Jamani..... eti huyu muheshiwa yuko wapi? halafu nackia ckia kuwa Mheshimiwa Jay ana ubia kwenye familia ya huyu mama... jamani kuna ukweli
ana wawili sasa wa sheria ya dini , kuhusu viconcubine akuuuu simo!hahaha, kwani mkuu wa kaya kawafikisha wangapi?
kumbe zakia mama mkwe!!
Nami nilisikia mkuu amewowa mwana wa uyu mama kitambo as kuna washikaji wanakaa karibu alikokuwa anakaa uyu mama kule Upanga walinitonya
ndoa ilifungwa hilo nina uhakika nalo!kuna kijana wake mmoja ''UWT'' alithibitisha hilo baada ya kumuongezea chupa mbili au tatu za mivinyo!ilifungwa ikulu pale pale,jamaa wanamwita ''MWARABU-WA-CHALINZE''.pia amesogeza kifaa cha kiarabu kingine ni mpwa halisi wa R.A!