Mama zenu ndo wanaowatuma

Pyepyepye

JF-Expert Member
Jan 6, 2017
1,940
3,825
Siku ya jana, wengi wa watumiaji wa mitandao ya kijamii walijitahidi kuonesha upendo kwa wazazi wao wa kike (mama).

Hata wale wanaopiga picha za uchi na kuzipost kwenye mitandao niliwaona wakiwashukuru mama zao kwa malezi mema waliyo wapatia na kuwaita kuwa ni malkia wa nguvu.

Hapo ndipo napata shida na ninaomba mniondoe kwenye mtanziko huu.

Hawa mama zenu (malkia wa nguvu) ndio wanaowatuma ninyi kuposti nyuchi zenu humu?
Nini faida wanazozipata mnapopost picha hizo?
Baba zenu wanajua kuwa mama zenu ndio wahusika wapicha hizo?
0d59d97db56b81284c8e59fe291dfe01.jpg
 
Attachments

  • FB_IMG_1489000284370.jpg
    FB_IMG_1489000284370.jpg
    33.1 KB · Views: 52
Malezi c mavazi tuu jmn wengi tunakosea tunapokuja kujudge mtu kupitia mavazi hpn kuna mengi .......
All in all tunamshukuru mama yapo mengi zaid ya haya yanayoonekans
 
Siku ya jana, wengi wa watumiaji wa mitandao ya kijamii walijitahidi kuonesha upendo kwa wazazi wao wa kike (mama).

Hata wale wanaopiga picha za uchi na kuzipost kwenye mitandao niliwaona wakiwashukuru mama zao kwa malezi mema waliyo wapatia na kuwaita kuwa ni malkia wa nguvu.

Hapo ndipo napata shida na ninaomba mniondoe kwenye mtanziko huu.

Hawa mama zenu (malkia wa nguvu) ndio wanaowatuma ninyi kuposti nyuchi zenu humu?
Nini faida wanazozipata mnapopost picha hizo?
Baba zenu wanajua kuwa mama zenu ndio wahusika wapicha hizo?
0d59d97db56b81284c8e59fe291dfe01.jpg
Hawa wanaishi porin huko hakuna kuvaa nguo ndio mana wanapunga hewa
 
Hiki chuma kipo vizuri kwa matumizi ..habari ya malikia wao wa nguvu watakuja wenyewe kukujibu
 
Hapo ndipo mtu anaonesha ukaid wake,maana anaonesha mama yake amejitahid kiasi gan kumlea na kumkanya na kumkuza ktk makuzi mema.

~yy ndio kakaid na anajaribu kumkumbusha mama yake kuwa aliyo mfindisha ni mema sana yy tu anayakubali ila kujichetua kwake na kuifanya dunia km kijiji na kumtambishia mama yake kuwa dunia yake(mama )si km yake yy
 
Ila siku hizi ndio imekua fashion wasichana kuacha robo 3 ya mwili nje. Sijui ndio kujiuza kwa kidigitali huku. Sasa huyu anatofautiana nini na anayesimama kona bar au mori
 
Hawa mama zenu (malkia wa nguvu) ndio wanaowatuma ninyi kuposti nyuchi zenu humu?
Nini faida wanazozipata mnapopost picha hizo?
Baba zenu wanajua kuwa mama zenu ndio wahusika wapicha hizo?
0d59d97db56b81284c8e59fe291dfe01.jpg

pyepyepye hebu watue mama zetu
Wala hawahusiki na hizi habari za kupost picha za uchi

Kwani baba hausiki katika malezi ya mtoto?
 
Malezi c mavazi tuu jmn wengi tunakosea tunapokuja kujudge mtu kupitia mavazi hpn kuna mengi .......
All in all tunamshukuru mama yapo mengi zaid ya haya yanayoonekans
Mmnh mwenzangu kwa hapo umebugi,kwahio yule gigy money sio changu yule..?? Mavazi yake tu yanatosha kumtambulisha tabia yake...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom