Mamaa Kigogo
Senior Member
- Sep 26, 2011
- 105
- 43
Habari zenyu wana jf , kwakweli nimekunwa na haya majambozi ya jamii forum sasa tuko pamoja ili tuweze kushare huu utamu wa jf.
Karibu Mama Kigogo upate utamu wa JF
Karibu Mama Kigogo upate utamu wa JF
Karibu sana JF.
mhhhhh.yule kigogo aliyepigwa ban ni mumeo au?
Karibu sana
unakunwa na majambozi eh?.karibu mamaa kigogo.
Karibu uzidi kukunwa...