanyia yule mama ni kuchukua yale maji anayochambia wakati wa haja zake ndio anapikia supu. yaani siku nilipokuja kupata ushahidi wa kutosha sikunywa tena supu yake wala kula chakula chake, nilikuwa namuangalia bila kummaliza kila nikipita njia hiyo kuelekea kazini.

Kuanzia kesho supu basi kwa mama manka.
 
Wanatusaidia, lakini wanamambo ya ajabu sana! Kuna mama ntilie mmoja maeneo ya mbezi beach nilipokuwa naishi zamani. Mama ntilie huyu alikuwa anapika chakula kizuri sana hasa supu yake ya utumbo wa ng'ombe ilikuwa tamu balaa!

Nilizoea kupata huduma yake kwa supu ya asubuhi kabla sijakwenda kazini. Kwa muda mrefu nilikuwa mteja maarufu pale, kwa bahati siku moja wakati natoka kazini kuna jirani yangu alinitonya uchafu anaoufanya huyo mama ntilie, kiukweli ni uchafu usioweza kuelezeka.

Kumbe alichokuwa anatufanyia yule mama ni kuchukua yale maji anayochambia wakati wa haja zake ndio anapikia supu. yaani siku nilipokuja kupata ushahidi wa kutosha sikunywa tena supu yake wala kula chakula chake, nilikuwa namuangalia bila kummaliza kila nikipita njia hiyo kuelekea kazini.

Kwa kweli mimi ningemuuliza na liwalo liwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom