Mama Zakhia Bilal hebu fungua NGO

Sam Seaborn

Member
Aug 20, 2011
98
39
Hivi kwa nini mama Zakhia hampi mumewe mheshimiwa Bilal nafasi ya kupumua?

Kwa nini asiongee na mama Salma Kikwete na yeye akawa na NGO yake ambayo itashughulika na mambo ambayo yuko passionate nayo?

WAMA can advise her on what do.

Halafu inaonekana huyu mama mkali sana. she is always serious sijui kwa nini au labda Mzee Bilal ana m bully

anywa habari ndio hiyo
 
Kweli aiseE mamaa anaonekana yuko idle tu anasubiri ziara awe pale mbele amekomaa tu pembeni kwa mzee anakaba hadi kivuli.......afungue kituo watoto yatima hata 50 tu apambane nacho tena hata akiweka nusu iwe wapemba ambao wanataabika kuwa watoto mitaani au yatima waliopo hata dar tu,ili ajaribu kusaidia kwao Pemba aonekane na yeye ana mchango kwenye jamii yao ambayo ni duni sana kiafya,jamii na uchumi pia,kuliko kutubadilishiaa style za nguo na kukaa mbele zaidi ya Mhe kwenye ziara zake!!!nadhani jamii itamheshimu na kumthamini zaidi!!!
 
Hivi kwa nini mama Zakhia hampi mumewe mheshimiwa Bilal nafasi ya kupumua?

Kwa nini asiongee na mama Salma Kikwete na yeye akawa na NGO yake ambayo itashughulika na mambo ambayo yuko passionate nayo?

WAMA can advise her on what do.

Halafu inaonekana huyu mama mkali sana. she is always serious sijui kwa nini au labda Mzee Bilal ana m bully

anywa habari ndio hiyo


Mkuu mie sitamjadili huyu kama hajagusa maslahi ya Watanzania .Ila kama kagusa kwa nia ya kuharibu kwa umimi weka wazi haoa tumchape fimbo za usoni bila kujali sura yake ngumu tafadhali
 
hata huyo mumewe sielewi anafanya kazi gani wote wawili ni ziara na uzinduzi tu miaka yoote,ndio taabu ya kuwakabidhi nchi maustaadh
 
Wako wawili, nadhani hana nafasi nyumbani kwahiyo kwenye ziara za Mzee anapata mwanya wa kupumua na kujionyesha mbele

Unajua wanazamu hata ya kusafiri nje ya nchi, kuwa second feeder sometimes inachosha...
 
duuuuh halafu huyu mama anapenda sana picha yaani yeye kila siku yuko mbele na mamiwani yake amenuuna ili aonekane tuu kwenye mablog...ufanyike uchunguzi ijulikane bills za wake wa huyu mzee nani analipa ikiwa ni govt.basi wapigwe stop mara moja....Hawamuoni na kuiga mama Salma Kikwete??yuko busy na NGO yake wala hana habari na safari za mukulukulu.
 
Back
Top Bottom