Mamake Zitto Kabwe atumiwa kwa ubadhirifu -CHAWATA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mamake Zitto Kabwe atumiwa kwa ubadhirifu -CHAWATA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Oct 19, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,606
  Likes Received: 5,781
  Trophy Points: 280
  Katika kile kinachoonyesha chukua chako mapema
  waasisi wa chama cha walemavu chawata wameamua kuuvunja upongozi uliopo ukiongozwa na mamake mh zitto kabwe
  kwa saababu za ubadhirifu;habari zaidi zinasema waasisi wamesema mama huo amekuwa akiongea na wafadhili mbalimbali
  na mwisho wa siku kuweka wanae kwenye lista ya watakaosimamia misaada na mbaya zaidikupitisha misaada ya chama kupitia
  account zake binafsi

  hata hivyo kiongozi huyo ameulizwa kwa nini wameamua kumtema uongozi akadai yeye ajui hilo na anachojua bado mwenyekiti
  kuhusu ubadhirifu akasema kama ameiba wamepeleke polisi
  kazi ipo
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,606
  Likes Received: 5,781
  Trophy Points: 280
  srce clouds fm
  jahazi
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  duh!kumbe hiyo familiya ni mafisadi?aisee!
   
 4. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #4
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  haya,ngoja tuone mwisho wake utakuwa ni nini?
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Sasa kumfukuza au kumwondoa inatosha!? kama wana ushahidi wampeleke mahakamani...
   
 6. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #6
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  mmh! nihatari ila chazo cha habari kinawalakini..
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,606
  Likes Received: 5,781
  Trophy Points: 280
  mkuu ulitaka niweke
  src ;bible nini uamini
   
 8. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mmmhh hii ni hatari sasa..
   
 9. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,684
  Likes Received: 880
  Trophy Points: 280
  Mmh! Makubwa!
   
 10. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #10
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,606
  Likes Received: 5,781
  Trophy Points: 280
  bahati kibonde akampigia simu akasita kupokea baadae akajibu short kama wanadai nimeiba waende polisi..akahojiwa mjumbe mmoja anaitwa musa akadai yeye anasapoti kabisa kuondolewa uongzi wao maana kama wajumbe tumekuwa tukilambana sana na huyu mwenyekiti kukiwa na vikao vinajadili hela utmwona vingine ahudhurii kabsa nikapiga astakaafullilahh...akadai kuna mradi walienda kusaini wakachukua muda kuona hizo hela siku walipoanza kudai zikatolewa kama kadhaa siku inayofwata wakauliza zimetoka wapi wakaambiwa si mnataka zile za mradi ...wajumbe wakagawanyika tangu hapo....anywya mama nae ana haki ya kuchukua chake mapema nini chawta bana wanakula chawote CCM ije kuwa yeye Chawata
  Mama kila mwenye pwuuuuuuuuuuu na amsifu Bwana Mema ya nchi tunakula hapa hapa duniani kama uko post ya kula unasubiri hela za mchujo za NSSF utalia
   
 11. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wakuu hiyo chawata kiko wapi,kigoma au bongo?
   
 12. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Nchi hii imejaa mafisadi.
   
 13. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Duh, Tunadhurumu mpaka walemavu kweli nchi imeoza hii.
   
 14. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #14
  Oct 20, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  ina maana huyo mama ni mlemavu? ana kilema gani?
   
 15. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #15
  Oct 20, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,606
  Likes Received: 5,781
  Trophy Points: 280
  nimeomba airudie leo msiache kusikiliza jahazi/dte
   
 16. F

  Froida JF-Expert Member

  #16
  Oct 20, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,903
  Likes Received: 1,330
  Trophy Points: 280
  Sasa Mama yake Zitto hana jina lake mwenyewe,nadhani thread hii ingekuwa kwa jina la muhusika,
   
 17. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #17
  Oct 20, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Anaitwa Bi. Shida na mimi namfahamu kibinafsi....mama wa kawaida kabisa na ni mlemavu wa miguu.......hii ni kupakana tope

  [​IMG]
   
 18. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #18
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  Kujulikana kuna mambo! hii thread ina lengo gani? mnataka kutuaminisha kuwa zitto kama ni msafi na mama yake ni msafi? Au zitto kama ni mchafu na mama yake ni hivyo hivyo? kwanza nina wasiwasi na source ya hii habari. Hii redio Clouds ni ya kidaku!
   
 19. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #19
  Oct 20, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,635
  Trophy Points: 280

  Mkuu Piddy.

  Unashidwa kutaja jina la mhusika hadi umuhusishe Zitto ndiyo uone raha.


  Zitto kafanya ufisadi gani hadi ufikie kuiunganisha familia yake na ufisadi ?.  Tatizo CDM kuna makundi mawili laiti angekuwa Mama yake Lema G nina hakika ungesema wanamsingizia au wanambakia kesi hili kumkomoa mwanaye acheni unazi wa kitoto.
   
 20. M

  Malunde JF-Expert Member

  #20
  Oct 20, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 311
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Vyama vya watu wenye ulemavu vina matatitizo mengi. Wanaweza wakamtuhumu mwa maneno maneno tu yasiyo na mshiko wowote. Namfahamu Shida Salum(mama yake zito) na ninafahamu matatizo ya vyama vya watu wenye ulemavu kuanzia SHIVYAWATA(Shirikisho la vyama vya watu wenye ulemavu) mpaka vyama vyenyewe vikewemo CHAWATA, CHAVITA n.k. Nahisi(siyo lazima niwe sahihi) tuhuma hizo ni za uongo
   
Loading...