Mama Yetu, Salma.....!

Buchanan

JF-Expert Member
May 19, 2009
13,199
1,969
Wakuu kulikoni mama yetu mpendwa, Salma Kikwete, kutokuonekana hadharani mara baada ya JK kuapishwa? Si kawaida yake kutokuonekana majukwaani, kulikoni?
 
Wakuu kulikoni mama yetu mpendwa, Salma Kikwete, kutokuonekana hadharani mara baada ya JK kuapishwa? Si kawaida yake kutokuonekana majukwaani, kulikoni?

Mkuu,

Mama amechoka sana baada ya kampeni za shuka kwa shuka, sasa anapata kajimapumziko kadogo, atarudi kwenye viriri karibuni! Unam-miss ? Atafikishiwa ujumbe na wanaohusika!
 
Back
Top Bottom