Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 3,845
- 4,072
Imekuwa ni kawaida kwa wake wa marais hapa Tanzania kutokubaki nyuma katika harakati za kusaidia maendelea hasa kwa kundi la wanawake.
Tukianza na mama Anna Mkapa alifanya mambo mazuri kupitia foundation yake. Naye mama yetu Salima Kikwete tumeshuhudia juhudi kubwa ktk kumsaidia mwanamke kupata maendeleo.
Lakini hadi sasa sijaweza kujua hatima ya mama etu Janet Magufuli?
Tafadhari mama wanawake wa nchi hii wanahitaji mchango kwa ukaribu zaidi hasa na ukizingatia taaluma uliyokuwa nayo,italeta chachu kwao,uanze mapema usichelewe.
Mungu akupe ujasiri mama Janet Magufuli.