Mama Zakia

Duu Kama ni kweli basi jamaa ni balaa....atahudumiaje wote hao mamsaps wengine mmoja inakuwa shida!

Wanaume marijali wanweza, JACOB MZUMA wa SA anao wanne na nchi yake kubwa kimaendeleo kuliko tz mbona anaweza?
 
Kama nikweli tatizo ninlipi? mbona jf imekua kama kikao cha mabinti?
 
JAMANI KWELI TANZANIA KUNA MAMBO.... RADIO MBAO HIZP SOMETIMES HAZISEMI KWELI.

MIMI NINAVYOFAHAMU MAMA HUYU SASA NI MGONJWA WA MARADHWI YA KISUKARI NA MOYO.

VILE VILE HIVI KARIBUNI ALIPATA MSHTUKO WA NGUVU SANA MARA BAADA YA MWANAWE MAHIR RAMADHANI MEGJI ALIPIGWA NA VIBAYA SANA NA VIJANA WA KIHUNI HUKO AUSTRALIA AMBAPO ANACHUKUA PhD. MAHIR NI LACTURE WA UDSM ( THE ONLY LACTURE AMBAYE NI RASTA PALE UDSM).

LAKINI MAMA YETU HUYU YUPO. JAPO AMEKAA KIMYA SANA BUNGENI

Mkuu Barubaru hi data fanya homework yako vizuri. Wapo wengi tu wenye dreads Dr. Lilian Osaki listi iko ndefu wengine wako miaka karibu 10 sasa
 
R. A. is it official au... jamani tunataka habari zenye uhakika na si udaku....
 
Duu Kama ni kweli basi jamaa ni balaa....atahudumiaje wote hao mamsaps wengine mmoja inakuwa shida!

Dini yake unamruhusu kuwa nao mpaka wanne ili mradi uwezo wa kuwatunza na kuwahudumia wote upo.

Labda swali ni kwamba kwanini sasa ndiyo kaamua kuongeza idadi ya wake?.
 
Dini yake unamruhusu kuwa nao mpaka wanne ili mradi uwezo wa kuwatunza na kuwahudumia wote upo.

Labda swali ni kwamba kwanini sasa ndiyo kaamua kuongeza idadi ya wake?.

dini kweli inaruhusu. na ukisha kuwa rais matunzo ya sasa na baadae huumiz kichwa.
lakin pia sijui angekuwa anaonwaje onwaje au ingekuwaje kuwaje kama miaka ya mwanzo ya 2000 ndo angejiongezea wake kama anavyofanya sasa. au kipind kile anaanza kujiandaa kumrith mkapa
 
Wanaume marijali wanweza, JACOB MZUMA wa SA anao wanne na nchi yake kubwa kimaendeleo kuliko tz mbona anaweza?

Yacob Zuma? Yule aliye-rape na halafu akaosha tu? Ni mfano wa kuendelea kwa nchi au mfano wa kuiangamiza nchi kwa hilo gonjwa lililowaandama Wasauzi?

Halafu hii mada ya mama Z mbona sasa inakwenda kusiko? inahusika vipi na mambo ya ndoa ya mkuu wa kaya? Hivi hakuna tuhuma za huyu mama zikawekwa hapa -- maana nasikia Kagoda ilimgusa sana na ndiyio sababu ya muanguko. Alikuwa anajaribu kumpigia debe RA ambaye inasemekana ni samsingi yake. Lakini ona tofauti ya umri!!!!!! Mhhh....Hela jamani!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Barubaru hi data fanya homework yako vizuri. Wapo wengi tu wenye dreads Dr. Lilian Osaki listi iko ndefu wengine wako miaka karibu 10 sasa

Labda angeweka kwa Department ya Computer Science...!!!

Ila Kama Kaka Mahir kapata hilo sokomoko..basi binafsi nampa Pole yeye na Mama Yake na Familia Kiujumla...!!!
 
kama dini yake inaruhusu whats the problem? ila kwa ndugu zangu wa dini ya mheshimiwa, ukiwa unaoa mke wa pili, tatu na nne huwa inakuwa kimya kimya au zinafanywa shambra shambra kama ilivyokuwa kwa mke wa kwanza? maana tatizo hapa ni kama vile mkuu anafanya siri alafu anasogeza wale wa watu wazito wazito tena wenye kashfa, hapo ninapata wasiwasi kwamba yumkini jamaa akawa ana walinda wala rushwa na wala hana nia ya kweli ya kupambana na ruswa kama wapembe wake wenye kujikomba ili wakumbukwe 2010 wanavyotaka kuwaaminisha watanzania
 
Kwani Calnde una uhakika kaoa mtoto wa Zakia?, na pia kwa ulivyoandika ni kama anao wegine tena toka kwa wenye kashfa, unaweza kuwataja.
 
Huyu mzee wa kaya alioa mke wa pili ni nani? Maana sijajua mnamzungumzia nani, Basi msiweke mafumbo, mie mzee wa Kaya najua ni rais wetu, je ndio huyo mnaemzungumzia?
 
Nafikiri inabidi kujitahidi kupost vitu vitakavtotuasaidia sisi na jamii yetu kama Watanzania badala ya kujadili mambo binafsi ya watu na UDAKU.
Mama Zakia has two daughters and they are both married to guys i know,
Lets not be that cheap
 
Wakulu huyu mama amepata matatizo ya kifamilia. Baada ya kufiwa na mumewe aliyekuwa amemtelekeza kule Moshi baada ya kuula,huyu mama familia yake haijatulia. Ndugu wa mume wake wanamlaumu sana kuwa amesababisha kuharibu maisha ya ndugu yao mpaka kupelelekea kifo chake. Mumewe katika kifo chake alipata stroke akiwa bafuni na hakuwa na msaada wowote nyumbani kwani alikuwa anaishi na kijukuu cha less than 10 years. Huyu mzee alikuwa lecturer pale MUCCOBS. Watoto wote mama yao alikuwa anawabana wasiishi kwa baba yao bali wawe naye yeye dar.
Matatizo aliyonayo kwa sasa,kuna binti yake aliamua kubadili dini kuwa mkristo ili aolewe na mkristo. Hiyo ilimchanganya sana mama huyu ukichukulia alikuwa bila mume wa kusaidiana naye katika hilo. Huyu mama ana asili ya kizanzibari na ndugu zake pamoja na yeye hawakukubaliana kabisa na huyo binti yake naikaleta mtafaruku mkubwa sana wa kifamilia yeye akiwa katikati.
 
Waungwana hii Thread ingetafutiwa Mahali pake......Mtiririko wa habari hii inaonekana ni udaku mtupu!!!Huku tunakokwenda siko..
 
Back
Top Bottom